KERO Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) boresheni huduma zenu za online, zinatukwaza Wanafunzi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Changamoto yangu ni Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), Mwanafunzi unakuwa na changamoto ya kurekebishiwa taarifa za mitihani unakuta kwenye hard copy ipo vizuri lakini kwenye mfumo wamekuwekea ABS au ABSc.

Unafuatilia zaidi ya miezi mitano wanakuambia wanafanyia kazi, mara ingia ofisi fulani wa wanakuambia mara anayehusika hayupo wanakuambia acha taarifa lakini hawafanyii kazi changamoto.

Naona ni kero kubwa kwangu, iwafikie wakubwa wao, muda mwingine umefanya mitihani mara mwalimu akuambie mitihani haionekani, ni kero kubwa hapo chuoni.

Pia soma:
~ Changamoto kubwa kwa Wanafunzi wa Masters IAA: Matokeo, Appeals na Dissertation
~
Uongozi wa IAA, tafadhali chukueni kwa uzito suala la weledi, maadili ya ufundishaji na usimamizi wa mitihani
 
ni vyema mfumo ungerekebishwa mapema ili kuondoa changamoto
 
Hiki chuo kina ujinga mwingi sana , Mimi siwezi kumshauri mtu asome Masters hapo unafanya mitihan vizuri matokeo yako kuyapata ni dana dana za kutosha utafuatilia zaidi ya miezi 3 na hupati muafaka unamua kuachana nao tu.....kuzalimisha ulipe ada kabla ya kuingia kwenye mitihan hilo wameweza kutoa matokeo ni shida
 
Back
Top Bottom