Kwa wateja wetu wapenzi, habari mpya tulizozipata siku mbili tatu nyuma za Aunt Zainab's Natural Super Clay:
Moto
Kutibu unapoungua na moto, uwe moto wa moja kwa moja au maji ya moto au mafuta ya moto.
1) Mteja wetu mmoja wetu aliunguliwa na mfanya kazi wake kwa maji ya moto mgongoni, ametueleza kuwa akakumbuka ana udongo wa Aunt Zainab alikuwa ameshaukoroga kwa matumizi yake, akawahi kumpaka mfanya kazi wake pale alipongua, na kilichofatia anasema ni "ajabu" na alipoungua hata lengelenge halikutoka na lilishaanza.
2) Mteja mwingine anasema "aliletewa mtoto wa ndugu yake kaunguwa jana, na na mtoto kakoboka ngozi pajani na makalioni pamekuwa pekundu kabisa, nyama inaonekana" anendelea kusema, akakumbuka ana udngo wa Aunt Zainab, akmpaka yule mtoto wa nduguye ansema baada ya dakika kama 30 mtoto akapatwa na usingizi, alipoamka kidonga kimefanya kigaga kama ambacho cha siku nyingi. Anasema "nipo tayari kutoa ushuda hata kanisani, huu udongo nimeuamini ni dawa ya moto ambayo haijawahi kutokea".
3) Mimi binafsi baada ya kusikia habari hizo, juzi nilkuwa napika maandazi, mafuta ya moto yakanimwagikia mkononi, nikawahi kujipaka udongo, ajabu ni kuwa sijatoka lengelenge wala kidonda na maumivu yalikata hapo hapo baada ya kujipaka huu udongo.
Wateja wote hao wawili wamesema wapo tayari kutoaa ushuhuda na kumuelezea kisa kizima wakati wowote. Kwa atae hitaji namba za kuwasiliana nao anitumie pm.
Jamani, mimi binafsi nilipoanza kuuza huu udongo sikujua kabisa kama pia utakuwa ni dawa ya moto lakini sasa ninadiriki kuuuza pia kama dawa ya moto.
Pia kuna wale walioungua na madawa ya "kujikoroga" wengi wanasema udongo unawasaidia sana na wanarudi katika hali yao ya zamani (kabla ya kuungua kwa madawa). Kutibu watu walioungua kwa madawa ya kujibuchua, kunachukua muda kidogo, inategemea na athari iliyopo, lakini matokeo ni mazuri sana.
Asanteni,
Aunt Zainab.