Chuo gani bora cha kusoma Bachelor of Law kati ya hivi?

Lakini masomo ni yale yale na tulikuwa tunakutana discussion na wanachuo kutoka vyuo mbalimbali hakuna cha ziada wanachosoma UDSM ni yale yale tu mkuu.
Mimi sikatai content au course module za bachelor degree za sheria zinafanana au zile zile kwa Tanzania.
Nakataa kulinganisha dip law na bachelor Law.
Kuwa mwanasheria au mtaalamu wa sheria ni zaidi ya kuandaa doc ulizosema. i.e "plaint au Written statement of defence".
Lazima uwe rhetoric, elicit, e.t.c
Uwe mtu wa research kwenye sheria n.k. Huko diploma hawako deep kwenye hayo mambo.
NB. Mimi siyo mwanasheria naweza kuwa sipo sahihi.
 
UDSM wanaenda vipanga tu. Huko kwingine wamejaa division III. Halafu hata kwenye ajira wa UDSM anazingatiwa zaidi labda tu azingue kwenye usaili.
 
Wewe ni muongo bwana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Elewa VIPANGA yanakwenda UDSM, ARDHI na SUA, yale mengine ya Div. Sijui 3, 4 hata 0 yanakwenda VYUO VINGINE!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ