Chuo cha Uhasibu Arusha chadaiwa kudahili Wanafunzi wengi kuliko uwezo wake, wengine wasomea na kuishi Hoteli ya Ngurdoto

Akina YEHODAYA na Bia yetu watakwambia uchumi unakua kwa kasi na ajira zinaongezeka
 
vyovyote iwavyo lakini 5 star Hotel kuwa hostel ya chuo duni kama cha uhasibu Arusha sijawahi kuona
Weka mkataba, pengine wenye hoteli wamebadili dira kutokana na Cocid-19. Wewe unafahamu watalii wamepungua, sasa pengine ni bora wapate kidogo kuliko kukosa kabisa. Bring the true story hatupo hapa kujadili majungu.
 
Fanya 10 kabisa Somalia itakuwa na afadhali na kule hazina kweupeeee na BEBERUS wamesusa na misaada yao na mikopo. Mambo Kizimbambwe Zimbabwe tu mkate million huna una chanja mbuga.
Hazina ya wasafisha vithungu USA, wakishachoka wanakimbila JF kufanya umbeya. Hazina yetu ina 6 months of import cover.
 
Msijali tunaanza kusajili watalii wa ndani loji na hotel dec 2020 kwa portal ya maliasili na utalii, kila mteja atapaswa tumia Id, nida, leseni udereva ama paspoti.
 
Fanya 10 kabisa Somalia itakuwa na afadhali na kule hazina kweupeeee na BEBERUS wamesusa na misaada yao na mikopo. Mambo Kizimbambwe Zimbabwe tu mkate million huna una chanja mbuga.
Ohoooooo!!!
 
Reactions: BAK
Ile siku bwana mdogo Ndugai anamuapisha Polepole lakini anaongelea mambo ya Chadema na kusema kuna "unyanyasaji wa kijinsia" akiwatumia akina Halima Mdee kama Mfano. Halima anafanya press yake na kusema Chadema hakuna mfumo dume kama inavyoelezwa, maana wao wamekuwa viongozi huko. Ndugai anajionaje?
 
Amewahi sikitika mama Anna ngwira RC-Kilimanjaro juu ya anguko la hoteli za Arusha kibiashara. Alilia juu ya mzunguko mdogo wa pesa kwenye jiji hilo kwa sasa.
 

Hueleweki.
 
Hazina ya wasafisha vithungu USA, wakishachoka wanakimbila JF kufanya umbeya. Hazina yetu ina 6 months of import cover.
Hivyo ndivyo wanavyokuambia au sio!? Kama vile wanavyosema miradi yote inafanyika kwa fedha za ndani huku deni la taifa likizidi kwenda juu. Aisee! Kweli zakuambiwa changanya na zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…