Habari wanajukwaa. Nimekuja tena. Nilikuwa na hili tatizo la makovu na chunusi kwa muda mrefu. Nimejaribu kila kitu kutumia lakini imeshindikana.
hapa jukwaani kuna mdada alinishauri bidhaa fulani na naona ipo popular na inatambulika sana lakini badala ya kuondoa makovu na chunusi yenyewe imefanya ngozi kuwa nyeupe zaidi ya hapo mwanzo japo ni kidogo. Na siku hizi hata nikienda kuoga au kusafisha uso lazima baadhi ya chunusi zitoe damu
nafikiria kuanza kutumia asali kwenye hayo makovu lakini kabla sijaanza ningependa kuuliza iwapo kuna mtu anayefahamu tiba nzuri ya uhakika, na tafadhali ntahitaji kuona watu iliowasaidia, sio kujiaminisha tu
kwa wale watakaotaka picha, hizi hapa