Chuo cha Kiislamu cha Al Mustafa Mbezi Beach Chateketea kwa moto

Chuo cha Kiislamu cha Al Mustafa Mbezi Beach Chateketea kwa moto

Cha muhimu asijeruhiwe au kufa mtu. Hizo mali zinatafutwa tu tena wakiwa smart wanachangisha harambee wanajenga vizuri zaidi
 
Nimepita pale nimeona polisi na jeshi la uokoaji na zimamoto hawajui nini cha kufanya moto uko ghorofa ya juu na vifaa vya kuzimia moto juu ya ghorofa hawana.

Nchi ngumu sana hii nimeona niiingie zangu EB 25 kula pombe tu
Kule juu ndo dorms magodoro yalikuwa mapyaa, ukipita mchana unayaona yanameremeta
 
Duh hatari sana...bila shaka hakuna vifo wala majeruhi
 
Back
Top Bottom