Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Habari wanajukwaa. Nimekuja tena. Nilikuwa na hili tatizo la makovu na chunusi kwa muda mrefu. Nimejaribu kila kitu kutumia lakini imeshindikana.
hapa jukwaani kuna mdada alinishauri bidhaa fulani na naona ipo popular na inatambulika sana lakini badala ya kuondoa makovu na chunusi yenyewe imefanya ngozi kuwa nyeupe zaidi ya hapo mwanzo japo ni kidogo. Na siku hizi hata nikienda kuoga au kusafisha uso lazima baadhi ya chunusi zitoe damu
nafikiria kuanza kutumia asali kwenye hayo makovu lakini kabla sijaanza ningependa kuuliza iwapo kuna mtu anayefahamu tiba nzuri ya uhakika, na tafadhali ntahitaji kuona watu iliowasaidia, sio kujiaminisha tu


kwa wale watakaotaka picha, hizi hapa
image.jpgimage.jpg
image.jpg
 
Mh my dear pole sn. Suala la ngozi nalo ni very sensitive unaweza tumia dawa ukakuta siyo ya ngozi yako. So jaribu kutembelea specialists au usipake kitu kabisa
 
Pole utapona, njoo nikupe dawa ya hizo chunusi usihangaishe ngozi hivyo cause asali siyo dawa ya chunusi bora ungesema limao but ndo hivyo ushaharibu ngozi vidonda vitauma.
 
Pole utapona, njoo nikupe dawa ya hizo chunusi usihangaishe ngozi hivyo cause asali siyo dawa ya chunusi bora ungesema limao but ndo hivyo ushaharibu ngozi vidonda vitauma.
Tupia dawa yako tuione mkuu
 
Kaka pia unawez tembelea bidhaa za forever wana sabuni flan ivi inauzwa 6000,ila sor jina nimesahau ile juu ina title MEN
 
issue yakutumia cream co safe sn coz inahitaj ushaur,coz accidentally ikikukataa itaku cost sn ku regain in normal state
 
Morogoro jamani huu udongo uhusike sana,au hakuna wakala wakutupatia huduma hii? Pia nashauri na viwango vya bei viwekwe wazi ili kuepuka ujanja ujanja.
 
Asante namtafuta na mie niujaribu.

Ninauhakika utaupenda tu, umesaidia wengi sana.

Hususan, wenye chunusi, fangasi, vipele, vidonda vya kawaida na moto, michubuko na ngozi zilizoathirika na makemikali ya kujikoroga.

Mbali ya wale wanaopenda ngozi zao ziwe na afya na mvuto.
 
Na sasa kwa mara ya kwanza Tanzania unaweza ku "afford" luxury ya "mud bath" nyumbani kwako.

Mud Bath ni njia moja ya kutoa sumu za mwilini na kuufanya mwili uwe morororo na kujisikia mchangamfu sana kila unapoifanya. Tatizo kubwaa lilikwa ni gharama zake. Wenezetu nje hutumia mpaka dollar 200 kwa kufanya mud bath kwenye maspaa.

Tanzania tumejaaliwa neema ya kuweza ku afford bath kama bure. Jaribu.

Unachukuwa pakti moja ya udongo wetu, siku moja kwa wiki, ambayo unataka ku relax, unatia kwenye maji bakuli moja (kama nusu kita maji), unauacha kwa muda wa saa moja ujichanganye wenyewe kisha unautazama uzito wake, (uwe kama kwenye picha), unajisiriba mwili mima (kama kwenye picha, usiache sehemu, uso na kila mahala.

Matokeo yake ni ya ajabu, uchovu wote huondoka mwilini, unajisikia fresh sana na ngozi inakuwa nyororo na vipele vipele vyote vinaondoka.

Jisomee:


Introduction of Mud Baths

Mud bath is a detox therapy, which has become extremely popular around the globe. Until rather recently, many European practitioners promoted mud baths as a treatment for arthritis. This back to the basics, relatively simplest of alternative therapies, tends to help relax muscles, soothe aches, improve blood circulation and smoothen the skin. With today's emerging trends mud baths are often recommended to help reduce stress and leave us feel rejuvenated at the end of the session.



bodywrapnew.gif


Skin and Detoxification

Conscious detoxing is a great way to achieve optimum health. The best ways to detox is through the skin. Detoxification is one of the most effective methods to eliminate toxic substances that build up throughout our system. The toxins present in the environment constantly attack the body. These toxins get accumulated in the body's fat layers. Accumulation of toxins in the body cause harm to the biological processes. Hence, it becomes essential to remove the toxins regularly from the body otherwise; a high toxin load may cause skin problem, frequent or recurring colds, chronic pains, low energy levels, allergies and other illness.

The skin is the largest breathing human organ. Keeping the skin healthy promotes general health and well being. Taking a hot bath or sauna promotes sweating that flushes the toxins away from the body. Mud baths draw out the toxins and impurities from the body, exfoliating and nourishing the skin.

Read more: Mud Baths Mud Baths

Kwa maelezo zaidi:

Zainab 0769302206
 
Back
Top Bottom