Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Karanga znapatkanaje mkuu kwa tiba ya kuondoa chunusi
 
Karanga znapatkanaje mkuu kwa tiba ya kuondoa chunusi
KARANGA TIBA YA KUONDOWA CHUNUSI USONI.

TIBA.1


Karanga Zinaondoa Chunusi Usoni na kuufanya Uso kuwa Laini na kuleta uzuri wa Sura.

Chukua Karanga kijiko kimoja kidogo zisage kisha changanya na kipimo sawa cha juisi ya ndimu Au limao halafu unapaka kila siku Usoni kabla ya kulala.
 
Lozi ndo nini?!
 
Msaada wakuu ninasumbuliwa na vipele chini ya kisogo kwenye shingo,anaejua dawa au mahali wanapoweza kutibu naomba kujuzwa napata shida Sanaaa....

Wasalaam
 
Nijuzeni dawa ya kuondoa madoa madoa meusi kwenye ngoz bila kubadili rangi ya ngozi

thanx wana JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…