Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
Pole nilkuwa na tatizo kama lako. Sasa muone Prof. Mgonda wa Agha khan Dar, mtaalam wa Tiba ya ngozi. In short utapewa dozi ya vdonge 184 vya cku 28 vnakausha kabisa na mafanikio utayaona bada ya miez 2 ukianza dozi. Kama huna Bima jpange coz n ghali itafka ka' lak2 na 50 hivi!
acha upotoshaji..dada usifate huu ushauri ni hatari sanaa ati dodoki kha!
Pole nilkuwa na tatizo kama lako. Sasa muone Prof. Mgonda wa Agha khan Dar, mtaalam wa Tiba ya ngozi. In short utapewa dozi ya vdonge 184 vya cku 28 vnakausha kabisa na mafanikio utayaona bada ya miez 2 ukianza dozi. Kama huna Bima jpange coz n ghali itafka ka' lak2 na 50 hivi!
Zinarudi rudi kwa sababu huna girl friend. Tafuta mdada wa kukandamiza ili Upunguze hizo stress
Nyongeza, kama uta2mia iyo dozi jtahd kutolamba lips za mdomo coz ile dawa kali inakausha lips, so ukzlamba utapata vdondo wakat wa doz. Na vlevle jarbu kutumia mafuta ya ubuyu kupaka usoni nayo inasaidia!
Umri wako bado unaruhusu kutoka chunusi...
Ila angalia na aina ya ngozi yako ...maana kama una mafuta mengi inabidi uwe makini na sabuni za kuogea.
Mara nyingi sabuni nzuri ni za lemon(zilizotengenezwa kwa limao)....
Ila mkuu[MENTION]Mzizi Mkavu[/MENTION] anaweza kukusaidia pia japo kwa ushauri tuu....
250k kutibu chunusi? Si bora afanye face lift? Kha!
naomba msaada mimi tatizo langu chunusi zimekwisha ila mabaka meusi hayatoki.. natumia Nivea ya bei juu lakini haisaidii.
mmh maji ya limau si mchezo uso wote utachubukachuka na mwisho wa siku hakuna tiba...kwel anapotosha