Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo


Wewe huo u "Dr." uliupatia wapi?

Nyie ndiyo matapeli wa mtandao.

Sema tu una tiba mbadala lakini usijifanye kuwa ni "Dr.".

Mbona anti Zainab humu humu JF anatowa tiba mbadala ya asili ya chunusi na ngozi lakini hatujamsikia akisema yeye ni "Dr."?

Wacheni kucheza na mizani hata dini zinakataza.
 
pakaa mafuta ya break!
 
Habarini wakuu,


Kama kichwa cha habari kinavyoeleza nimepata tatizo la chunusi muda sasa ka mwezi na sehemu. Ilikuwa 23/12/2016 vilikuja vichunusi kidogo nikaelekezwa nitumie sabuni ya zoazoa basi nilipotumia tu ndo ikawa kosa chunusi zikajaa usoni mpaka nikawa najiogopa yaani asikwambie mtu chunusi zinaleta depression sana na embrass hasa kwasasa ma 20+.

Nikaenda hospitali nikaambiwa ninunue acnes nimetumia dawa ndani ya wiki na sijaona mabadiliko yoyote yani full confusion tu.

MSAADA
Kwa yoyote mwenye msaada wa namna ya kuondokana na tatizo hili naomba nisaidiwe jamani, hii hali inatesa jamani BILA KUSAHAU USO WANGU NI WA MAFUTA.
 
Kuwa mpole tu mdogo wangu, huo umri ndio kipindi chake. Ni mabadiliko ya kimaumbile tu na ukizingatia una ngozi ya mafuta.

Ukikuwa vitakaa sawa tu
 
Ukute dume linaogopa chunusi[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] afu age yenyewe ya kupasua ungo..
 
Ukute dume linaogopa chunusi[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] afu age yenyewe ya kupasua ungo..
ingekuwa age ya adoles ningekuja hapa kuwa na bigmind bro sio kuropoka tu
 
Tafuta baking powder vijiko viwili vya chakula mwanya ile ya simba mbili changanya na maji au rose water koroga..then chukua ujipake usoni kaa baada ya mda then osha na maji masafii uso wako..then jikaushe rudia hivyo asubuh na jioni..tuone inakuaje
Angalizo..usipake mchanganyiko wowote usoni unavyotumia hii njia
 
sawa nashukuru
vp haichubui au haina madhara yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…