Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Kama kuandika tu kunampa shida je kusoma hivyo vitabu? Huyo ni kilaza tu aliyeongezewa maksi na KAWAMBWA!
Hizi ni product za Nyambari Nyangwine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kuandika tu kunampa shida je kusoma hivyo vitabu? Huyo ni kilaza tu aliyeongezewa maksi na KAWAMBWA!
acha kukipamba, hakuna kitu danganya wasioijua saut, faida ya hapo ni moja tu kuchukua degree kama unanawa
vitabu vyaweza kuwa vingi, je, ni relevant kwa kozi yako?
ulijiunga ili upost takataka kama hiziWakati wasomi na wadau mbalimbali wakipigia kelele uozo na ubora wa elimu katika ngazi ya sekondari.. hali imekua mbaya pia katika baadhi ya vyuo vikubwa hapa nchini HASA chuo cha MTAKATIFU AGOSTINO MWANZA. wanafunzi wamekuwa wakisubiriana kushea vitabu kama wakina mama kule kijijini wanavyo subiriana kuchita maji katikt kisima..Wanafunzi wa kozi za PUBLIK RELATION NA kozi za JONALISM wanalazimika mda mwingine kuficha kitabu wanapochoka kusoma ili akirudi tena akikute maana akikiacha wazi watachukua wengine hivyo atakoas kusoma...Taitizo hapa nikua hivi vyuo vya private havina supavisheni yoyote kutoka serikalin ndomana wanatoa huduma mbovu kabisa...Je vyuo vikuu navyo vinasubiri MBATIA APIGE KELELE? au Mheshimiwa pinda pindua aunde TUME? tAIFA LIKO MAHUTUTI kwa mtindo huu tatapigw sana bao na manajumuiya wenzetu wa KENYA,UGANDA,BURUNDI NA RWANDA.. naunga mkono hoja
Jaman kuna chuo kipya kimeanzishwa kinaitwa MTAKATIFU AGUSTONO kinatoa couse hizi ?? Publik rilation na jonalisim hebu mwenye taarifa zaidi kiko wapi tena? MWANZA?? atupe haaa haaa haaa
Hahaha!! Kipo bro anachosoma huyo jamaa.
ACHA UONGO WEWE! MIE NIKO HAPA SAUT KWA MUDA MREFU. NAHISI TANZANIA, CHUO CHENYE LIBRARY KUBWA ILIO SHEHENI VITABU NI SAUT MWANZA. TATIZO LAKO KABLA YA MITIHANI KUFIKA MUDA WOTE UKO BAA; na MMEJENGA TABIA YA KUTOSOMA VITABU ILA LECTURE NOTES ZAKO NDO UNACHUKUA UNAENDA NAZO LIBRARY KUSOMA AFU ETI UNAJIITA MSOMI, MTIHANI UMEFIKA NDO UNATAFTA VITABU!! USHAURI: KUNA ONLINE BOOKS KWENYE COMPUTER ZOTE ZA SAUT, KAMA HUJUI KUTUMIA ULIZA LIBRARY ATTENDANT WATAKUELEKEZA JINSI YA KUTUMIA. KTK ENZI HIZI ZA DIGITAL HAINA HAJA KUWA NA SHELVES NYINGI. NENDA NA FLASH YAKO WATAKUWEKEA VITABU UNAVYOTAKA NA UTAJISOMEA ROOM KWAKO. BWANA YESU AFISIWE.
Huyu anayelalamika hapa hana sifa za kuwa chuo kikuu, kwani mtu wa chuo kikuu anapoongea lazima afanya utafiti wa kutosha, hivi unaposema SAUT hakuna vitabu unafikiri ni lazima kwa library kuwa na vitabu kwa kulingana na kutosha kwa kila mwanafunzi, ilihali library tunasoma kwa zamu. wewe unalalamika vitabu wakati UDSM tulikuwa na tunabebana yaani tunalla wawili wawili, unashangaa vitabu kutotosha mbona pale UDSM baadhi ya aina vitabu havikuwepo katika maktaba, na vingine vilikuwa 2 au 1, chamsingi tulikuwa tunapanga mda ambao unjaua wengine watakuwa hawajakifikia, unashanga vitabu kukosekana SAUT wakati pale UDSM ukiingia Lecture ulikuwa unakosa pakusimama hivyo unaamua kusimama dirishani , unashaangaa SAUT kukosa vitabu wakati UDSM katika hall 2 na hall 3 mahall yamechakaa na maji machafu yanatoka bafuni harufu mbaya zinaingia vyumbani wewe unashanga huko SAUT kwa kukosekana baadhi ya vitabu. kWA KIFUPI UNTAKIWA UFANYE RESERCH KABLA HUJALALAMIKA WEE NI MSOMI.