Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo



tatizo lako siyo, mafuta wala sabuni, tatizo la chunusi ni kulala ukiwa na vipodozi au mafuta usoni. hii usababisha vitundu vinavyopitisha hewa katika ngozi kuziba na kusababisha kuzalisha chunusi, dawa yake ni ndogo sana.

kabla ujaenda kulala, osha uso wako vizuri ili kuondoa mafuta na kuzibua matundu ya ngozi yako. futa uso wako vizuri na taulo lako, kisha ulale bila kupaka kipodozi chechote. hapo utakuwa umeleta tiba juu ya uso wako. msilale na vipodozi usoni, uso unatakiwa ulale ukiwa mkavu ili kuiruhusu kupumua, unapoiziba kwa vipodozi uzalisha chunusi. utaliwa hela zako bure fata maelekezo haya na tatizo lako litakwisha kabisa.

NB: unaweza ukatumia na sabuni kama ya jamii ya malimao ili kuondoa mafuta usoni, au limao lenyewe kata osha uso wako jipake wacha kama dk 10 - 15 osha usowako kalale, utaona matokeo.
 
Could be chakula unachokula, jaribu kuangalia vyakula vyako. Angalia tiba ambayo ni asili, kuna natural remedies nyingi zinasaidia. Jaribu kutumia face mask ya udongo na asali
 

Nenda hospital ukaonane na dermatologist (daktari wa ngozi).... Huwezi kupata dawa itakayokufaa bila kujua tatizo hasa ni nini.
Zaidi utabadilisha sabuni na tubes mpaka uisome namba.

Kama hutaki kwenda hospital, tafuta sabuni inaitwa perpemit kama sijakosea Jina, Ina rangi ya njano. Kosha ununue na tube inaitwa Bio Nicca. Ukishaosha uso unapaka hiyo. Haibadilishi ngozi KABISA KABISA. Unabaki natural kabisa....
 
nliulizia cku moja kwny duka moja la mafuta na dawa hzo nkaambiwa kuna mafuta ya kupakaa yanaitwa TROPICANA muuzakj alnihakikixhia kwmb yanamalza tatzo Vp kuna mtu humu anayajua hayo mafuta ya kuondosha chunusi na Je yanadaidia kwel kama yy alishayatumia???
 
Pale nilipokuwa nyumbani mza sikuwa na chunus ila nilipofika tbr kikaz kama miezi sita hivi zilifutuka chunus za hatali na haziishi ila nina uso wa mafuta mengi nikioga nakaa kama nusu sa -sa 1 nakuwa kama nimepaka mafuta usoni,nitumie nni? Kupunguza hii hali chunus ndo zinaongezeka. Watalamu naomba mnisaidie
 
lotion na sabuni za zoa zoa usiache kutumia zinatibu saaana (ni grace products )
 

Tumia products za oriflame. Nitumie private message tuwasiliane zaidi
 
Nisikiaga nazipataje nishaulza sana hapa nikapta sabuni tu haikunisaidia
 

Freauency ya kufanya mambo yetu yale ikoje..umri pamoja na ufanyaji wa yale mambo ya wakubwa vinachangia..ulivyokuwa MWanza ulikuwa karibu na mwenza wako ila kwa muda sasa uko mbali hivyo hilo nalo neno.
 
Freauency ya kufanya mambo yetu yale ikoje..umri pamoja na ufanyaji wa yale mambo ya wakubwa vinachangia..ulivyokuwa MWanza ulikuwa karibu na mwenza wako ila kwa muda sasa uko mbali hivyo hilo nalo neno.

Aaa!!!wakati nipo mza nilikuwa peke yang nilikuwa na kutana nae mara moja kwa mwezi,baada ya kuja tbr,nikikaa kama miez 4 hv ndo akaja sasa tuakaishi pamoja tuna miaka miwil sasa tangu tuwe nae,na cjawhi kuchepuka kama itakuwa sababu
 
Jaribu kutumia Cetaphil - Oil Control Foam Wash



Au Biore - Deep Pore Charcoal Cleanser



Hata Burt's Bees - Natural Acne Solutions Purifying Gel Cleanser nayo ni nzuri

 
peleka jf doctor kule utpata expereience na ushauri wa kutosha kutoka kwa wataalam!
 

personal forte cream 2.5 inapatikana maduka ya dawa ni nzuri na bei poa haizidi 4000
 
Sabuni Dettol ni solution, wengi hawajui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…