Chuo cha SAUT badilikeni, Chuo kama shule ya msingi

Chuo cha SAUT badilikeni, Chuo kama shule ya msingi

Asante sana mkuu kwa kuelewa dhima ya Uzi wangu,maana kusoma na kuelewa ni dhana mbili tofauti sana.
Ninaunga mkono kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofauti.Ila mazingira ya kusomea imgawa hayana huhusiano wa moja kwa moja na kuelewa kwa mwanafunzi lakini yanaathiri kwa namna moja uwezo wa kielimu na ufahamu wa wanafunzi. Sasa kama nje kiko hivi je labaratory na skills building areas ziko vipi? Hii ni hatari, halafu tusijekuchukua mifano ya graduants wachache maarufu tukageneralize. Kiujumla mazingira ni mabaya sana kwa level ya University,period.
 
Lengo la huu Uzi sio kubeza wala kudharau taasisi muhimu hii ya Elimu ya juu nchini, bali kutoa ushauri kwa lengo la kuboresha mazingira ya chuo,ambayo kimsingi hayavuti Sawa na hadhi ya Chuo Kikuu.

Ni mambo ya ajabu chuo kuwa kinakusanya mabilioni ya fedha na Kuna kipindi kilitoa gawio kwa serikali,alafu Kina shindwa kuboresha mazingira ya chuo.

Hii ni aibu mpaka kwa kanisa moja takatifu katoliki la mitume.

Pia soma ~ Canteen za Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agostino (SAUT ) Mwanza zimechakaa, hazifai kwa matumizi
Kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hii ni yunivwashti kweli heee kumbe mimi sijaona mambo mengi eeeh , sasa kuna mwamba mmoja huwa anajinasibu kuwa yeye ni msomi nguli kutoka huko kumbe ndio kulivyo mhhhh kinyaaaaaaaa.
 
Back
Top Bottom