Chuo cha Kiislamu cha Al Mustafa Mbezi Beach Chateketea kwa moto

Chuo cha Kiislamu cha Al Mustafa Mbezi Beach Chateketea kwa moto

Chuo cha Kiislamu cha Al Mustafa kilichopo maeneo ya Mbezi Beach Makonde, Jijini Dar es Salaam kinateketea kwa moto. Chanzo cha Moto huo bado hakijajulikana.

View attachment 2534139

=====

UPDATE:

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule amesema moto uliounguza Chuo cha AI Mustafa Mbezi Beach Dar es salaam usiku huu umesababisha Mwanafunzi mmoja kujeruhiwa lakini hakuna ripoti ya kifo licha ya madhara ya vifaa kuungua ikiwemo komputa mpya 30, magodoro, passport na vyeti.

"Moto umedhibitiwa kwa kiasi kikubwa, zoezi linaloendelea sasa ni kuwahamisha Wanafunzi wote 120 wa Chuo hiki kutoka Mbezi Beach na kuwapeleka Temeke ambako kuna eneo ambalo limeandaliwa kwa ajili ya Wanafunzi hao kulala kwa leo huku taratibu nyingine zikiendelea kufanywa"

"Tutafanya uchunguzi kujua kilichotokea lakini kwa sasa usalama umedhibitiwa maeneo haya, Wanafunzi kwa sasa wanapelekwa Chang'ombe na tayari gari la kwanza limeondoka na Wanafunzi 50, kuanzia kesho tutakaa na Uongozi wa Chuo kuona juhudi za kufanya ukaratabati ili shughuli za Chuo ziweze kuendelea"

Chanzo: Millard Ayo
Shocking 😱
 
Nimepita pale nimeona polisi na Jeshi la uokoaji na zimamoto hawajui nini cha kufanya moto uko ghorofa ya juu na vifaa vya kuzimia moto juu ya ghorofa hawana.

Nchi ngumu sana hii nimeona niiingie zangu EB 25 kula pombe tu
Sema tu HATUNA JESHI LA ZIMAMOTO NCHI HII

Hakuna wanachoweza kusaidia ili kuokoa uhai au Mali

Ni usanii na ulaji rushwa tu
 
Hizi taasisi za elimu za kiislamu kwanini ndio zinaongoza kuwaka moto?

Kuna jambo nyuma ya moto wa mara kwa mara kwenye hizi taasisi.
kama wani...fi..ana huko kwanini moto usiwake? yaani ilibidi uwachome ili uwe fundisho kwa kila punga na wenye nia ya kuwa mapunga
 
Back
Top Bottom