Chunya, Mbeya: Ndoto ya Hamza kujenga shule yaacha simanzi

Chunya, Mbeya: Ndoto ya Hamza kujenga shule yaacha simanzi

Nuraty J

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
1,729
Reaction score
3,831
Hamza pc

Summary

  • Ndoto ya marehemu Hamza Mohamed ya kujenga vyumba vya madarasa wilayani Chunya imeacha simazi miongoni mwa wanavijiji waliokuwa wkaiishi naye.
By Hawa Mathias

Mbeya. Wakati bado kukiwa na majonzi ya vifo vya askari polisi waliokuwa wakipambana na mfanyabiashara wa madini, Hamza Mohamed ambaye pia aliuawa, baadhi ya wananchi wilayani Chunya mkoani wameeleza ndoto ya mfanyabiashara huyo kuwajengea vyumba viwili vya madarasa ya awali mwaka huu katika eneo alilokuwa akiishi.

Mauaji hayo yaliyotokea Agosti 25, 2021 karibu na ubalozi wa Ufaransa jijini Dar es Salaam, baada ya Hamza kuwashambulia askari watatu kwa risasi mlinzi wa kampuni ya GSA, kabla na yeye kuuawa na askari wengine.

Ndoto hiyo ya marehemu Hamza imeelezwa kuwa ni kidonda na machungu kwa wananchi waliokuwa wakiishi naye kitongoji cha Kitete kilichopo kata ya Bwawani wilayani ambapo mfanyabiashara huyo alikuwa na mgodi wa madini ya dhahabu.

Diwani wa Kata ya Bwawani ambako alikuwa akiishi, marehemu Hamza amesema hilo ni pigo kwani alikuwa na ndoto za kuleta mabadiliko makubwa

"Huyo kijana kwa kweli ametuumiza sana kwani alikuwa ni mtu wa kujitolea kwenye mambo mengi ya maendeleo pamoja na kujenga ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa gharama zake mwenyewe na mambo mengine mengi kwa jamii"amesema.

Ameongeza; "Alipanga mwaka huu kutekeleza ndoto yake ya kujenga shule kwa kianzia vyumba viwili vya madarasa ya chekechea endapo biashara ya madini ingeenda vizuri lengo kuwezesha watoto walio na umri wa kwenda shule wapate elimu bure ndoto ambao imezima na kugeuka maumivu," amesema.

Naye Eva Said kazi wa kitongoji hicho, amesema kuwa marehemu Hamza ameacha maumivu makali kwao kwani lengo lake la kujenga shule lingekuwa chachu kwa watoto kupata elimu na kwamba alihaidi kukibatilisha kitongoji chetu ambapo kwa bahati mbaya amekatishwa uhai wake akiwa bado na ndoto za kuisadia jamii.

"Kwa kweli tumeumia sana kwani tulimpenda kutokana na jinsi alivyokuwa akijitoa na kusaidia wananchi,miradi ya maendeleo kwa kweli ni pigo kubwa sana kwetu wananchi ambao tulikuwa tukiishi naye," amesema.

Mfanyabishara katika Mamlaka ya mji wa Makongorosi , Lawena Nsonda amesema kuwa kimsingi marehemu alikuwa ni mtu anayejishusha na kuongea na kila mmoja ikiwa ni pamoja na kuchangia maendeleo na alifahamiana naye wakati akijenga Ofisi cha Chama cha Mapinduzi (CCM) kwani alikuwa akimuungisha vifaa vya ujenzi.

Mwenyekiti wa wachimbaji wa madini Wilaya ya Chunya, George Mtashi amesema kuwa kifo cha Hamza kimewaumza sana kutokana na mchango wake mkubwa kwa jamii na ndoto alizokuwa nazo wilayani humo

Chanzo: Mwananchi
 
Inaelekea Hamza alikugegeda na hakukupa hela

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
mkuu inawezekana maana Kila thread inayomzungimzia Legend Hamza lenyewe linakuja kumuatack yaani inaonekana Lina frustration za kutosha au alitinduliwa marinda baada ya kushoboka Kwa handsome la kisomali na akatoswa!
 
Nachofahamu kwa elimu ya msingi ni bure kwa nchi yetu, sasa sujaelewa bwana Hamza alitaka kutoa elimu ipi bure
Mkuu nadhani huko Kuna uhaba wa shule hivyo alitaka ajenge shule Kwa pesa zake na kuwakabidhi wananchi ambao wataikabidhi serikali Bure bila kuchangisha wananchi wa eneo husika gharama yoyote ndio nimeelewa hivyo!
 
Shoga tu ndio unaweza kumuita mwanaume mwenzio handsome.
nimemwita hivyo Kwa niaba Yako wewe kocho maana unamuatack Hamza ova alikusugusua bila kukulipa na ndio maana nasema Kama alifanya hivyo Kwa sababu ya shobo zako
Kwa kumwona handsome na ukaishia kutoswa bibie hakimu mfawidhi a.k.a pisi chafu!
 
Back
Top Bottom