Rosicky
JF-Expert Member
- Sep 21, 2015
- 1,202
- 2,045
io sabuni nshatumiaga lakini haikunisaidia chochotePia nawia African black soap au Dudu Osun sabuni, mojawapo kati ya hizi lazima utasaidika. Pole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
io sabuni nshatumiaga lakini haikunisaidia chochotePia nawia African black soap au Dudu Osun sabuni, mojawapo kati ya hizi lazima utasaidika. Pole sana
Ulitumia dudu au black soap? Pia chochote unachoapply usitarajie matokeo ya haraka, hope hujatumia less than a month...again pole sana.io sabuni nshatumiaga lakini haikunisaidia chochote
>> MIMI nilikuwa na CHUNUSI hadi nilikuwa najiogopa Saana Vilikuwa vinatoa Usaha ila Hiyo Grace Zoa Zoa nimetumia Kwa miaka 3 sasa sina SABUNI nyingine zaidi ya HIyo zoazoa ni UVUMILIVU tu ila sasa watu wananiona HANDSOME>>
Hii Persol iliniunguza jamani sina hamu nayo.Nunua Persol 5.0 gel cream. Ni maalum kwa oily skins na acne
Achana na hao matapeli watumia mwanya huo kutangaza biashara yao hoo sabuni, mafuta huondoa chunusi hakuna kitu hapo. Mke wangu ameshumbuliwa sana na chunusi kwa muda mrefu ametumia hayo majisabuni ya zoazoa, malotion, majifuta hakuna kilichomsaidia.
Nenda phamarcy kanunue dawa za chunusi zipo Aina nyingi. Mke wangu alitumia Persol imemsaidia na amepona safi. Dawa ya chunusi ni kutibiwa na sio kudanganywa na matapeli hao
ikamzoa kweliYani jina la sabuni yenyewe tu....zoa zoa khaaaa
Ndio maana nimesema kuna dqwa nyingi unatumia kulingana na ushauri unaopewa na daktari kulingana ngozi yako. Kama unavamia tu kununua hutaona Matunda yakeHii Persol iliniunguza jamani sina hamu nayo.
Mimi nilipewa ushauri na Dr Muhimbili hadi leo niko njema.Ndio maana nimesema kuna dqwa nyingi unatumia kulingana na ushauri unaopewa na daktari kulingana ngozi yako. Kama unavamia tu kununua hutaona Matunda yake
Hongera sana. Kama mtu anasumbuliwa na chunusi aende hospitalini akutane na madaktari wa ngoziMimi nilipewa ushauri na Dr Muhimbili hadi leo niko njema.
pole sana mkuu naweza nikahisi ulivyopata taabu aisee pole sana mm mpaka nikahisi nimerogwa>> MIMI nilikuwa na CHUNUSI hadi nilikuwa najiogopa Saana Vilikuwa vinatoa Usaha ila Hiyo Grace Zoa Zoa nimetumia Kwa miaka 3 sasa sina SABUNI nyingine zaidi ya HIyo zoazoa ni UVUMILIVU tu ila sasa watu wananiona HANDSOME>>
ulikosea masharti haitakiwi ujipake halafu ukapigwa na miale ya juaHii Persol iliniunguza jamani sina hamu nayo.
of coz hio ni imaniAmini nakuambia,,siku utakapoacha kuhangaikia hizo chunis, ndio siku zitakapoanza kupona,,it worked to me
alikwambiajeMimi nilipewa ushauri na Dr Muhimbili hadi leo niko njema.
Mi nilikua na tatizo hilo, ila dawa ni maji tu asikwambie mtu.Habarin wadau mm ni bint ninasumbuliwa na tatizo la chunusi kwa mda mrefu,yaani zinaota usoni,kifuani na mgongoni na kuacha makovu hili tatizo linanikosesha raha,plz kwa mtu mwenye ufumbuzi naomba msaada plz
Hii si dawa ya tetekuwanga jmn,chunusi inaingiajeTumia calamine lotion nyakati za usiku