Ukienda vya St ukimaliza ... nenda MzumbeJamani,, kama title inavyosema,,mtoto anataliwa kuconfirm chuo anachoamini mi Bora kusoma Sheria kati ya vyuo vifuatavyo:tunaomba ushauri
Chuo kikuu kipi unashauli niconfirm make nimechaguliwa
1.RUAHA university-Iringa
2. Iringa university-Iringa
3. Tumaini Makumila university-Arusha
4.mzumbe university Morogoro na 5.catholic university mbeya
Nini hasa kimeijazia hii hoja y "ubora". Ubora umeudefine vipi ili tujue kipi kitakufaa. Ubora kwako ni madem au nn?Jamani,, kama title inavyosema,,mtoto anataliwa kuconfirm chuo anachoamini mi Bora kusoma Sheria kati ya vyuo vifuatavyo:tunaomba ushauri
Chuo kikuu kipi unashauli niconfirm make nimechaguliwa
1.RUAHA university-Iringa
2. Iringa university-Iringa
3. Tumaini Makumila university-Arusha
4.mzumbe university Morogoro na 5.catholic university mbeya
NO. 2Jamani, kama title inavyosema, mtoto anataliwa kuconfirm chuo anachoamini mi Bora kusoma Sheria kati ya vyuo vifuatavyo:tunaomba ushauri
Chuo kikuu kipi unashauli niconfirm make nimechaguliwa
1. RUAHA university-Iringa
2. Iringa university-Iringa
3. Tumaini Makumila university-Arusha
4. Mzumbe University Morogoro na
5. Catholic university Mbeya
nenda ukasome kwa bidii sana chuo chochote. Kuzingatia masomo ni jambo muhimu sana gentleman, tafadhali nenda usichelewe 🐒Jamani, kama title inavyosema, mtoto anataliwa kuconfirm chuo anachoamini mi Bora kusoma Sheria kati ya vyuo vifuatavyo:tunaomba ushauri
Chuo kikuu kipi unashauli niconfirm make nimechaguliwa
1. RUAHA university-Iringa
2. Iringa university-Iringa
3. Tumaini Makumila university-Arusha
4. Mzumbe University Morogoro na
5. Catholic university Mbeya
Hakuna chuo hata kimoja hapo. Ukitaka kusoma law nenda nje, ukishindwa kwenda nje basi soma UDSM.Jamani, kama title inavyosema, mtoto anataliwa kuconfirm chuo anachoamini mi Bora kusoma Sheria kati ya vyuo vifuatavyo:tunaomba ushauri
Chuo kikuu kipi unashauli niconfirm make nimechaguliwa
1. RUAHA university-Iringa
2. Iringa university-Iringa
3. Tumaini Makumila university-Arusha
4. Mzumbe University Morogoro na
5. Catholic university Mbeya
Kwanini Mkuu,Futa mzumbe apo hakifai kuitwa chuo
Mkuu, huyu kijna kamaliza Diploma ya sheria kutoka chuo cha Lushoto mwaka huu na ameclear so akawa ameomba sasa law lakini UDSM hakupata nadhani labda waliishachagua vipanga wao mapema , ngo kaambiwa aconfirm kati ya hivyo hapo.So kwa uelewa wenu , please mpe ushauriHakuna chuo hata kimoja hapo. Ukitaka kusoma law nenda nje, ukishindwa kwenda nje basi soma UDSM.
Nenda Muslim University Morogoro.Pale utasoma sheria na sharia.Jamani, kama title inavyosema, mtoto anataliwa kuconfirm chuo anachoamini mi Bora kusoma Sheria kati ya vyuo vifuatavyo:tunaomba ushauri
Chuo kikuu kipi unashauli niconfirm make nimechaguliwa
1. RUAHA university-Iringa
2. Iringa university-Iringa
3. Tumaini Makumila university-Arusha
4. Mzumbe University Morogoro na
5. Catholic university Mbeya
Kuanzia Iringa University, Tumaini University na Mzumbe University hivi vyuo ni vizuri sana kwa course ya sheria.Jamani, kama title inavyosema, mtoto anataliwa kuconfirm chuo anachoamini mi Bora kusoma Sheria kati ya vyuo vifuatavyo:tunaomba ushauri
Chuo kikuu kipi unashauli niconfirm make nimechaguliwa
1. RUAHA university-Iringa
2. Iringa university-Iringa
3. Tumaini Makumila university-Arusha
4. Mzumbe University Morogoro na
5. Catholic university Mbeya
Kuna module gani tofauti inayofundishwa Udsm ambapo vyuo vingine havifundishi?Mwambie akanseli vyote Kisha mwakani aombe yudizimu
Umekaririshwa vibaya sana. Usiishi kwa mazoea ishi kiuhalisia.Ukitoa Mzumbe vilivyobaki hapo vyote ni vyuo vya Kata
Kama alisoma Diploma Chuo cha Uongozi wa Mahakama naamini yupo vizuri maana kile chuo nakifahamu wanafundisha vizuri sana na wanafunzi wao ni very competent unaweza kumuweka meza moja na mwanafunzi wa Bachelor degree na akamshinda kwa nyanja nyingi.Mkuu, huyu kijna kamaliza Diploma ya sheria kutoka chuo cha Lushoto mwaka huu na ameclear so akawa ameomba sasa law lakini UDSM hakupata nadhani labda waliishachagua vipanga wao mapema , ngo kaambiwa aconfirm kati ya hivyo hapo.So kwa uelewa wenu , please mpe ushauri