Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Wadau mimi mwandani wangu anasumbulia na tatizo hilo la chunusi anapouona mwezi. Msaada tafadhali
 
Hello Mwanajamii! Bila shaka unaendelea vema na kazi zako za kila siku. Kwa upande wangu ninaendelea vema namshukuru anayetujalia uzima na yote tuyafanyayo. Leo napenda kukushirikisha namna mtu anaweza kuondokana na matatizo ya ngozi ambayo husumbua wengi na wengine hushindwa kuelewa wafanyeje. Kuna watu huwa wanakuwa na vipele na huwa wanakuwa na tabia ya kuvibinya kila vitokeapo na baadaye huishia kubaki na uso wenye mabakamabaka. Fuatilia kwa makini namna mtu anaweza kuepukana na hali kama hiyo na kuweza kuishi kwa furaha kama wengine. Hii ni njia asilia isiyokuwa na madhara katika afya ya ngozi.

MAGILIM

Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;

  • Seamen cassie
  • Cassia bark
  • Mullberry leaver
  • Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;

  • Maji ya nyongo
  • Nguvu ya mwili(glucose)
  • Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ------ na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.

  1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.

KAZI YA MAGILIM

  • Kupunguza uzito na unene
  • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
  • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
  • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
  • Kutoa sumu mwilini
  • Kutoa chunusi mwilini
  • Kutibu matatizo ya tumbo

CORDY ROYAL JELLY


Bidhaa hii imetokana na mmea wa cordy ceps sinensis na Royal jelly.
Royal jelly – Inatokana na chakula maalum cha malkia wa nyuki.

FAIDA ZA CORDY ROYAL JELLY

  • Ina vitamin A,B,C,D,E na K ni chakula kilichokamilika.
  • Inaondoa cholesterol
  • Inaimarisha mfumo wa damu mwilini.
  • Ina faty Acid
  • Inaongeza nguvu na kutoa uchovu na kutoa sumu mwilini
  • Inakufanya usizeeke haraka(anti aging)
  • Kulainisha ngozi na kufanya ngozi kuwa nzuri
  • Inafanya damu kuwa nyepesi
  • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
  • Kuweka kiwango cha mafuta na cholesterol sawa.
  • Mafuta yaliyoganda kuzunguka moyo na kwenye mishipa ya damu huyeyusha na kulainisha mishipa ya damu.

REISHI


Bidhaa hii inatokana na uyoga mwekundu unaotoka Asia ya mashariki, China, Japan. Uyoga(Ganoderma licidum) unaaminika sana Asia ya mashariki kuwa ni mmea ambao unawapa urefu wa maisha.

FAIDA YA REISHI

  • Kuimarisha mfumo wa kinga mwilini
  • Inapunguza kasi ya kuzeeka
  • Inaimarisha utendaji kazi wa moyo
  • Inaondoa uchovu mwilini
  • Inaimarisha ubongo,kumbukumbu na usikivu
  • Inatibu presha ya kushuka
  • Inatibu vidonda vya tumbo
  • Inatibu pumu, allegy
  • Inasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kukupa usingizi mzuri
  • Inapambana na maambukizi ya bacteria na fungus
  • Inasaidia mwili kujikinga na kansa
  • Inatibu matatizo ya candida

Kwa swali lolote au ushauri waweza kuuliza kwa kunipigia 0776491294/0713889162 au kuniandikia kupitia email ishealthy@hotmail.com

MAGILIM ni 62500/-, CORDY ROYAL JELLY ni 68000/- na REISHI ni 85000/-
 

Attachments

  • MAGILIM.jpg
    MAGILIM.jpg
    15.2 KB · Views: 200
  • REISHI.jpg
    REISHI.jpg
    16.2 KB · Views: 195
CHUNUSI, MABAKA, KUUNGUA JUA…: SABUNI NZURI KWA NGOZI

PEARL SOAP: TSH. 5,000/=

1. Inaondoa MAFUTA (chunusi, mabaka, madoa) kwenye ngozi,
2. Inasafisha na kung’arisha ngozi, bila kuharibu rangi ya ngozi,
3. Inaondoa uchafu ambao upo kwenye uwazi (skin pores) na kuifanya ngozi ipumue vizuri,
4. Ngozi inakuwa laini kutokana na kusafishwa na kufunguliwa kwa uwazi wa ngozi yako,
5. Inaondoa sumu ya kwenye ngozi,
6. Inazuia UV (light/rays) zitokanazo na jua, ambazo zinatengeneza vitamin D yenye kazi ya kuimarisha mifupa na meno
• UV zikizidi kwenye ngozi husababisha madhara kwenye ngozi (mfano ngozi kuwa nyeusi, au nyekundu kwa wale wenye ngozi nyeupe)
• Mtu akikaa kwenye jua muda mrefu anabadilika rangi ya ngozi yake.

kwa Dar tupo Mwenge karibu na TRA au karibu na uwanja wa mpira wa mwenge, au karibu na kanisa la lutherani au karibu na kanisa la sabato au karibu na mjasiriamali kwanza, au karibu na afya dispensary

Mwanza tupo Kenyatta road kwenye ofisi yetu ya Godrich Services and General Supplies Co Ltd. wasiliana na 0754-299934 kwa wateja wa mwanza na kwa dar 0755-522018

Kwa Mikoani: Arusha, Dodoma na Mwanza tu

Kama ungependa kuwa supplier mikoani na dar es salaam,wasiliana nasi kwa 0755-522018
 

Attachments

  • 582006_196681123840604_781103932_n.png
    582006_196681123840604_781103932_n.png
    202.2 KB · Views: 302
Mkuu MziziMkavu, kwenye tiba zako nikiona neno inshallah, basi najua hapo ni bahati nasibu.
Mimi Tiba zangu huwa napenda sana Kumtanguliza Mwenyeezi Mungu mbele kwanza kuliko kitu chochote kile. Neno

inshallah
ni neno la kiarabu kwa kiswahili maana yake ni (Akipenda Mwenyeezi Mungu). Mimi huwa ninatumia dawa huku

nikimtanguliza Mwenyeezi Mungu mbele kuliko kitu chochote kile usihofu na neno langu hili inshallah. Ukiwa na imani na

Mwenyeezi Mungu basi wewe ni mtu wa kufanikiwa usipokuwa na imani na Mwenyeezi Mungu sijuwi nikuweke kwenye

fungu gani? Au unataka nimtangulize Bwana YESU Kuliko Mwenyeezi Mungu? kaka jambazi nijibu basi?
 
Habari zenu Wakuu.

Kiukweli chunusi zinanitesa sana. Naomba mnisaidie jinsi yakutibu hili tatizo. Kuna wakati uso unawasha kwa mbaali hivyo nahisi ni hizi chunusi ndio chanzo.

Vitu nilivyowahi kutumia kutokana nakushauriwa na watu mbalimbali ni kama vifuatavyo.
*Sabuni ya Magadi
*Sabuni ya Ukwaju
*Berta Cort N cream
(hii ilinichubua ngozi kiasi)
*Aloe vera lotion, mti wenyewe hata sabuni.
*Na Cream nyingine ambazo nimesahau majina yao

Vyote hivyo nimetumia bila mafanikio. Nisaidieni dawa ya hili tatizo jamani.

Gender=Male
 
tafuta kitu kinaitwa........adapalene gel.0.1%.......baada ya wiki uje uniambie........

Dr Preta........
 
Nawa uso wako kwa maji ya uvugu vugu na upake asali wakati wa kulalala
 
tafuta kitu kinaitwa........adapalene gel.0.1%.......baada ya wiki uje uniambie........

Dr Preta........

Asante sana mkuu Dr Preta. Je unaweza kunitajia sehemu yakuipata kwa Dar na Gharama zake. Ili iwe rahis kwangu kuitafuta
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom