MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Huu uzi umeandikwa na mtu mpuuzi sana. Vijana acheni uvivu. Yaani hamtaki kabisa kufuata utaratibu matokeo yake mnalialia hovyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, just imagine una miaka 41 alafu unafanyiwa interview na kijana wa miaka 29.Sasa kama waombaji ni wengi, huoni kama ni fair kufanya usaili.
kigezo cha uzoefu ni jambo zuri lakini kwa kufanya hivyo hata wewe uliefundisha miaka 15 utakosa nafasi kama kuna mwingine alifundisha miaka 16 nyuma.
Binafsi sijaona tatizo.
Pengine pendekeza utaratibu maalum
kama ni muda wa kufundisha waandike kabisa tunataka mzoefu wa miaka isiyopungua 15, ili wengine wasiombe.
ila sasa kama ni watu 10 wameomba na wote wamefikisha vigezo na wote wana vyeti vizuri watafanyaje au waandike majina kwenye vikaratasi wafumbe macho wachague kimoja kama bahati nasibu? 😂😂😂
Interview ipi tena mkuu?Sasa unaogopa interview au vipi?
Inawezekana.Mkuu, just imagine una miaka 41 alafu unafanyiwa interview na kijana wa miaka 29.
Mkuu, hii ndio sababu ambayo hata mimi ilinifanya nikaacha kutama job application. Yaaani mimi na ukubwa wangu miaka 37 niende interview chumba kimoja na watoto wa miaka 23? Alafu huyo interviewer mwenyewe ni HR officer binti wa miaka 25 au 27. Seriously? Bora niendelee tu kuuza mahindi ya kuchoma hapa Kitunda.mtu tayari umeshafundisha miaka pengine km 15 na zaidi ktk vyuo vingine uje ufanyiwe interview na vitoto vidogo
To some but not meInawezekana.
Kama umri ni mali kuliko Kazi, Baki na umri wako.. we Huko ofisin Bosi wako amewapita umri wafanyakazi wote..inshu ni content na uwezo wako unakupa nafasi, Kama wameweka huo utaratibu sidhan kàma nimbaya çoz unakuta mko wengi?? Wanawachagua vipi?? Na hta wakiwachagua bila interview si utakuja hapa jukwaan kulalamika??Mkuu, just imagine una miaka 41 alafu unafanyiwa interview na kijana wa miaka 29.
Kazi njema mkuu.. unahofu ya kushindwa tu? Ungeambiwa we njoo Lazma nikupitishe hao wa Miaka 23 wala usingewawaziaMkuu, hii ndio sababu ambayo hata mimi ilinifanya nikaacha kutama job application. Yaaani mimi na ukubwa wangu miaka 37 niende interview chumba kimoja na watoto wa miaka 23? Alafu huyo interviewer mwenyewe ni HR officer binti wa miaka 25 au 27. Seriously? Bora niendelee tu kuuza mahindi ya kuchoma hapa Kitunda.
Hiyo ndio mantiki yangu kwa maana hawa wa miaka 23 bado wanakumbuka walivyokariri darasani, mimi nimesahau vya kukariri, nipo practically. Sasa kwanini nisiogope kushindwa. Eti unaniuliza, what's assets and liabilities, hizi si ni dharau sasaKazi njema mkuu.. unahofu ya kushindwa tu? Ungeambiwa we njoo Lazma nikupitishe hao wa Miaka 23 wala usingewawazia
Mtu ana miaka 41 uzoefu miaka 9 kazini leo unamwambia afanyiwe interview na kijana miaka 29 uzoefu miaka 2 wapi na wapi. Ndio maana wengi wameamua kujiajiri tu.Kama umri ni mali kuliko Kazi, Baki na umri wako..
Majina wametoa wapi?Chuo cha Uhasibu Arusha(IAA) ni chuo kinachomilikiwa na Serikali yetu kupitia wizara ya fedha. Kama ilivyo vyuo vingine vya elimu ya juu na vyuo vikuu wanakuwa na upungufu wa teaching staff(walimu). Tatizo la hawa jamaa ni arrogance yaani kujisikia, majivuni, kujiona wa kipekee wakati ukweli ni kwamba ni chuo cha kawaida kabisa hata siyo Univeristy.
Siku za hivi karibuni walitangaza nafasi kadhaa za part-time, walitaka utume CV na nakala(copies) za vyeti. Sasa cha ajabu eti part-time teaching unataka umfanyie interview mtu ambaye CV yake inaonesha tayari anafundisha aidha ktk chuo kingine cha elimu ya juu au chuo kikuu kingine? Are you serious guys? Kwa kazi ya miezi 4 tu? Mtu atoke Dar Es Salaam, Dodoma,Mwanza au Mbeya kuhudhuria interview siku 2 kwa kazi ya miezi 4?
Kwa hiyo nyie hamuamini vyuo vingine vya elimu ya juu vilivyowaajiri hao wahadhiri? Acheni kiburi na dharau kwa kudhani kuwa watanzania ni maskini kiasi hicho. Msiwanyanyase watanzania kwa kutumia kodi zao wenyewe, hizo pesa ni kodi za watanzania isiwaleweshe.
Nitamshangaa sana mtanzania atakayekubali udhalilishaji huu kwa kuhudhuria hayo ma-interview yao. Watakulipa nini kuzidi utu wako, viwango vyao vinajulikana kwa saa unalipwa sh. 18,000/ jumlisha 10,000/ ya nauli jumla sh. 28,000/. Kwa wiki utafundisha masaa 4 utavuna sh. 112,000/. Semester haizidi wiki 16 ukimaliza vizuri utaambulia sh.1,792,000/. Ukitoa gharama utakazokuwa umetumia plus hii ya interview huna cha maana utakachobakiwa nacho.
Point yangu hasa siyo malipo ni dharau na udhalilishaji eti mtu tayari umeshafundisha miaka pengine km 15 na zaidi ktk vyuo vingine uje ufanyiwe interview na vitoto vidogo kwa kazi ya muda mfupi. Ni vyuo vingi tu vinachukua part-timers hawafanyi upuuzi huu, unawapatia CV yako na pengine unaonesha vyeti au unawaachia nakala za vyeti inatosha. IAA badilikeni enendeni km wenzenu.
Is this your argument? you must be kidding.Mkuu, just imagine una miaka 41 alafu unafanyiwa interview na kijana wa miaka 29.
Utakuwa na matatizo wewe si bure. Kuna sehemu nimesema ninataka kuwa mhadhiri?Is this your argument? you must be kidding.
Embu paonyeshe mkuuUtakuwa na matatizo wewe si bure. Kuna sehemu nimesema ninataka kuwa mhadhiri?
Onyesha wewe uliyesema mimi ninataka kuwa mhadhiri.Embu paonyeshe mkuu
Ndo nimekuuliza quote hapo mahala nimekwambia unataka uhadhiri- Simple as that.Onyesha wewe uliyesema mimi ninataka kuwa mhadhiri.
Sikuzote a fair competition inazalisha watu wenye ufanisi.Unataka kuwamezesha watoto wetu matunda pori....kijana au na wewe ni mtu pori
Mkuu, hii ndio sababu ambayo hata mimi ilinifanya nikaacha kutama job application. Yaaani mimi na ukubwa wangu miaka 37 niende interview chumba kimoja na watoto wa miaka 23? Alafu huyo interviewer mwenyewe ni HR officer binti wa miaka 25 au 27. Seriously? Bora niendelee tu kuuza mahindi ya kuchoma hapa Kitunda.