Hapo mwisho umemalza kwa kuwananga viongozi wa RC sasa🤣🤣sawa kabisa, kwa mapicha hayo! Utafikiri umefikia kijiji cha mabanda ya nguruwe na mabata.
Kwa ambao hatujafika tunapata picha ya hizo degree na masters zimefanania na mazingira ya hivyo vibanda! Very primitive...shame on you uongozi wote kwa kujali matumbo yenu.
Uboreshaji wa mandhari ya vyuo vingi kwenye hii nchi ni changamoto kwa kweli cyo private wala gavoo kote ni hovyo tuLengo la huu Uzi sio kubeza wala kudharau taasisi muhimu hii ya Elimu ya juu nchini,bali kutoa ushauri kwa lengo la kuboresha mazingira ya chuo,ambayo kimsingi hayavuti Sawa na hadhi ya chuo kikuu.
Ni mambo ya ajabu chuo kuwa kinakusanya mabilioni ya fedha na Kuna kipindi kilitoa gawio kwa serikali,alafu Kina shindwa kuboresha mazingira ya chuo.
Hii ni aibu mpaka kwa kanisa moja takatifu katoliki la mitume.
Kweli kabisa
Hivyo viti na hayo mazingira ndio yamewatengeneza kinaKweli kabisa mkuu
Wizo uchinjwe xmass 😹😹akiiiiii nimebaki mdomo wazi! Eti hawana vimbweta jamani!
Sisi wenye mawowowo makubwa tukikalia vigoda vya aina hiyo vinavunjika nyang'anyang'a.
Huu Ni uongo wa kiwango Cha SGR,serikali Ina share % ngapi kwny chuo Cha SAUT?
Wewe Ni kaongo.
[/QUOT
Kipindi cha JPM,SAUT ilitoa gawio kwa serikali,kama hujui hili pole sana.
Asante sana mkuu kwa kuelewa dhima ya Uzi wangu,maana kusoma na kuelewa ni dhana mbili tofauti sana.Mtoa mada anapigania maboresho ya miundombinu ya taasisi, ni jambo jema. Kanisa liache kuotesha vyuo vingi kila mkoa mithili ya uyoga. Badala yake ingejenga vyuo vichache vyenye ubora. Leo hii karibu kila mkoa kuna tawi la SAUT
Mkiambiwa UDSM ni Harvard mna mind. Haya someeni majalubani😃Lengo la huu Uzi sio kubeza wala kudharau taasisi muhimu hii ya Elimu ya juu nchini, bali kutoa ushauri kwa lengo la kuboresha mazingira ya chuo,ambayo kimsingi hayavuti Sawa na hadhi ya Chuo Kikuu.
Ni mambo ya ajabu chuo kuwa kinakusanya mabilioni ya fedha na Kuna kipindi kilitoa gawio kwa serikali,alafu Kina shindwa kuboresha mazingira ya chuo.
Hii ni aibu mpaka kwa kanisa moja takatifu katoliki la mitume.
View attachment 3125892View attachment 3125896
View attachment 3125899
View attachment 3128897
View attachment 3128898
View attachment 3128899
Pia soma ~ Canteen za Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agostino (SAUT ) Mwanza zimechakaa, hazifai kwa matumizi
Jamii yetu ni shida hata kufanya maintenance ya miradi na makazi binafsi,mfano jana nilikuwa stendi kuu ya mabasi ya Nyegezi,Mwanza kwenye kituo Cha polisi vioo vimepasuka vibaya Sana, lakini hakuna anaye jali zaidi ya kukusanya pesa tu,lakini maintenance wanashindwa,sasa huu ni upumbavu na uzuzu.Ni vizuri kukumbushana. Lakini, tuwe wakweli. Hili ni tatizo la kitaifa. Huwa tupo hivi kwa kila sekta. Hata mtu binafsi nyumbani kwake, nyumba ni nzuri vile kahamia tu. Baada ya muda hata ukimtembelea utajuta iwapo umepata haja uingie msalani. Barabara zetu na majengo ya umma hali ni hiyohiyo. Mtafurahi zikizinduliwa tu,baada ya hapo miaka kadhaa baadaye hutaki hata kuyatazama.
Mnakumbuka barabara ile ya Morogoro pale Manzese? Lile daraja pale tulikuwa tunakwenda kupiga picha. Leo mnaliona lilivyo? Sijui kama kuna mtu anawaza kulipiga hata brashi.
Wakati mwingine unawaza sijui mkoloni atutawale upya?
Huenda ina uhusiano na fikra. Bado fikra zetu zipo kijima wakati tushatransform.
Nadhani lengo ni kukichafua, ni bora ungebaki kwenye issue ya mazingira, issue za kitaaluma huwezi sema moja kwa moja bila kujua uoande mwingine, kama mtu ka graduate 2022, vitabu vya graduation hutolewa wakati huo, imekuwaje leo ndio ajue kuwa jina lake halipo kwenye hicho kitabu. Matokeo siyo issue maana ku graduate kuna involve vitu vingi nje ya matokeo na ndiyo maana huwa kuna "clearance" issues kabla ya graduation.Mapungufu ni mengi mkuu mfano Leo Kuna jamaa yangu kahitimu SAUT 2019-2022,kaenda leo kuchukua cheti hakuna cheti Wala jina lake halipo kwenye kitabu Cha wahitimu wa mwaka husika na Cha ajabu kwenye account yake matokeo y'ako vizuri tu.😳
Kwenye taaluma nako Kuna shida,mwingine kaja kuchukua cheti,katoka Mbeya,cha ajabu cheti kimetolewa lakini hakuna provisional results,sasa hapa napo utasema hakuna shida za kitaaluma ?Nadhani lengo ni kukichafua, ni bora ungebaki kwenye issue ya mazingira, issue za kitaaluma huwezi sema moja kwa moja bila kujua uoande mwingine, kama mtu ka graduate 2022, vitabu vya graduation hutolewa wakati huo, imekuwaje leo ndio ajue kuwa jina lake halipo kwenye hicho kitabu. Matokeo siyo issue maana ku graduate kuna involve vitu vingi nje ya matokeo na ndiyo maana huwa kuna "clearance" issues kabla ya graduation.
So jielekeze strictly kwenye hoja yako ya awali kuhusu mazingira, suala la taaluma liache kama lilivyo maana kuna watu wengi taifa linawategemea ambao ni product ya hapo SAUT, yaani wengi sana, na wamejengwa na kulelewa na hicho chuo.
Kwa sababu unakuwa na fikra tasa, ni sawa na mkataa kwaoKuna vyuo ukisoma unaona aibu hata kusema mbele za binadamu wenzako.
Ni advanced Primary schoolLengo la huu Uzi sio kubeza wala kudharau taasisi muhimu hii ya Elimu ya juu nchini, bali kutoa ushauri kwa lengo la kuboresha mazingira ya chuo,ambayo kimsingi hayavuti Sawa na hadhi ya Chuo Kikuu.
Ni mambo ya ajabu chuo kuwa kinakusanya mabilioni ya fedha na Kuna kipindi kilitoa gawio kwa serikali,alafu Kina shindwa kuboresha mazingira ya chuo.
Hii ni aibu mpaka kwa kanisa moja takatifu katoliki la mitume.
View attachment 3125892View attachment 3125896
View attachment 3125899
View attachment 3128897
View attachment 3128898
View attachment 3128899
Pia soma ~ Canteen za Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agostino (SAUT ) Mwanza zimechakaa, hazifai kwa matumizi
SAUTNadhani lengo ni kukichafua, ni bora ungebaki kwenye issue ya mazingira, issue za kitaaluma huwezi sema moja kwa moja bila kujua uoande mwingine, kama mtu ka graduate 2022, vitabu vya graduation hutolewa wakati huo, imekuwaje leo ndio ajue kuwa jina lake halipo kwenye hicho kitabu. Matokeo siyo issue maana ku graduate kuna involve vitu vingi nje ya matokeo na ndiyo maana huwa kuna "clearance" issues kabla ya graduation.
So jielekeze strictly kwenye hoja yako ya awali kuhusu mazingira, suala la taaluma liache kama lilivyo maana kuna watu wengi taifa linawategemea ambao ni product ya hapo SAUT, yaani wengi sana, na wamejengwa na kulelewa na hicho chuo.
Kukichafua SAUT ili kipi kionekane bora?Nadhani lengo ni kukichafua, ni bora ungebaki kwenye issue ya mazingira, issue za kitaaluma huwezi sema moja kwa moja bila kujua uoande mwingine, kama mtu ka graduate 2022, vitabu vya graduation hutolewa wakati huo, imekuwaje leo ndio ajue kuwa jina lake halipo kwenye hicho kitabu. Matokeo siyo issue maana ku graduate kuna involve vitu vingi nje ya matokeo na ndiyo maana huwa kuna "clearance" issues kabla ya graduation.
So jielekeze strictly kwenye hoja yako ya awali kuhusu mazingira, suala la taaluma liache kama lilivyo maana kuna watu wengi taifa linawategemea ambao ni product ya hapo SAUT, yaani wengi sana, na wamejengwa na kulelewa na hicho chuo.
Kusemwa ukweli inabidi wajirekebishe, hii haijakaa sawa kabisaHamna shule ya msingi ya private inao fanana hivo labda iwe ya st kayumba.
Napo tumeambiwa ni jalalani na profesa mmoja hivi aliyesoma na kufundisha hapo.Mkiambiwa UDSM ni Harvard mna mind. Haya someeni majalubani😃