FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Wewe huo u "Dr." uliupatia wapi?
Nyie ndiyo matapeli wa mtandao.
Sema tu una tiba mbadala lakini usijifanye kuwa ni "Dr.".
Mbona anti Zainab humu humu JF anatowa tiba mbadala ya asili ya chunusi na ngozi lakini hatujamsikia akisema yeye ni "Dr."?
Wacheni kucheza na mizani hata dini zinakataza.