Chuo gani bora cha kusoma Bachelor of Law kati ya hivi?

Chuo gani bora cha kusoma Bachelor of Law kati ya hivi?

Kimla

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2008
Posts
3,810
Reaction score
6,599
Jamani, kama title inavyosema, mtoto anataliwa kuconfirm chuo anachoamini mi Bora kusoma Sheria kati ya vyuo vifuatavyo:tunaomba ushauri

Chuo kikuu kipi unashauli niconfirm make nimechaguliwa
1. RUAHA university-Iringa
2. Iringa university-Iringa
3. Tumaini Makumila university-Arusha
4. Mzumbe University Morogoro na
5. Catholic university Mbeya
 
Jamani,, kama title inavyosema,,mtoto anataliwa kuconfirm chuo anachoamini mi Bora kusoma Sheria kati ya vyuo vifuatavyo:tunaomba ushauri

Chuo kikuu kipi unashauli niconfirm make nimechaguliwa
1.RUAHA university-Iringa
2. Iringa university-Iringa
3. Tumaini Makumila university-Arusha
4.mzumbe university Morogoro na 5.catholic university mbeya
Ukienda vya St ukimaliza ... nenda Mzumbe
 
Jamani,, kama title inavyosema,,mtoto anataliwa kuconfirm chuo anachoamini mi Bora kusoma Sheria kati ya vyuo vifuatavyo:tunaomba ushauri

Chuo kikuu kipi unashauli niconfirm make nimechaguliwa
1.RUAHA university-Iringa
2. Iringa university-Iringa
3. Tumaini Makumila university-Arusha
4.mzumbe university Morogoro na 5.catholic university mbeya
Nini hasa kimeijazia hii hoja y "ubora". Ubora umeudefine vipi ili tujue kipi kitakufaa. Ubora kwako ni madem au nn?

Mana hata ukisoma havard unWeza toka na content za Rucu kama hujajiandaa kupokea. So ubora wa product kama elimu ni self sacrificing
 
Jamani, kama title inavyosema, mtoto anataliwa kuconfirm chuo anachoamini mi Bora kusoma Sheria kati ya vyuo vifuatavyo:tunaomba ushauri

Chuo kikuu kipi unashauli niconfirm make nimechaguliwa
1. RUAHA university-Iringa
2. Iringa university-Iringa
3. Tumaini Makumila university-Arusha
4. Mzumbe University Morogoro na
5. Catholic university Mbeya
NO. 2
 
nenda ukasome kwa bidii sana chuo chochote. Kuzingatia masomo ni jambo muhimu sana gentleman, tafadhali nenda usichelewe 🐒
 
Jamani, kama title inavyosema, mtoto anataliwa kuconfirm chuo anachoamini mi Bora kusoma Sheria kati ya vyuo vifuatavyo:tunaomba ushauri

Chuo kikuu kipi unashauli niconfirm make nimechaguliwa
1. RUAHA university-Iringa
2. Iringa university-Iringa
3. Tumaini Makumila university-Arusha
4. Mzumbe University Morogoro na
5. Catholic university Mbeya
Hakuna chuo hata kimoja hapo. Ukitaka kusoma law nenda nje, ukishindwa kwenda nje basi soma UDSM.
 
Wewe Soma popote tu ili ufute ujinga.

Ona kama sijui Mwinjuka anasema ana degree sijui ya Mlimani sijui ya Sheria angalia mambo anayoyafanya hata Chidbenz anamshinda akili!
 
Hakuna chuo hata kimoja hapo. Ukitaka kusoma law nenda nje, ukishindwa kwenda nje basi soma UDSM.
Mkuu, huyu kijna kamaliza Diploma ya sheria kutoka chuo cha Lushoto mwaka huu na ameclear so akawa ameomba sasa law lakini UDSM hakupata nadhani labda waliishachagua vipanga wao mapema , ngo kaambiwa aconfirm kati ya hivyo hapo.So kwa uelewa wenu , please mpe ushauri
 
Jamani, kama title inavyosema, mtoto anataliwa kuconfirm chuo anachoamini mi Bora kusoma Sheria kati ya vyuo vifuatavyo:tunaomba ushauri

Chuo kikuu kipi unashauli niconfirm make nimechaguliwa
1. RUAHA university-Iringa
2. Iringa university-Iringa
3. Tumaini Makumila university-Arusha
4. Mzumbe University Morogoro na
5. Catholic university Mbeya
Nenda Muslim University Morogoro.Pale utasoma sheria na sharia.
 
Jamani, kama title inavyosema, mtoto anataliwa kuconfirm chuo anachoamini mi Bora kusoma Sheria kati ya vyuo vifuatavyo:tunaomba ushauri

Chuo kikuu kipi unashauli niconfirm make nimechaguliwa
1. RUAHA university-Iringa
2. Iringa university-Iringa
3. Tumaini Makumila university-Arusha
4. Mzumbe University Morogoro na
5. Catholic university Mbeya
Kuanzia Iringa University, Tumaini University na Mzumbe University hivi vyuo ni vizuri sana kwa course ya sheria.
 
Mwambie akanseli vyote Kisha mwakani aombe yudizimu
Kuna module gani tofauti inayofundishwa Udsm ambapo vyuo vingine havifundishi?

Tatizo baadhi ya watu mnaishi kwa kukariri vitu visivyo na uhalisia kwa kuaminishwa ujinga.

Niliomba vyuo vitano nikapta vyote ikiwemo Udsm lakini sikuconfirm Udsm maana ni chuo cha kawaida sawa na vingine tu.
 
Ukitoa Mzumbe vilivyobaki hapo vyote ni vyuo vya Kata
Umekaririshwa vibaya sana. Usiishi kwa mazoea ishi kiuhalisia.

Hakuna kitu kipya kinachofundishwa Udsm ambacho hakifundishwi vyuo vingine.

Mwanafunzi aliyehitimu bachelor ya sheria Udsm hana tofauti na mhitimu wa diploma kutoka chuo cha uongozi wa mahakama Lushoto.

Hili tulilishuhudia kipindi cha field baada ya ofisi kupokea wanafunzi wa field kutoka vyuo mbalimbali kwa level mbalimbali kama certificate, diploma na degree.

Aise wanafunzi wa diploma kutoka Chuo cha uongozi wa mahakama walikuwa wanawaelekeza kazi mbalimbali wanafunzi wa degree wakiwemo wa Udsm.

Ilifikia mahali mahakimu walikuwa wanawaamini zaidi wanafunzi wa diploma kuliko wa degree maana walikuwa wepesi kuelewa na kufanya kazi kwa usahihi.

Sasa wewe kariri eti Udsm ndicho chuo bora wakati kwenye uhalisia ni weupe vichwani wanashindwa kazi na wanafunzi wa stashahada.
 
Mkuu, huyu kijna kamaliza Diploma ya sheria kutoka chuo cha Lushoto mwaka huu na ameclear so akawa ameomba sasa law lakini UDSM hakupata nadhani labda waliishachagua vipanga wao mapema , ngo kaambiwa aconfirm kati ya hivyo hapo.So kwa uelewa wenu , please mpe ushauri
Kama alisoma Diploma Chuo cha Uongozi wa Mahakama naamini yupo vizuri maana kile chuo nakifahamu wanafundisha vizuri sana na wanafunzi wao ni very competent unaweza kumuweka meza moja na mwanafunzi wa Bachelor degree na akamshinda kwa nyanja nyingi.

Ninachotaka kusema ni kwamba chuo chochote kati ya hivyo aende tu atafanya vema sana maana masomo mengi atakayosoma huko almost 90% ni yale yale aliyosoma Diploma.
 
Back
Top Bottom