Chungu na tamu za watabiri mchezo wa Yanga na Al Hilal (first leg & second leg)

Ni 3 kwa 2.
Yanga atatanguliwa kipindi Cha kwanza na kuchomoa kipindi Cha pili na kushinda mchezo
 
Kuamua kungoja? Au kutumia kinga kwa kila tendo moja
 
Yeyote atakaeshinda, ni tofauti ya goli moja. 3/2; 2/1; 1/0
 
Mkanywe sumu sasa
 
Yanga hawezi kufungwa na Al hilal, Yanga anaingia Makundi kibabe.
 
Kibabe unafikiri kuna mambo ya Bahasha GSM kimataifa kama NBC premier league. Ubabe ni mpira kule refa hanunuliki,
Simba anavyofungwa na Yanga uwa inatumika bahasha? Yanga anakwenda kufuzu hatua ya Makundi Kwa quality aliyonayo.
 
Simba anavyofungwa na Yanga uwa inatumika bahasha? Yanga anakwenda kufuzu hatua ya Makundi Kwa quality aliyonayo.
Quality gani wewe acha kujikosha shughuli yako imeshaisha unafikiri utaishi maisha ya kujifariji vitu visivyowezekana mpaka lini?
 
Quality gani wewe acha kujikosha shughuli yako imeshaisha unafikiri utaishi maisha ya kujifariji vitu visivyowezekana mpaka lini?
Upeo wako na fikra zako ndio zinaona mechi yenye matokeo ya 1-1 mkondo wa kwanza ndio imekwisha, sasa Mimi ntakusaidiaje!!
 
Upeo wako na fikra zako ndio zinaona mechi yenye matokeo ya 1-1 mkondo wa kwanza ndio imekwisha, sasa Mimi ntakusaidiaje!!
Sasa hata ukiishi kwa kujifariji kwa wiki moja tu itakusaidia nini? Jpili tu shughuli inatamatika si bora ukubali ukweli imeisha maisha mengne yaendelee mkuu
NB:Si timu zote huingia makundi ya caf champions league ni timu 16 tu ndio huingia kwenye zaidi ya timu 50+ zinazoshiriki kila mwaka wengne mkubali nyinyi ni wssindikizaji tu na mbona hayo yamekuwa maisha yenu toka 1998 hamjazoea tu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…