Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

io sabuni nshatumiaga lakini haikunisaidia chochote
Ulitumia dudu au black soap? Pia chochote unachoapply usitarajie matokeo ya haraka, hope hujatumia less than a month...again pole sana.
 
>> MIMI nilikuwa na CHUNUSI hadi nilikuwa najiogopa Saana Vilikuwa vinatoa Usaha ila Hiyo Grace Zoa Zoa nimetumia Kwa miaka 3 sasa sina SABUNI nyingine zaidi ya HIyo zoazoa ni UVUMILIVU tu ila sasa watu wananiona HANDSOME>>
 
Mkuu ulipotea sn....umerudi handsome
 
Achana na hao matapeli watumia mwanya huo kutangaza biashara yao hoo sabuni, mafuta huondoa chunusi hakuna kitu hapo. Mke wangu ameshumbuliwa sana na chunusi kwa muda mrefu ametumia hayo majisabuni ya zoazoa, malotion, majifuta hakuna kilichomsaidia.
Nenda phamarcy kanunue dawa za chunusi zipo Aina nyingi. Mke wangu alitumia Persol imemsaidia na amepona safi. Dawa ya chunusi ni kutibiwa na sio kudanganywa na matapeli hao
 
Nunua Persol 5.0 gel cream. Ni maalum kwa oily skins na acne
Hii Persol iliniunguza jamani sina hamu nayo.
Achana na hao matapeli watumia mwanya huo kutangaza biashara yao hoo sabuni, mafuta huondoa chunusi hakuna kitu hapo. Mke wangu ameshumbuliwa sana na chunusi kwa muda mrefu ametumia hayo majisabuni ya zoazoa, malotion, majifuta hakuna kilichomsaidia.
Nenda phamarcy kanunue dawa za chunusi zipo Aina nyingi. Mke wangu alitumia Persol imemsaidia na amepona safi. Dawa ya chunusi ni kutibiwa na sio kudanganywa na matapeli hao
 
Amini nakuambia,,siku utakapoacha kuhangaikia hizo chunis, ndio siku zitakapoanza kupona,,it worked to me
 
Hii Persol iliniunguza jamani sina hamu nayo.
Ndio maana nimesema kuna dqwa nyingi unatumia kulingana na ushauri unaopewa na daktari kulingana ngozi yako. Kama unavamia tu kununua hutaona Matunda yake
 
Mimi nilipewa ushauri na Dr Muhimbili hadi leo niko njema.
 
>> MIMI nilikuwa na CHUNUSI hadi nilikuwa najiogopa Saana Vilikuwa vinatoa Usaha ila Hiyo Grace Zoa Zoa nimetumia Kwa miaka 3 sasa sina SABUNI nyingine zaidi ya HIyo zoazoa ni UVUMILIVU tu ila sasa watu wananiona HANDSOME>>
pole sana mkuu naweza nikahisi ulivyopata taabu aisee pole sana mm mpaka nikahisi nimerogwa
 
Pole sana. Hilo ni suala la hormon na sijui kama lina utatuzi wa kudumu zaidi ya huu wa temporary wa kutumia vipodozi vya kuondoa mafuta usoni. Nakushauri kamuone daktari wa ngozi na siyo wauzaji wa vippdozi wao watakujazia makorokoro wapige pesa kwako na chunusi zitaendelea kuwepo. Kiuhakila baada ya miaka kadhaa nadhani above 30 years huwa zinaanza kutoweka zenyewe na baadae kuisha kabisa
 
Habarin wadau mm ni bint ninasumbuliwa na tatizo la chunusi kwa mda mrefu,yaani zinaota usoni,kifuani na mgongoni na kuacha makovu hili tatizo linanikosesha raha,plz kwa mtu mwenye ufumbuzi naomba msaada plz
Mi nilikua na tatizo hilo, ila dawa ni maji tu asikwambie mtu.
 
Back
Top Bottom