Ndo maan mimi sikusoma bongo.....Mateso gani haya maana vitabu hakuna, pesa ya manati mpaka mpigwe mabomu ndo mpewe waalimu wenyewe wanakufundisha kisha wanaona uchungu kwa wewe nawe kuwa msomi kama wao, elimu yenyewe haina viwango, mitihani migumu ya kukomoana, syllabus haieleweki, notes zipo lakini mtihani unatoka tofauti na topic katika notes.....etc....etc.....Kazi pia kupata kwa mbinde...ukiwa demu mpaka ugongwe ndo upate lo!!!!! Bongooooooooooooooo....
Asifiwe kwani ana mtoto?
ACHA UONGO WEWE! MIE NIKO HAPA SAUT KWA MUDA MREFU. NAHISI TANZANIA, CHUO CHENYE LIBRARY KUBWA ILIO SHEHENI VITABU NI SAUT MWANZA. TATIZO LAKO KABLA YA MITIHANI KUFIKA MUDA WOTE UKO BAA; na MMEJENGA TABIA YA KUTOSOMA VITABU ILA LECTURE NOTES ZAKO NDO UNACHUKUA UNAENDA NAZO LIBRARY KUSOMA AFU ETI UNAJIITA MSOMI, MTIHANI UMEFIKA NDO UNATAFTA VITABU!! USHAURI: KUNA ONLINE BOOKS KWENYE COMPUTER ZOTE ZA SAUT, KAMA HUJUI KUTUMIA ULIZA LIBRARY ATTENDANT WATAKUELEKEZA JINSI YA KUTUMIA. KTK ENZI HIZI ZA DIGITAL HAINA HAJA KUWA NA SHELVES NYINGI. NENDA NA FLASH YAKO WATAKUWEKEA VITABU UNAVYOTAKA NA UTAJISOMEA ROOM KWAKO. BWANA YESU AFISIWE.
Mkuu mwenzako analalamika vitabu hakuna unamwambia achukue flash yake akachukue Soft Copy akasome room kwake, hela ya kununulia kitabu hana hiyo Laptop itakuaje sasa?
nyambafu watu, tumetumia madesa afu ww uanawaza vitabu? ww ni raia kweli?
Hana lolote huyo hata siyo kati ya wasomi achana naye utasemaje supervision mbovu ya saut wakati inafungua branches kila corner ya nchi hii na ili kuhakikisha kila kijana mtanzania anapata elimu ya chuo kikuu japo kwa ada ndogo.
Huyu katumwa na wale walokuwa wakisema inabidi SAUT ichunguzwe inapataa wapi uwezo wa kufungua vyuo vikuu?
USHAURI: VC wa SAUT naomba kama itawezekana growth stage iishhie hapo, anza stability then mtaendelea baada ya kujiridhisha kuwa sasa mmeboresha sehem chache ambazo kidogo tupo nyuma ukilinganisha na vyuo vya nje.
VIVA SAUT VIVA FR. KITIMA VIVA FR. MGENI
Hongera mkuu kwa kusoma nje ya nchi..
Wakati wasomi na wadau mbalimbali wakipigia kelele uozo na ubora wa elimu katika ngazi ya sekondari.. hali imekua mbaya pia katika baadhi ya vyuo vikubwa hapa nchini HASA chuo cha MTAKATIFU AGOSTINO MWANZA. wanafunzi wamekuwa wakisubiriana kushea vitabu kama wakina mama kule kijijini wanavyo subiriana kuchita maji katikt kisima..Wanafunzi wa kozi za PUBLIK RELATION NA kozi za JONALISM wanalazimika mda mwingine kuficha kitabu wanapochoka kusoma ili akirudi tena akikute maana akikiacha wazi watachukua wengine hivyo atakoas kusoma...Taitizo hapa nikua hivi vyuo vya private havina supavisheni yoyote kutoka serikalin ndomana wanatoa huduma mbovu kabisa...Je vyuo vikuu navyo vinasubiri MBATIA APIGE KELELE? au Mheshimiwa pinda pindua aunde TUME? tAIFA LIKO MAHUTUTI kwa mtindo huu tatapigw sana bao na manajumuiya wenzetu wa KENYA,UGANDA,BURUNDI NA RWANDA.. naunga mkono hoja