Chunya, Mbeya: Ndoto ya Hamza kujenga shule yaacha simanzi

Chunya, Mbeya: Ndoto ya Hamza kujenga shule yaacha simanzi

Hajui kuwa gaidi anaingia mfano mlimani city analijilipua. Ama anaingia kwa cinema watu wengi Sana anajilipua nao

Mfano shuleni ama chuoni watu wako kwa lecture nyomi anajiachia na bomu.
Yeye alichagua polisi tu ni kwa Nini.
Hakumbuki Ile eicher ilikuwepo pale na abiria kibao Ila hakufyatua risasi hata moja kwao.
Kuna raia gani wa kawaida aliyeuliwa aseme
waulize tukio la Westgate mall waambiwe magaidi wana rangi Gani!
 
Nachofahamu kwa elimu ya msingi ni bure kwa nchi yetu, sasa sujaelewa bwana Hamza alitaka kutoa elimu ipi bure
Weweee uko dar kwenyewee wanamuomba amba ruty wawajengee fensi ya shule....hyo Bure inatoka wapi au siasi ishakulevya
 
Alioishi nao wanasema alikuwa mtu mzuri sana, ajabu sirro anasema alikuwa mtu wa hovyo!
Sirro mwenyewe ni mtu wa hovyo kuliko Hamza.Hebu tujiulize kati ya Sirro na Hamza nani ameshaua watu wengi??.
 
Bora hata ya Hamza aliwah kutoakatika jamii anachopata kwa halali kupiti Kaz yake

Kamanda SIRO licha ya mshahara mkubwa hajawah kuchangia hata KALAMU eneo analotoka huwez amin watoto wanakaa chini hawana madawati

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
hahahaaaaa kamanda Zirro akiona hii diss Toka Kwa kijana machachari Toka Peramiho lazima atacharuka na kusema umetumwa na wapinzani umchafue!
Polisiccm wakipataga Hela Kwa utapeli na rushwa akili zao hua zinashuka kichwa Cha chini
Moja Kwa Moja kwaaaaaaaaa

Sinza Moriiiiiiiiiii!
😁😁😁😁
 
Hamza kajitahidi Sana kuwauwa hawa mbwa wa maccm ilitakuwa awakill hata Mia Hv.
 
Avatar yako mkuu, dah imenipa stimu, slim body ndio ugonjwa wetu wengine, ngongingo tumewaachia wadau
Kweli wanaume tunazidi kupungua, anyway I reserve my comment ili nisivunje heshima yangu na yako.
 
Nachofahamu kwa elimu ya msingi ni bure kwa nchi yetu, sasa sujaelewa bwana Hamza alitaka kutoa elimu ipi bure
Yawezekana upo sehemu wanafunzi wananeemeka kwa kukaa kwenye madarasa yenye madawati safi kabisa, ila wananchi ambao watoto wao wanaingia kwa shift darasa moja au wanasomea chini ya muembe na hawana madawati kwa hili hawakuelewi
 
mkuu inawezekana maana Kila thread inayomzungimzia Legend Hamza lenyewe linakuja kumuatack yaani inaonekana Lina frustration za kutosha au alitinduliwa marinda baada ya kushoboka Kwa handsome la kisomali na akatoswa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom