Ernest 255
Member
- Oct 7, 2020
- 42
- 27
Hii ndio taarifa ya sasa na ya kushangaza inayozunguka Tanzania mpya yenye uchumi wa kati, kwamba Hotel ya nyota 5 iliyo kwenye kitovu cha utalii Arusha, imefikia makubaliano na uongozi wa chuo cha Uhasibu ili kufanywa malazi ya wanafunzi! Kiukweli hili jambo linafikirisha haswa .
Nakulilia Tanzania .
Nani?Duuu si anapata hasara jamani
unapaswa kuwa mwangalifu sana unaporopoka kwamba unayajua mambo kuliko wengine , utadhalilikaWewe Tajiri unayeshinda mtandaoni nimekuelewa Mudi.
Ukitaka kujua Chuo Bata karibu IAA kwenye new Campus
Chuo cha Uhasibu Arusha – Institute of Accountancy Arusha (IAA) kimedaiwa kufanya udahili kwa idadi kubwa ya wananafunzi kuzidi uwezo wake, jambo linalosababisha uongozi wa chuo kuhamishia wanafunzi wa baadhi ya kozi katika hoteli ya Ngurdoto.
Baadhi ya Wanafunzi hao ambao wamepelekwa Ngurdoto kusoma na kuishi ni kutoka katika kozi za:
•Bachelor in Business Management (BBM)
•Basic Technician Certificate in Business Management (BTCBM)
•Ordinary Diploma in Business Management (ODBM) mwaka wa 1
•Bachelor of Accountancy (BA) mwaka wa 1 & 2
•Basic Technician Certificate In Accountancy (BTCA)
•Ordinary Diploma In Accountancy (ODA) mwaka wa 1 & 2
Baadhi ya Wanafunzi wamelalamikia suala la kupelekwa Hotelini kwani awali waliomba kusomea Main Campus ambapo walishakodi vyumba karibu na chuo na kununua mahitaji ya kujikimu kama vile magodoro, majiko nk.
Wamesema sasa wanalazimika kulipa kiasi cha Tsh. 400,000 kama malipo ya Hosteli (huko hotelini).
“Kama chuo kimejaa kwanini wanachukua idadi ambayo wao hawawezi kumudu na kuanza kutusumbua wakati tumeomba main campus?” amehoji mwanafunzi mmoja.
Wanafunzi wameomba kama Idadi imezidi ni bora baadhi ya Wanafunzi wahamishiwe Vyuo vingine.
Wamiliki sasa hivi wanaishi kama MASHETANIKutoka kuwa hotel ya vikao elekezi vya kiserikali wakati wa JK mpaka kuwa hostel za wanachuo daaaaah what a shame aisee uchumi wa Kati [emoji41][emoji41][emoji41]
Ngurdoto sio campus bali ni hostel..uwe unaelewa.Ngurudoto - campus
Kuna namna lazima, si bure!
Wahispania wanasemaDuh! Mkuu Erythrocyte , asante kwa taarifa hii, kwanza naomba ku declare interest, mimi ni mdau wa hotel za Mzee huyu. Kampuni yangu ya PPR, ndio ilikuwa ikiwatengenezea matangazo ya biashara, na kila mikutano mikubwa tukiitwa kuitangaza, na ni Mkutano fulani uliofanyikia Ngurdoto, ukanifanya waandishi wa Arusha niwavulie kofia, kwa kuwaheshimu kwa umoja!.
Comming back to Hotels, my favourite ni Impala na ndio makao makuu. The boss mchana kutwa anashinda kwenye usimamizi, anaingia kazini saa 5 usiku, hadi saa 12:00 asubuhi, daily, hakuna kulala na hakuna Jumamosi, Jumapili wala Sikukuu.
Kutokana na ratiba hii, sijui chakula cha nyumbani alikuwa anakula saa ngapi, lakini kwa wahudumu wa hotel na walivyo warembo, ilikuwa ni kazi na dawa!.
Kupitia ukaribu huo, kwanza ndio nikajua kumbe ni huyu jamaa huwa anaamua Mbunge wa Arusha awe nani, ni yeye aliyekuwa akimfund Lema japo ni mwana CCM, kama yule tajiri wa Dar alivyokuwa aki i fund Chadema japo yeye ni CCM, na angekuwa hai, CCM ingepigwa mweleka Arusha.
Kwa sisi wanye economic eye, the money ilitumika as capital kujenga hiyo business empire yake, sio income from the hotels only, alikuwa na side business ya big bucks changing hands usiku kucha. Kwa vile na mimi nafanya editing usiku kucha, ndio unaona people's movements with trunks full of $. This side business ndio inaingiza good money, mke, watoto hawajui na hawawezi na wazee wengine kwa sababu walikuwa wanajua the risks associated, hivyo they opted to keep the family away.
Alipoitwa kwenye makao yake ya milele, no one else knew how to go about. Na japo jamaa alikuwa ni Mchaga, lakini alikuwa na genes za Kisukuma za kupenda vi spring chickens vyeupe, na kupenda watoto, hivyo he had many with warembo na kuna mahali, alma nusra ningemvunjia heshima, ila after learning ni pumziko la Boss, I just said no, kwa heshima tuu, hata kama Boss hata jua!, the lady insisted nisiogope, kwasababu the boss picks every good tasty meals!. Hizo ni tabia za Kisukuma za wanawake wengi, watoto wengi na openly!.
Uzuri wa huyu Mzee, akikukubali, any price you tell anakulipa bila kusema punguza kidogo!. Mimi na team yangu ni kula bure, kulala bure!. He was more than boss, na baada ya kujikuta tunafanana tabia, tukatokea kuwa marafiki, jamaa anaongea na presidents!. Hizo connections ndizo zilikuwa zinafanya hotel zijae. Ameondoka na connections zake!.
RIP Don Mrema!.
P
Problem hao nyumbu watavuruga everything. Vyoo vitanda sakafu wiring etc. Hio sink tu ya bafu ni malaki mengi . Bath tub. Sio chini ya 1 million. Hao watakatakata kila kitu. Manyumbu kabisa na hawajui uchungu wa kupajenga hapoMitano tena. Wacha watoto wale maisha buanaView attachment 1640179
nileteeni gwajimaaaaWe are in the right track, by jiwe's voice.
Mkuu, kwa hiyo wanafunzi hawapaswi kusoma katika mazingira mazuri na masafi ya nyota 5?Hii ndio taarifa ya sasa na ya kushangaza inayozunguka Tanzania mpya yenye uchumi wa kati, kwamba Hotel ya nyota 5 iliyo kwenye kitovu cha utalii Arusha, imefikia makubaliano na uongozi wa chuo cha Uhasibu ili kufanywa malazi ya wanafunzi! Kiukweli hili jambo linafikirisha haswa .
Nakulilia Tanzania .
Hiyo ni Bei ya presidential rooms, na hizo zimejengwa pembeni na haziko kwenye huu mpangoKutoka kulala kwa dola 1980 milioni 4.5 kwa siku Hadi laki 4 kwa mwaka hakika huu ni uchumi wa Kati kabisa
Uongo, sio kweliWengi hawaelewi kuhusu hii hotel.nikwamba zilitaifishwa Na serikali..since 2019...
#acheni kuropoka..kwa vitu msivyovijua....
Vyovyote iwavyo lakini 5 star Hotel kuwa hostel ya chuo duni kama cha uhasibu Arusha sijawahi kuona.
Dah nimetokea kukuelewa sana,Ni Kweli kuna jambo!--na sio dogo!
let me try to connect the dots.
Kwanza kwa kutumia kielelezo cha aerial maps na figisu zilizopo to make a working plan.Hii hapa chini ni aerial map ya hii sehemu.
View attachment 1640127
Ukiangalia kwa umakini,opposite na Ngurdoto hotel kuna shule ya St jude nyingine ambayo ina uwezo wa kuwa chuo kikuu(wana majengo bora sana kuliko vyuo vingi tulivyo navyo sasa)
In the same week--shule hii inaletewa mizengwe na accounts zake kuwa freezed-https://www.mwananchi.co.tz/mw/haba...-st-jude-waeleza-sababu-ya-kuandamana-3215786
Mitaa hiohio kuna chuo kingine-kinaitwa Arusha University-cha wasabato ambacho hakifanyi udahili mwaka huu--so there's a posibility of them taking over all the premises.
View attachment 1640130
This is modern plundering and looting.Ni mawazo tu!(atleast waifanye hata hospitali basi--sio hostel)dah!
@bujibuji,Mwanakijiji Watu8 Mshana Jr
Dogo timiza ahadi yako banaBlame shift lawama ni kwa serikali.
Mleta mada acha unaa, kwani wakisomea Ngurundoto course content zinabadilika?
Chuo cha Uhasibu Arusha – Institute of Accountancy Arusha (IAA) kimedaiwa kufanya udahili kwa idadi kubwa ya wananafunzi kuzidi uwezo wake, jambo linalosababisha uongozi wa chuo kuhamishia wanafunzi wa baadhi ya kozi katika hoteli ya Ngurdoto.
Baadhi ya Wanafunzi hao ambao wamepelekwa Ngurdoto kusoma na kuishi ni kutoka katika kozi za:
•Bachelor in Business Management (BBM)
•Basic Technician Certificate in Business Management (BTCBM)
•Ordinary Diploma in Business Management (ODBM) mwaka wa 1
•Bachelor of Accountancy (BA) mwaka wa 1 & 2
•Basic Technician Certificate In Accountancy (BTCA)
•Ordinary Diploma In Accountancy (ODA) mwaka wa 1 & 2
Baadhi ya Wanafunzi wamelalamikia suala la kupelekwa Hotelini kwani awali waliomba kusomea Main Campus ambapo walishakodi vyumba karibu na chuo na kununua mahitaji ya kujikimu kama vile magodoro, majiko nk.
Wamesema sasa wanalazimika kulipa kiasi cha Tsh. 400,000 kama malipo ya Hosteli (huko hotelini).
“Kama chuo kimejaa kwanini wanachukua idadi ambayo wao hawawezi kumudu na kuanza kutusumbua wakati tumeomba main campus?” amehoji mwanafunzi mmoja.
Wanafunzi wameomba kama Idadi imezidi ni bora baadhi ya Wanafunzi wahamishiwe Vyuo vingine.
Labda kama wanafunzi ni watano tu.Hesabu zako hazipo sawa.
Hawa wanalipa 400k kwa mwezi.
Kama wanafunzi wapo 2000 maana yake kw mwezi wanatengeneza mil 2