Chuo cha Mtakatifu Agostino ni majanga

Chuo cha Mtakatifu Agostino ni majanga

vitabu vyaweza kuwa vingi, je, ni relevant kwa kozi yako?

Usifikiri akili zako finyu za manununuzi wote wako ivyo!!!

Hiyo kozi mdau anayoisemea inawanafunzi Kati ya 600-800 kwa kila mwaka, first yr up to 3rd yr, inawezekanaje na kwa chuo gani kuwa na ratio ya 1:1? Maana kuna refence books na recommended books! Keep in mind kwamba kuna vitabu vipya kila mwaka, inabidi chuo kiwe kinaongeza. Tataizo lenu hela za stationery za HESLB haziko kwenye budget yenu ya vitabu ila mademu (vibaba), club na baa!!!
 
Jaman kuna chuo kipya kimeanzishwa kinaitwa MTAKATIFU AGUSTONO kinatoa couse hizi ?? Publik rilation na jonalisim hebu mwenye taarifa zaidi kiko wapi tena? MWANZA?? atupe haaa haaa haaa
 
Library ipo safi kidogo, isipokuwa tumedekezwa wanafunzi kinomaaa!
 
Kama waona SAUT pabaya si unapiga chini. Njoo Muslim University hapa Moro, tuna vitabu kinoma
 
Jipange unavoleta mada km hii kwa wasomi!!!lugha haieleweki...Banned!!!
 
Wakati wasomi na wadau mbalimbali wakipigia kelele uozo na ubora wa elimu katika ngazi ya sekondari.. hali imekua mbaya pia katika baadhi ya vyuo vikubwa hapa nchini HASA chuo cha MTAKATIFU AGOSTINO MWANZA. wanafunzi wamekuwa wakisubiriana kushea vitabu kama wakina mama kule kijijini wanavyo subiriana kuchita maji katikt kisima..Wanafunzi wa kozi za PUBLIK RELATION NA kozi za JONALISM wanalazimika mda mwingine kuficha kitabu wanapochoka kusoma ili akirudi tena akikute maana akikiacha wazi watachukua wengine hivyo atakoas kusoma...Taitizo hapa nikua hivi vyuo vya private havina supavisheni yoyote kutoka serikalin ndomana wanatoa huduma mbovu kabisa...Je vyuo vikuu navyo vinasubiri MBATIA APIGE KELELE? au Mheshimiwa pinda pindua aunde TUME? tAIFA LIKO MAHUTUTI kwa mtindo huu tatapigw sana bao na manajumuiya wenzetu wa KENYA,UGANDA,BURUNDI NA RWANDA.. naunga mkono hoja
ulijiunga ili upost takataka kama hizi

Join Date : 15th June 2013

Posts : 8

Rep Power : 303

Likes Received
3

Likes Given
0
 
Wewe unalalamika kuhusu kushea vitabu tafuta vyuo ambavyo havipo TZ ndio hutashea ukienda Public universities ndo hatari zaidi waulize walio huko watakupa habari yake,ila ni wajanja wajanja no maana hawalalamiki
 
use other alternative way dont depend much on one source.u may use internet which is more suitable for for university student sawa?
 
Huyu kweli ni mwanafunzi wa SAUT?. Sio kila anayesoma chuo kikuu anachukua digrii. Kuna short courses pia.
 
Jaman kuna chuo kipya kimeanzishwa kinaitwa MTAKATIFU AGUSTONO kinatoa couse hizi ?? Publik rilation na jonalisim hebu mwenye taarifa zaidi kiko wapi tena? MWANZA?? atupe haaa haaa haaa

Hahaha!! Kipo bro anachosoma huyo jamaa.
 
Unachukua certificate ya nini mzeya na ulipata four ya ngapi vile,kwa maelezo yako ukiniambia unasoma degree naacha chuo leo leo
 
Yani wewe unaijua internet just 4 fb,jf and other forums nt 4 relevant source of studies.usipende kulalama,jitegemee
 
ACHA UONGO WEWE! MIE NIKO HAPA SAUT KWA MUDA MREFU. NAHISI TANZANIA, CHUO CHENYE LIBRARY KUBWA ILIO SHEHENI VITABU NI SAUT MWANZA. TATIZO LAKO KABLA YA MITIHANI KUFIKA MUDA WOTE UKO BAA; na MMEJENGA TABIA YA KUTOSOMA VITABU ILA LECTURE NOTES ZAKO NDO UNACHUKUA UNAENDA NAZO LIBRARY KUSOMA AFU ETI UNAJIITA MSOMI, MTIHANI UMEFIKA NDO UNATAFTA VITABU!! USHAURI: KUNA ONLINE BOOKS KWENYE COMPUTER ZOTE ZA SAUT, KAMA HUJUI KUTUMIA ULIZA LIBRARY ATTENDANT WATAKUELEKEZA JINSI YA KUTUMIA. KTK ENZI HIZI ZA DIGITAL HAINA HAJA KUWA NA SHELVES NYINGI. NENDA NA FLASH YAKO WATAKUWEKEA VITABU UNAVYOTAKA NA UTAJISOMEA ROOM KWAKO. BWANA YESU AFISIWE.

Asifiwe kwani ana mtoto?
 
Huyu anayelalamika hapa hana sifa za kuwa chuo kikuu, kwani mtu wa chuo kikuu anapoongea lazima afanya utafiti wa kutosha, hivi unaposema SAUT hakuna vitabu unafikiri ni lazima kwa library kuwa na vitabu kwa kulingana na kutosha kwa kila mwanafunzi, ilihali library tunasoma kwa zamu. wewe unalalamika vitabu wakati UDSM tulikuwa na tunabebana yaani tunalla wawili wawili, unashangaa vitabu kutotosha mbona pale UDSM baadhi ya aina vitabu havikuwepo katika maktaba, na vingine vilikuwa 2 au 1, chamsingi tulikuwa tunapanga mda ambao unjaua wengine watakuwa hawajakifikia, unashanga vitabu kukosekana SAUT wakati pale UDSM ukiingia Lecture ulikuwa unakosa pakusimama hivyo unaamua kusimama dirishani , unashaangaa SAUT kukosa vitabu wakati UDSM katika hall 2 na hall 3 mahall yamechakaa na maji machafu yanatoka bafuni harufu mbaya zinaingia vyumbani wewe unashanga huko SAUT kwa kukosekana baadhi ya vitabu. kWA KIFUPI UNTAKIWA UFANYE RESERCH KABLA HUJALALAMIKA WEE NI MSOMI.

Ndo maan mimi sikusoma bongo.....Mateso gani haya maana vitabu hakuna, pesa ya manati mpaka mpigwe mabomu ndo mpewe waalimu wenyewe wanakufundisha kisha wanaona uchungu kwa wewe nawe kuwa msomi kama wao, elimu yenyewe haina viwango, mitihani migumu ya kukomoana, syllabus haieleweki, notes zipo lakini mtihani unatoka tofauti na topic katika notes.....etc....etc.....Kazi pia kupata kwa mbinde...ukiwa demu mpaka ugongwe ndo upate lo!!!!! Bongooooooooooooooo....
 
Back
Top Bottom