Hypersonic
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 829
- 1,564
Mfumo uliwakubali vipi ikiwa hawana sifa? sijaelewa kwa sababu TCU mbali na kwamba wameweka utaratibu wa kila chuo kudahili lakini kuna cutting points.Kuna baadhi ya wanafunzi wa Bachelor's walichaguliwa kujiunga na chuo mwaka jana wakapokelewa chuoni na wazazi wakalazimishwa kulipa 60% ya ada halafu sasa hivi wazazi wanapigiwa simu na kuambiwa watoto wao hawana sifa za kuendelea na masomo, huo ni uhuni chuo kimefanya na haijulikani kama fedha zitarudishwa au la, naomba wadau mtupazie sauti katika jambo hili.