Chunusi: Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

Poa kbs, mzima weye? Anko etu je? Unajua hizo kitu za puani zinaudhi sana, mtu umepiga neck tie yako safi white shirt afu hizo white stuff zinamea juu ya pua, zinaharibu the whole attire

Mie mzima sana na anko ako hajambo nae

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
wanajamvi mwenzenu nina tatizo la kuwa na vipele vidogo vidogo uson kwangu alafu vina kama kakiin keupe kanatoka kama ukibonya. Mfano puan ukikamua utaona vitu vyeupe vinatoka? Sasa sielew tatizo ni nini hapo

Ukilala usiku paka sabuni ya protex usoni lala nayo hadi asubuhi na nunua Eskinol ya 2500 na pamba baada ya kuogo unajifuta usoni baada ya wiki utakuwa MREMBOO tena lainiiii! Tena kama hujaolewa wiki haipiti lazima upate mume.
 
Hivo vitu vyeupe ni deads skins ambazo zikikutana na hewa sinafanya kama upele fulani hivi au tunaita whiteheads…Unaweza kuviondoa kwa kutumia facial cleansers na oil free moisturizer(cream).
  1. Osha uso mara mbili kwa siku na maji ya vuguvugu.Baada ya kuosha fanya kama unapigapiga taulo usoni/pat,usisugue.Hii ni njia inayopunguza uchafu na mafuta kujijenga kwenye skin pores.
  2. Tumia skin cleanser ambayo itaondoa uchafu/deadskin kwenye ngozi.Products kama alpha-hydorxyl acid,salicylic acid au benzoyl-peroxide ni nzuri kwa kuondoa hivo vitu.Ulizia famasi utavipata
  3. Steaming ni njia nzuri ya kuondoa white heads.Chemsha magi moto weka kwenye bakuli,acha ule mvuke ukupige usoni kwa dakika 15.Steaming ni njia nzuri ya kufungua pores/uwazi za kwenye ngozi,ambapo inakuwa kwa urahisi kuonoda uchafu kwenye ngozi
  4. Tumia scurbs za aina tofauti kusafisha ngozi ambazo nimezitaja chini
  5. Ukiosha na kuscrub uso unapoteza moist yote kwa hio ni vyema ukipaka cream ya uso kutokana na aina ya ngozi yako
  6. Ukitoka kuoga tumia vidole vyako viwili kusugua taratibu eneo la pua ,itaondoa ngozi zote zilizokauka.
  7. Epuka kujishika eneo hilo wakati wote,kwasababu vijidudu vilivyopo kwenye mikono vinasababisha muongezeko wa hali hio.
Kuna njia mbadala pia ambazo zinaweza kutumia nyumbani kuondoa hizo whiteheads.
  1. Limau:linasaidia sana kuondoa mafuta na deadskin kwenye ngozi.citric acid iliyopo kwenye limau inasaidia kufungua pores za uso na kuondoa uchafu wote uliokuwepo kwenye pua.Chukua juisi ya limau na sugua kwenye eneo la pua kwa dakika kumi.Rudia hivyo kila siku kwa wiki moja.
  2. Aloevera:ni anti-septic(inaua vijidudu) in nature na ina anti-oxidants.Changanya drop 3 za juisi ya limau na aloevera gel.weka kwenye uso,kisha sugua taratibu kwa dakika 15,suuza uso na maji moto.
  3. Nyanya:Nyanya inasemekana kuwa leukopene ambayo ina uchachu unaosaidia kuondoa whiteheads.Tengeneza juisi ya nyanya.Chukua hii juisi na uweke usoni mpaka ikauke.Suuza uso kwa maji ya vuguvugu.
  4. Asali:Kama una ngozi sensitiv epuka kutumia malimau au nyanya ili uepuka kupata irritation au upele.pasha moto asali yaani kwenye waterbath,ikiwa na joto la kiasi sio la kuunguza,weka usoni na usuge kwenye eneo la pua kwa dakika 10,kisha acha ikauke.Suuza inapokauka.
  5. Sugar scrub:Saga sukari iwe powder.Changanya na juisi ya limau,weka kwenye eneo la pua na scrub/sugua taratibu .
  6. Mayai:Mayai yana omega-3 fatacids nyingi,vitamins na minerals ambazo zinamea ngozi.Chukua ule WEUPE wa yai weka kwenye uso,ukishakauka suuza na maji ya vuguvugu.
 
Hivo vitu vyeupe ni deads skins ambazo sikikutana na hewa sinafanya kama upele fulani hivi au tunaita whiteheads…Unaweza kuviondoa kwa kutumia facial cleansers na oil free moisturizer(cream).
  1. Osha uso mara mbili kwa siku na maji ya vuguvugu.Baada ya kuosha fanya kama unapigapiga taulo usoni/pat,usisugue.Hii ni njia inayopunguza uchafu na mafuta kujijenga kwenye skin pores.
  2. Tumia skin cleanser ambayo itaondoa uchafu/deadskin kwenye ngozi.Products kama alpha-hydorxyl acid,salicylic acid au benzoyl-peroxide ni nzuri kwa kuondoa hivo vitu.Ulizia famasi utavipata
  3. Steaming ni njia nzuri ya kuondoa white heads.Chemsha magi moto weka kwenye bakuli,acha ule mvuke ukupige usoni kwa dakika 15.Steaming ni njia nzuri ya kufungua pores/uwazi za kwenye ngozi,ambapo inakuwa kwa urahisi kuonoda uchafu kwenye ngozi
  4. Tumia scurbs za aina tofauti kusafisha ngozi ambazo nimezitaja chini
  5. Ukiosha na kuscrub uso unapoteza moist yote kwa hio ni vyema ukipaka cream ya uso kutokana na aina ya ngozi yako
  6. Ukitoka kuoga tumi vidole vyako viwili kusugua taratibu eneo la pua ,itaondoa ngozi zote zilizokauka.
  7. Epuka kujishika eneo hilo wakati wote,kwasababu vijidudu vilivyopo kwenye mikono vinasababisha muongezeko wa hali hio.
Kuna njia mbadala pia ambazo zinaweza kutumia nyumbani kuondoa hizo whiteheads.
  1. Limau:linasaidia sana kuondoa mafuta na deadskin kwenye ngozi.citric acid iliyopo kwenye limau inasaidia kufungua pores za uso na kuondoa uchafu wote uliokuwepo kwenye pua.Chukua juisi ya limau na sugua kwenye eneo la pua kwa dakika kumi.Rudia hivyo kila siku kwa wiki moja.
  2. Aloevera:ni anti-septic(inaua vijidudu) in nature na ina anti-oxidants.Changanya drop 3 za juisi ya limau na aloevera gel.weka kwenye uso,kisha sugua taratibu kwa dakika 15,suuza uso na maji moto.
  3. Nyanya:Nyanya inasemekana kuwa leukopene ambayo ina uchachu unaosaidia kuondoa whiteheads.Tengeneza juisi ya nyanya.Chukua hii juisi na uweke usoni mpaka ikauke.Suuza uso kwa maji ya vuguvugu.
  4. Asali:Kama una ngozi sensitiv epuka kutumia malimau au nyanya ili uepuka kupata irritation au upele.pasha moto asali yaani kwenye waterbath,ikiwa na joto la kiasi sio la kuunguza,weka usoni na usuge kwenye eneo la pua kwa dakika 10,kisha acha ikauke.Suuza inapokauka.
  5. Sugar scrub:Saga sukari iwe powder.Changanya na juisi ya limau,weka kwenye eneo la pua na scrub/sugua taratibu .
  6. Mayai:Mayai yana omega-3 fatacids nyingi,vitamins na minerals ambazo zinamea ngozi.Chukua ule WEUPE wa yai weka kwenye uso,ukishakauka suuza na maji ya vuguvugu.
Shukran.
Msiba wa wengi huu
 
Hivo vitu vyeupe ni deads skins ambazo zikikutana na hewa sinafanya kama upele fulani hivi au tunaita whiteheads…Unaweza kuviondoa kwa kutumia facial cleansers na oil free moisturizer(cream).
  1. Osha uso mara mbili kwa siku na maji ya vuguvugu.Baada ya kuosha fanya kama unapigapiga taulo usoni/pat,usisugue.Hii ni njia inayopunguza uchafu na mafuta kujijenga kwenye skin pores.
  2. Tumia skin cleanser ambayo itaondoa uchafu/deadskin kwenye ngozi.Products kama alpha-hydorxyl acid,salicylic acid au benzoyl-peroxide ni nzuri kwa kuondoa hivo vitu.Ulizia famasi utavipata
  3. Steaming ni njia nzuri ya kuondoa white heads.Chemsha magi moto weka kwenye bakuli,acha ule mvuke ukupige usoni kwa dakika 15.Steaming ni njia nzuri ya kufungua pores/uwazi za kwenye ngozi,ambapo inakuwa kwa urahisi kuonoda uchafu kwenye ngozi
  4. Tumia scurbs za aina tofauti kusafisha ngozi ambazo nimezitaja chini
  5. Ukiosha na kuscrub uso unapoteza moist yote kwa hio ni vyema ukipaka cream ya uso kutokana na aina ya ngozi yako
  6. Ukitoka kuoga tumia vidole vyako viwili kusugua taratibu eneo la pua ,itaondoa ngozi zote zilizokauka.
  7. Epuka kujishika eneo hilo wakati wote,kwasababu vijidudu vilivyopo kwenye mikono vinasababisha muongezeko wa hali hio.
Kuna njia mbadala pia ambazo zinaweza kutumia nyumbani kuondoa hizo whiteheads.
  1. Limau:linasaidia sana kuondoa mafuta na deadskin kwenye ngozi.citric acid iliyopo kwenye limau inasaidia kufungua pores za uso na kuondoa uchafu wote uliokuwepo kwenye pua.Chukua juisi ya limau na sugua kwenye eneo la pua kwa dakika kumi.Rudia hivyo kila siku kwa wiki moja.
  2. Aloevera:ni anti-septic(inaua vijidudu) in nature na ina anti-oxidants.Changanya drop 3 za juisi ya limau na aloevera gel.weka kwenye uso,kisha sugua taratibu kwa dakika 15,suuza uso na maji moto.
  3. Nyanya:Nyanya inasemekana kuwa leukopene ambayo ina uchachu unaosaidia kuondoa whiteheads.Tengeneza juisi ya nyanya.Chukua hii juisi na uweke usoni mpaka ikauke.Suuza uso kwa maji ya vuguvugu.
  4. Asali:Kama una ngozi sensitiv epuka kutumia malimau au nyanya ili uepuka kupata irritation au upele.pasha moto asali yaani kwenye waterbath,ikiwa na joto la kiasi sio la kuunguza,weka usoni na usuge kwenye eneo la pua kwa dakika 10,kisha acha ikauke.Suuza inapokauka.
  5. Sugar scrub:Saga sukari iwe powder.Changanya na juisi ya limau,weka kwenye eneo la pua na scrub/sugua taratibu .
  6. Mayai:Mayai yana omega-3 fatacids nyingi,vitamins na minerals ambazo zinamea ngozi.Chukua ule WEUPE wa yai weka kwenye uso,ukishakauka suuza na maji ya vuguvugu.
aah! kumbe ni chunusi! juzi nilikuwa napitia habari za chunusi. nikakuta kuna whiteheads na blackheads. umenitoa ushamba.
 
Aminiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Dr. mimi49 mie huwa najaribu kila njia ya asili kuondoa hizo makitu. Ilaa baada ya muda nakuwa mvivu naacha!!
Tatizo ni kwamba hivi vitu vinasababishwa kama una ngozi ya mafuta na vinajirudia...kwahio ni muhimu kama ukijijengea system au rutine mfano kwa wiki unafanya facial cleansing mara mbili na kila siku uoshe uso mara mbili na utumie cream nzuri kama una sensitive skin tumia cream for sensitive skin....Ni muhimu ujue una ngoz ya aina gani coz zimegawanyika mara nne
  1. Normal skin
  2. Sensitive skin
  3. Oily skin
  4. Dry skin
 
Uso wangu ni oily skin...
 
Maji kumbe mhimu kila idala,nami nasem tumia maj kwa wing utaona mafanikio ww mwenyew
 
Kama akinawa kila wakati si anakua anaondoa essential oils pia
Vipi juu ya kupata product ya kutumia ili ipate kumsaidia aweze kuwa walau good looking
 
Kuhusu products kwakweli sijajua ila hiyo ya kunawa uso ni ya hakika, kwani kikawaida uso wenye tatizo hilo hutoa mafuta wenye so unaifanya ngozi ipumue kwa shida, sasa ukipaka mafuta unaifanya ngozi kushndwa kupumua na ndio hutoke mabonde usona ambayo ukiyakamua yakipona yanakuwa mabaka.
 
Kwachunusi m nlitumia udongo mwekundu na ndimu unachukua ule udongo wa kula kinamama unausaga unakua unga unakamulia ndimu mpaka linakuwa tope unapaka usoni unaacha mpaka unakauka ukifanya hyo week tu lazma uone matokeo
 
Duuuuuh
Asante ila tiba yako noma aseee ila ntamwambia dogo ajaribu
 
Trust me nitiba nzuri imenisaidia sana ila asiweke liwe tope zito unakata kipisi kidogo unaponda unaweka kwenye kijikikopo unakakulia ndimu inauma sana ila avumilie tu utanipa majibu
 
Shukrani sana kumbe ushaijaribu wewe basi ngoja nmwambia sasa hivi
 
Back
Top Bottom