Nadhani lengo ni kukichafua, ni bora ungebaki kwenye issue ya mazingira, issue za kitaaluma huwezi sema moja kwa moja bila kujua uoande mwingine, kama mtu ka graduate 2022, vitabu vya graduation hutolewa wakati huo, imekuwaje leo ndio ajue kuwa jina lake halipo kwenye hicho kitabu. Matokeo siyo issue maana ku graduate kuna involve vitu vingi nje ya matokeo na ndiyo maana huwa kuna "clearance" issues kabla ya graduation.
So jielekeze strictly kwenye hoja yako ya awali kuhusu mazingira, suala la taaluma liache kama lilivyo maana kuna watu wengi taifa linawategemea ambao ni product ya hapo SAUT, yaani wengi sana, na wamejengwa na kulelewa na hicho chuo.