Mzazi waleo
Member
- Jan 25, 2024
- 6
- 3
Woga wa mtanzania. Mnashindwa kupaza sauti ninyi? Kwanza siyo kupaza sauti bali mnastahili kuchukuwa action.Kuna baadhi ya wanafunzi wa Bachelor's
Walichaguliwa kujiunga na chuo mwaka jana wakapokelewa chuoni na wazazi wakalazimishwa kulipa 60% ya ada halafu sasa hivi wazazi wanapigiwa simu na kuambiwa watoto wao hawana sifa za kuendelea na masomo, huo ni uhuni chuo kimefanya na haijulikani kama fedha zitarudishwa au la, naomba wadau mtupazie sauti katika Jambo hili
Amepata disco kivip watu wameingia mwaka jana mwezi wa 11?Kama wamepata disco ss si itabidi warudi tu
TIA wap,Kuna baadhi ya wanafunzi wa Bachelor's
Walichaguliwa kujiunga na chuo mwaka jana wakapokelewa chuoni na wazazi wakalazimishwa kulipa 60% ya ada halafu sasa hivi wazazi wanapigiwa simu na kuambiwa watoto wao hawana sifa za kuendelea na masomo, huo ni uhuni chuo kimefanya na haijulikani kama fedha zitarudishwa au la, naomba wadau mtupazie sauti katika Jambo hili
Kwa kweli mimi binafsi sijamuelewa mtoa mada.Walidahiliwa kupitia TCU, je walikuwa na principal mbili, DD + pass nne za kidato Cha nne au walitokea cert, wakaenda dip, je kuingia cert walikuwa na pass nne za o level?
Chuo kinampigia mzazi simu au mwanachuo anapewa taarifa?
Ameandika haraka haraka.Kwa kweli mimi binafsi sijamuelewa mtoa mada.
Hata UE ya semester ya kwanza hawajafanya, sasa hiyo Discontinue imetoka wapiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama wamepata disco ss si itabidi warudi tu
Kuna vyuo test one tu watu wanadisco lakini sio hivi vya kozi za kawaida.Hata UE ya semester ya kwanza hawajafanya, sasa hiyo Discontinue imetoka wapiii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio, aliomba kusoma degree wakamkubalia akaanza chuo mwaka jana October Ada imelipwa 60% sasa wanasema hawakwalifai digree issue ni kwanini waliwapokea na wameshafanya test one &2.....!Mimi hata sijaelewa una mtoto wako anasoma hapo TIA?
Hakuna disco wala nini wanadai waliwasajili kimakosa sasa warudishe hela na muda waliowapotezea watotoKama wamepata disco ss si itabidi warudi tu
Elewa tu kwamba aliomba kusoma degree wakamkubalia na hela akalipa 60% ya ada ya mwaka na test one na two wameshafanya then ndo wanasema hawakwalifai degree...Ameandika haraka haraka.
walifata process zote kwenye system wanatokea kidato cha nneWalidahiliwa kupitia TCU, je walikuwa na principal mbili, DD + pass nne za kidato Cha nne au walitokea cert, wakaenda dip, je kuingia cert walikuwa na pass nne za o level?
Chuo kinampigia mzazi simu au mwanachuo anapewa taarifa?
Huo ni utapeli wa kuaminika, fungueni kesi mahakamani kudai fidia na kupotezewa muda
Unafungua kesi serikalini kuidai serikali...... kwa tZ hiii sijuiHuo ni utapeli wa kuaminika, fungueni kesi mahakamani kudai fidia na kupotezewa muda
Hili jambo limemtokea rafiki angu ple KCMC ila walirudishiwa ada ya miaka mitatu yote waliopotezewaHakuna disco wala nini wanadai waliwasajili kimakosa sasa warudishe hela na muda waliowapotezea watoto