Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Kwa heshima yangu kwako kaka mkubwa sipendi kubattle na wewekwani wewe alikuwa anakuweka!!!
yule gaidi wazi kabisa unamtetea!!!
waulize tukio la Westgate mall waambiwe magaidi wana rangi Gani!Hajui kuwa gaidi anaingia mfano mlimani city analijilipua. Ama anaingia kwa cinema watu wengi Sana anajilipua nao
Mfano shuleni ama chuoni watu wako kwa lecture nyomi anajiachia na bomu.
Yeye alichagua polisi tu ni kwa Nini.
Hakumbuki Ile eicher ilikuwepo pale na abiria kibao Ila hakufyatua risasi hata moja kwao.
Kuna raia gani wa kawaida aliyeuliwa aseme
Weweee uko dar kwenyewee wanamuomba amba ruty wawajengee fensi ya shule....hyo Bure inatoka wapi au siasi ishakulevyaNachofahamu kwa elimu ya msingi ni bure kwa nchi yetu, sasa sujaelewa bwana Hamza alitaka kutoa elimu ipi bure
Kweli mkuu ccm kuna wengi sana,alikuwa mwana ccm kindakindaki kwa mujibu Wa majirani zake mule chunya.Hamza alikua gaidi, hilo halina ubishi.
Sawa Hakimu Mfawidhi.Hamza alikua gaidi, hilo halina ubishi.
Afrika jinga sana, yaani hujafanya Uchunguzi unahukumu tu.Bora gaidi limeondoka kabla ya kujenga shule hiyo shule ingekuwa pepo ya magaidi
Sirro mwenyewe ni mtu wa hovyo kuliko Hamza.Hebu tujiulize kati ya Sirro na Hamza nani ameshaua watu wengi??.Alioishi nao wanasema alikuwa mtu mzuri sana, ajabu sirro anasema alikuwa mtu wa hovyo!
Safi dada mrembo,mtoe matongotongo huyu jamaa.Hujui maana ya neno gaidi. Kama hujaenda shule, japo google basi....
hahahaaaaa kamanda Zirro akiona hii diss Toka Kwa kijana machachari Toka Peramiho lazima atacharuka na kusema umetumwa na wapinzani umchafue!Bora hata ya Hamza aliwah kutoakatika jamii anachopata kwa halali kupiti Kaz yake
Kamanda SIRO licha ya mshahara mkubwa hajawah kuchangia hata KALAMU eneo analotoka huwez amin watoto wanakaa chini hawana madawati
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kweli wanaume tunazidi kupungua, anyway I reserve my comment ili nisivunje heshima yangu na yako.Avatar yako mkuu, dah imenipa stimu, slim body ndio ugonjwa wetu wengine, ngongingo tumewaachia wadau
CongolKweli wanaume tunazidi kupungua, anyway I reserve my comment ili nisivunje heshima yangu na yako.
Yawezekana upo sehemu wanafunzi wananeemeka kwa kukaa kwenye madarasa yenye madawati safi kabisa, ila wananchi ambao watoto wao wanaingia kwa shift darasa moja au wanasomea chini ya muembe na hawana madawati kwa hili hawakuelewiNachofahamu kwa elimu ya msingi ni bure kwa nchi yetu, sasa sujaelewa bwana Hamza alitaka kutoa elimu ipi bure
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]mkuu inawezekana maana Kila thread inayomzungimzia Legend Hamza lenyewe linakuja kumuatack yaani inaonekana Lina frustration za kutosha au alitinduliwa marinda baada ya kushoboka Kwa handsome la kisomali na akatoswa!
Kwa hiyo CCM ni chama cha MagaidiHamza alikua gaidi, hilo halina ubishi.