Chuo cha Mtakatifu Agostino ni majanga

Chuo cha Mtakatifu Agostino ni majanga

Ndo maan mimi sikusoma bongo.....Mateso gani haya maana vitabu hakuna, pesa ya manati mpaka mpigwe mabomu ndo mpewe waalimu wenyewe wanakufundisha kisha wanaona uchungu kwa wewe nawe kuwa msomi kama wao, elimu yenyewe haina viwango, mitihani migumu ya kukomoana, syllabus haieleweki, notes zipo lakini mtihani unatoka tofauti na topic katika notes.....etc....etc.....Kazi pia kupata kwa mbinde...ukiwa demu mpaka ugongwe ndo upate lo!!!!! Bongooooooooooooooo....

Hongera mkuu kwa kusoma nje ya nchi..
 
Hana lolote huyo hata siyo kati ya wasomi achana naye utasemaje supervision mbovu ya saut wakati inafungua branches kila corner ya nchi hii na ili kuhakikisha kila kijana mtanzania anapata elimu ya chuo kikuu japo kwa ada ndogo.
Huyu katumwa na wale walokuwa wakisema inabidi SAUT ichunguzwe inapataa wapi uwezo wa kufungua vyuo vikuu?

USHAURI: VC wa SAUT naomba kama itawezekana growth stage iishhie hapo, anza stability then mtaendelea baada ya kujiridhisha kuwa sasa mmeboresha sehem chache ambazo kidogo tupo nyuma ukilinganisha na vyuo vya nje.
VIVA SAUT VIVA FR. KITIMA VIVA FR. MGENI
 
ACHA UONGO WEWE! MIE NIKO HAPA SAUT KWA MUDA MREFU. NAHISI TANZANIA, CHUO CHENYE LIBRARY KUBWA ILIO SHEHENI VITABU NI SAUT MWANZA. TATIZO LAKO KABLA YA MITIHANI KUFIKA MUDA WOTE UKO BAA; na MMEJENGA TABIA YA KUTOSOMA VITABU ILA LECTURE NOTES ZAKO NDO UNACHUKUA UNAENDA NAZO LIBRARY KUSOMA AFU ETI UNAJIITA MSOMI, MTIHANI UMEFIKA NDO UNATAFTA VITABU!! USHAURI: KUNA ONLINE BOOKS KWENYE COMPUTER ZOTE ZA SAUT, KAMA HUJUI KUTUMIA ULIZA LIBRARY ATTENDANT WATAKUELEKEZA JINSI YA KUTUMIA. KTK ENZI HIZI ZA DIGITAL HAINA HAJA KUWA NA SHELVES NYINGI. NENDA NA FLASH YAKO WATAKUWEKEA VITABU UNAVYOTAKA NA UTAJISOMEA ROOM KWAKO. BWANA YESU AFISIWE.

Mkuu mwenzako analalamika vitabu hakuna unamwambia achukue flash yake akachukue Soft Copy akasome room kwake, hela ya kununulia kitabu hana hiyo Laptop itakuaje sasa?
 
Mkuu mwenzako analalamika vitabu hakuna unamwambia achukue flash yake akachukue Soft Copy akasome room kwake, hela ya kununulia kitabu hana hiyo Laptop itakuaje sasa?

Hawa BPRM wako kama 800 kwa kila mwaka , hivyo c chini ya 2400 kwa miaka mitatu ukiondoa wa kukeri!! Hivyo vitabu haviwezi kuwatosheleza wote, kwani kunahitajika uwe na copy chache ili chuo kiendelee kuweka update mpya za kila mwaka. Cha mhimu ni kutoa copy page za mhimu na kusoma mapema na kusummarize notes zake mweneyewe na c kusoma cku za mitihani tu ili kufaulu. Mkuu ila nimekusoma, ushauri ndo huo hapo juu. Bwana Yesu asifiwe.
 
Kuchita
Katikta
Publik
Jonalism
Mda
Atakoas
Taitizo
Tatapigw
Manajumuiya
 
Kuchita
Katikta
Publik
Jonalism
Mda
Atakoas
Taitizo
Tatapigw
Manajumuiya
Kama mwanachuo anaandika hivi yule mtoto wa kidato cha nne aliyechora zombi ataandikaje?duh kama vyuo vinazalisha msomi kama huyu ni bora kufunga chuo na majengo ya chuo kufugia kuku kisasa
 
Mwanafunzi wa chuo ununuliwe vitabu?unafikiri chuo ni secondary? Kwani bodi haikupi hela ya kununua vitabu? kwanza ni aibu unamaliza chuo hujanunua kitabu kimoja hata Novel ya mapenzi! Mimi nimesoma Udsm , pale kuna Library na vitabu ni kuwahi kwenda kuazima au kama vipi unanunua chako. Hata hivyo sikuhizi kuna Google kila kitu unapata humo.
 
Hana lolote huyo hata siyo kati ya wasomi achana naye utasemaje supervision mbovu ya saut wakati inafungua branches kila corner ya nchi hii na ili kuhakikisha kila kijana mtanzania anapata elimu ya chuo kikuu japo kwa ada ndogo.
Huyu katumwa na wale walokuwa wakisema inabidi SAUT ichunguzwe inapataa wapi uwezo wa kufungua vyuo vikuu?

USHAURI: VC wa SAUT naomba kama itawezekana growth stage iishhie hapo, anza stability then mtaendelea baada ya kujiridhisha kuwa sasa mmeboresha sehem chache ambazo kidogo tupo nyuma ukilinganisha na vyuo vya nje.
VIVA SAUT VIVA FR. KITIMA VIVA FR. MGENI

teh teh unafikiri kufungua matawi kibao ndio elimu bora, kampala international isingefungiwa Kenya hata hapa bongo inafanya madudu.Fikiri kabla ya kuongea.
 
Wakati wasomi na wadau mbalimbali wakipigia kelele uozo na ubora wa elimu katika ngazi ya sekondari.. hali imekua mbaya pia katika baadhi ya vyuo vikubwa hapa nchini HASA chuo cha MTAKATIFU AGOSTINO MWANZA. wanafunzi wamekuwa wakisubiriana kushea vitabu kama wakina mama kule kijijini wanavyo subiriana kuchita maji katikt kisima..Wanafunzi wa kozi za PUBLIK RELATION NA kozi za JONALISM wanalazimika mda mwingine kuficha kitabu wanapochoka kusoma ili akirudi tena akikute maana akikiacha wazi watachukua wengine hivyo atakoas kusoma...Taitizo hapa nikua hivi vyuo vya private havina supavisheni yoyote kutoka serikalin ndomana wanatoa huduma mbovu kabisa...Je vyuo vikuu navyo vinasubiri MBATIA APIGE KELELE? au Mheshimiwa pinda pindua aunde TUME? tAIFA LIKO MAHUTUTI kwa mtindo huu tatapigw sana bao na manajumuiya wenzetu wa KENYA,UGANDA,BURUNDI NA RWANDA.. naunga mkono hoja

Na wewe uko chuo kikuuu??duu tunazalisha Taifa dumazi kweli angalia maneno niliyoweka rangi nyekundu halafu mpangilio wa sentensi haueleweki ,maana na muundo ziro,usije tena hapa mpaka umalize chuo labda utakuwa umeweza kuandika vitu vya maana
 
Vitabu vyenyewe vinaitwaje? Labda private citizens wanaweza kujipanga kutoa donation pale chuo kitakaposhindwa.

Siku hizi vitabu mpakabure watu wanatoa ukiandika barua kuulizia, hela tumekosa, akili ya kuulizia nayo hatuna?

Au ni mambo ya makusudi tu?
 
ngoja tuone FR. Mgeni atakuja na jipya gani, ila FR. Kitima alijitahidi sana.
 
Back
Top Bottom