matatio ya chunusi yanawea yakatbia kwa kutumia tiba mbadala kadhaa yifuatao.
unga wa liwa
chukua unga wa liwa changanya na maji kidogo upate mchanganyiko kama uji uji hivi,paka usoni lala nao mpaka asubuhi.
inapofika asubuhi osha uso wako kw kutumia maji baridi fanya hivyo mara kwa mara na utaona mabadliko chanya.all the best...
kitunguu swaumu
kinaaminika kuwa na antbotics zenye uwezo mkubwa sana wa kupambana na aina mbalimbali a magonjwa yanayosababshwa na bacteria.
chukua ktunguu kibichi sugua katka eneo husika very genly fanya hivyo mara kwa mara itasaidia kuondoa tatizo la chunusi na makovu yake.....
kungu manga
chukua kungu manga saga vizuri baada ya kupata unga wake changanya na maziwa ambayo hayakuchemshwa hakikisha inakuwa kama cream/krimu pakaa kwaenye mahali palipoathrika,fanya hivyo mara kwa mara huondo chunusi na makovu yake..............
ute wa yai
wote tutakubaliana kuwa kwenye yai kuna ute fulani hivi wenye rangi kama ya maji hivi uchukue ute huo pasipo
kuchanganya na kiini pakaa usoni lala nao usiku mzima,asubuhi kabla ya kuosha sugua taratibu usoni kwenye ute huo ambao uatakuwa umekauka baada ya hapo osha uso wako kwa maji ya baridi .......fanya mara nyingi kalingana na mahitaji.......likiwa yai la kuku wa kienyeji naamin linafaa zaidi
barafu
chukua barafu pakaa usoni katika maeneeo husika kabla ya kulala,tiba hii inazuia uwezokano wa kuibuka kwa chunusi siku inayofuata.............
no side effects za aina yeyote.......all the best
reference
Mwananchi jumapili,issn 0856 7573 Na 04317,Aprl, 22, 2012 pp 08
dawa zipo,isipokuwa bei kubwa.kuna dada namfahamu alikuwa na chunusi nyingi usoni,akatumia cleanser,ni aina 3,ya kujifuta,ya kuoshea uso,na stage ya mwisho unapaka lotion yake.chunusi zilitoka kabisa.haichubui uso,ni nzuri mno.guarantee zinatoka
Plz nisaidie mawasiliano yko...
