Chuo cha SAUT badilikeni, Chuo kama shule ya msingi

Asante sana mkuu kwa kuelewa dhima ya Uzi wangu,maana kusoma na kuelewa ni dhana mbili tofauti sana.
Ninaunga mkono kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofauti.Ila mazingira ya kusomea imgawa hayana huhusiano wa moja kwa moja na kuelewa kwa mwanafunzi lakini yanaathiri kwa namna moja uwezo wa kielimu na ufahamu wa wanafunzi. Sasa kama nje kiko hivi je labaratory na skills building areas ziko vipi? Hii ni hatari, halafu tusijekuchukua mifano ya graduants wachache maarufu tukageneralize. Kiujumla mazingira ni mabaya sana kwa level ya University,period.
 
Kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee hii ni yunivwashti kweli heee kumbe mimi sijaona mambo mengi eeeh , sasa kuna mwamba mmoja huwa anajinasibu kuwa yeye ni msomi nguli kutoka huko kumbe ndio kulivyo mhhhh kinyaaaaaaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…