Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

limau inaongoza kwa kutibu chunuc fanya hiv chukua limau kata minya maji yake kwenye chombo na nenda dukani kanunue magad yanayo itwa unga wa soda changanya na limau unga wasoda kama kijiko hiv nategemea ndani ya wiki utakuwa umepona kabisa kumbuka kuwa asubuhi na jion jion unalala nao
 
Ndugu mtoa mada,chunusi ziko za aina 2 na zaidi.kuna normal acne na cyst acne.normal acne inasababishwa na excess oil kwenye ngozi ambayo inaweza punguzwa na malimao,crubing pamoja na cleansing.cyst acne inasabaishwa na hormone imbalance.hii inatibika kwa kutumia dawa ambazo zitarekebisha mfumo wa hormones.pamoja na hii dawa ya mswaki (gel kind)husaidia kukausha but huacha madoa.zaidi ya haya ni muhimu ukamuona dr ili akueleze aina ya chunusi ulizonazo ili upate kuzitibu since tiba zake ni mbili tofauti.goodluck
 
Twanga kitunguu saumu kiasi cha kukuenea uso wako then Paka .
 
Wakuu msaada tafadhal kuna ugonjwa wa ngoz umenitokea ni vipele vidogo vidogo vinavyotoka kwenye ngoz ya mwil, haviwash,ila napoviacha vinakauka na kuacha makov meus, nimetumia aina nying ya dawa lakn imeshindikana,msaada wenu kwa anayejuwa tatizo hil tafadhal
Shukran za dhat kwa wale watakaokuwa wamenielewa
 
Dawa ya Vipele (chunusi) Na Ngozi:

Changanya na pasha moto kwa dakika mbili kikombe kimoja cha Unga wa Habbat-Sawdaa iliyosagwa, ½

(nusu) kikombe cha maganda ya komamanga yaliyosagwa, na ½ (nusu) kikombe cha siki ambayo

inatokana na juisi ya tofaha (Apple Cider Vinegar ). Paka katika sehemu inayotakiwa kabla ya kwenda kulala

kila usiku mpaka vipele (chunusi) vitakapoondoka. Mchanganyiko unaweza kukaa mpaka wiki

tatu na ni lazima uwekwe katika hali ya ubaridi.
 
Attachments

  • haba-sawda.jpg
    haba-sawda.jpg
    37.4 KB · Views: 267
  • Apple.jpg
    Apple.jpg
    7.2 KB · Views: 626
  • Maganda ya komamanga.jpg
    Maganda ya komamanga.jpg
    28.6 KB · Views: 256
Dawa ya Vipele (chunusi) Na Ngozi:

Changanya na pasha moto kwa dakika mbili kikombe kimoja cha Unga wa Habbat-Sawdaa iliyosagwa, ½

(nusu) kikombe cha maganda ya komamanga yaliyosagwa, na ½ (nusu) kikombe cha siki ambayo

inatokana na juisi ya tofaha (Apple Cider Vinegar ). Paka katika sehemu inayotakiwa kabla ya kwenda kulala

kila usiku mpaka vipele (chunusi) vitakapoondoka. Mchanganyiko unaweza kukaa mpaka wiki

tatu na ni lazima uwekwe katika hali ya ubaridi.

Mkuu hiyo kitu hapo kwenye red ina jina mbadala?

SP
 
Mkuu hiyo kitu hapo kwenye red ina jina mbadala?

SP
Hilo ndilo jina lake Mbadala kwa kiingereza inaitwa Nigella sativa seed Au black cumin kwa kiswa hili inaitwa HabaSoda Au (Habbat Sawda) nenda katika maduka ya dawa za kisunna uliza utapata.
 
Oriflame inawaletea tiba ya chunusi iitwayo PURE SKIN..kama jina lake lilivyo huondoa chunusi na madoa yote na kukuacha na ngozi nyororo,,haichubui ngozi yako itakuacha na ngozi asili,,hutumika na watu wote wenye ngozi ya mafuta!Tumia set nzima kwa matokeo mazuri..Bei yake ni 50,000/= piga 0757165003 ukihitaji,
 
Attachments

  • 1408166965538.jpg
    1408166965538.jpg
    149.7 KB · Views: 316
Kitendo cha tiba ya chunusi kumtibu huyu na isimtibu yule, huwa naamini kuwa hakuna dawa halisi ya chunusi.
 
seti nzima??
ina maana izo chupa 4 zote ziishe!?
kweli biashara matangazo halafu iyo bei sasa....... eskinol ya limao buku3 tu yanitosha
 
Kitendo cha tiba ya chunusi kumtibu huyu na isimtibu yule, huwa naamini kuwa hakuna dawa halisi ya chunusi.

Kuna aina tofauti za ngozi,kuna wenye ngozi za mafuta,na kuna wenye ngozi kavu..kitendo cha wewe kukurupuka na kutumia dawa ambayo sio yako waweza kupata matokeo usiyoyatarajia.Ndio maana Oriflame tunapima kujua aina ya ngozi kwanza!
 
Waweza pia kuja ofisi zetu za Oriflame kwa ajili ya uchunguzi,ushauri na tiba tupigie 0655868643
 
wanajamvi mwenzenu nina tatizo la kuwa na vipele vidogo vidogo uson kwangu alafu vina kama kakiin keupe kanatoka kama ukibonya. Mfano puan ukikamua utaona vitu vyeupe vinatoka? Sasa sielew tatizo ni nini hapo

Pole kwa shida yako karibu Oriflame tuna sabuni nzuri kwa ajili hiyo na scrub pamoja na lotion zitakazokausha mafuta
 
Jamani wadau wa jukwaa hili kwa anae jua dawa yoyote inayo tumika kutibu chunusi za usoni anisaidie maana sasa imekua kero
 
Back
Top Bottom