Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

matatio ya chunusi yanawea yakatbia kwa kutumia tiba mbadala kadhaa yifuatao.

unga wa liwa
chukua unga wa liwa changanya na maji kidogo upate mchanganyiko kama uji uji hivi,paka usoni lala nao mpaka asubuhi.
inapofika asubuhi osha uso wako kw kutumia maji baridi fanya hivyo mara kwa mara na utaona mabadliko chanya.all the best...

kitunguu swaumu
kinaaminika kuwa na antbotics zenye uwezo mkubwa sana wa kupambana na aina mbalimbali a magonjwa yanayosababshwa na bacteria.
chukua ktunguu kibichi sugua katka eneo husika very genly fanya hivyo mara kwa mara itasaidia kuondoa tatizo la chunusi na makovu yake.....

kungu manga
chukua kungu manga saga vizuri baada ya kupata unga wake changanya na maziwa ambayo hayakuchemshwa hakikisha inakuwa kama cream/krimu pakaa kwaenye mahali palipoathrika,fanya hivyo mara kwa mara huondo chunusi na makovu yake..............

ute wa yai
wote tutakubaliana kuwa kwenye yai kuna ute fulani hivi wenye rangi kama ya maji hivi uchukue ute huo pasipo
kuchanganya na kiini pakaa usoni lala nao usiku mzima,asubuhi kabla ya kuosha sugua taratibu usoni kwenye ute huo ambao uatakuwa umekauka baada ya hapo osha uso wako kwa maji ya baridi .......fanya mara nyingi kalingana na mahitaji.......likiwa yai la kuku wa kienyeji naamin linafaa zaidi

barafu
chukua barafu pakaa usoni katika maeneeo husika kabla ya kulala,tiba hii inazuia uwezokano wa kuibuka kwa chunusi siku inayofuata.............

no side effects za aina yeyote.......all the best

reference
Mwananchi jumapili,issn 0856 7573 Na 04317,Aprl, 22, 2012 pp 08

dawa zipo,isipokuwa bei kubwa.kuna dada namfahamu alikuwa na chunusi nyingi usoni,akatumia cleanser,ni aina 3,ya kujifuta,ya kuoshea uso,na stage ya mwisho unapaka lotion yake.chunusi zilitoka kabisa.haichubui uso,ni nzuri mno.guarantee zinatoka

Plz nisaidie mawasiliano yko...
 
Inategemea zimesababishwa na nini, Muone Doctor aliye karibu na wewe umuelezee atakupatia Dawa.. Kutibu chunusi vibaya kunaweza kuzifanya kuwa sugu.
 
Heshima yenu wadau! naomben anayejua tiba asil ya chunus aniambie! natanguliza shukran zangu
 
Heshima yenu wadau! naomben anayejua tiba asil ya chunus aniambie! natanguliza shukran zangu

ukjuamapenzi zinaisha.... kidding,
umejaribu maji ya lima, ukwaju au manjano nasikia huwa zinasaidia!
 
kama unatatizo la chunusi hebu nitafute kwa namba 0712632465 usitumie creme...ntakusaidia

kama vip si umwage hapa huo msaada, utasaidia na wengine mkuu mmwamba unless kuna zaidi ya tiba hiyo ya chunusi!
 
Last edited by a moderator:
kama vip si umwage hapa huo msaada, utasaidia na wengine mkuu mmwamba unless kuna zaidi ya tiba hiyo ya chunusi!

hiyo dawa nilipewa na masai mi ziliniharibu kama ungeniona kipindi kile aiseee utashangaa ila iko expensive kidogo...
 
Last edited by a moderator:
hiyo dawa nilipewa na masai mi ziliniharibu kama ungeniona kipindi kile aiseee utashangaa ila iko expensive kidogo...

mkuu mmwamba inatoa pia madoa ya chunusi?
ikiwa hivyo basi tuchekiane....
 
Last edited by a moderator:
Paka shahawa nasikia zinasahidia changanya na limao baada ya hapo kila siku asubuhi uwe unanawa maji ya moto
 
ni ngumu kujua jina l,ol i kno uyo masai nikimshtua anafanya yake fasta....mi nakupa bure ukipona unaleta mkwanja ishu kuaminiana...thanks
 
Heshima yenu wadau! naomben anayejua tiba asil ya chunus aniambie! natanguliza shukran zangu

DAWA YA KUONDOWA CHUNUSI USONI

Unafahamu chunusi hutibika kwa Limau?

Limau lina tindikali aina ya citric ambayo inasaidia kuponya chunusi na vilevile

tunda hilo lina Vitamin C, ambayo ni muhimu kwa kuifanya ngozi iwe na afya

wakati alkali inayopatikana kwenye limau nayo husaidia kuua vijidudu

vinavyosababisha chunusi.Kunywa juisi ya limau kama chakula cha kwanza asubuhi kunaaminika kusadia kuboresha ngozi.Jinsi ya kutengeneza nyumbani mchanganyiko wa limau kwa ajili ya kutibu chunusi:

• Kwa kutumia pamba paka maji ya limau katika sehemu yenye chunusi na wacha kwa usiku kucha.
• Safisha kwa maji safi asubuhi inayofuata.
• Ingawa unaweza ukahisi kuwashwa wakati unapopatumia mchanganyiko huo juu ya ngozi mara ya kwanza, lakini

Baadaye hali hiyo huzoeleka. Au

1. Changanya maji ya limau ulioyakamu kutoka katika kipande kimoja cha limao na changanya na maji ya waridi (rose water) au asali nyepesi kwa kiwango hicho hicho.
2. Paka mchanganyiko huo kwenye sehemu za ngozi zenye chunusi na subiri kwa muda usiopungua nusu saa mpaka saa lizima.
3. Baadye osha kwa maji.

Mchanganyiko huu unapaswa kupakwa mara mbili kwa siku, bora utumiea asubuhi na jioni.

Muhimu:
Kutumia mchanganyiko huu hakuna madhara na ni wa asilia, lakini iwapo chunusi zinazidi au kuna vidonda vinavyoambatana na chunusi ni bora upate ushauri wa daktari kwanza

chanzo.
DAWA YA KUONDOWA CHUNUSI USONI

DAWA YA KUONDOWA CHUNUSI USONI

Unafahamu chunusi hutibika kwa Limau?

Limau lina tindikali aina ya citric ambayo inasaidia kuponya chunusi na vilevile

tunda hilo lina Vitamin C, ambayo ni muhimu kwa kuifanya ngozi iwe na afya

wakati alkali inayopatikana kwenye limau nayo husaidia kuua vijidudu

vinavyosababisha chunusi.Kunywa juisi ya limau kama chakula cha kwanza asubuhi kunaaminika kusadia kuboresha ngozi.Jinsi ya kutengeneza nyumbani mchanganyiko wa limau kwa ajili ya kutibu chunusi:

• Kwa kutumia pamba paka maji ya limau katika sehemu yenye chunusi na wacha kwa usiku kucha.
• Safisha kwa maji safi asubuhi inayofuata.
• Ingawa unaweza ukahisi kuwashwa wakati unapopatumia mchanganyiko huo juu ya ngozi mara ya kwanza, lakini

Baadaye hali hiyo huzoeleka. Au

1. Changanya maji ya limau ulioyakamu kutoka katika kipande kimoja cha limao na changanya na maji ya waridi (rose water) au asali nyepesi kwa kiwango hicho hicho.
2. Paka mchanganyiko huo kwenye sehemu za ngozi zenye chunusi na subiri kwa muda usiopungua nusu saa mpaka saa lizima.
3. Baadye osha kwa maji.

Mchanganyiko huu unapaswa kupakwa mara mbili kwa siku, bora utumiea asubuhi na jioni.

Muhimu:
Kutumia mchanganyiko huu hakuna madha
ra na ni wa asilia, lakini iwapo chunusi zinazidi au kuna vidonda vinavyoambatana na chunusi ni bora upate ushauri wa daktari
hii dawa imenisaidia si utani jamani
 
Back
Top Bottom