Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Ndoto za kurudia bachelor au diploma za kijingaWewe lengo lako lilikuwa kupata vyuo, hivyo fuatilia vyuo ulivyotajiwa achana na mawazo mgando ya watu walioshindwa wewe fanya kitu kulingana na uhitaji wako wa sasa hivi lakini ukisikiliza mawazo ya wengine utashindwa kutimiza ndoto zako kwa kuangalia mitazamo hasi
Udom si ndiyo chuo mkuu kinatoa hizo diploma za afya ila pia Hiyo benjamini mkapa ipo ndani college ya tiba udom nayo wameanzisha institute yao itayo toa diploma ya mionzi tu.Chu cha diploma cha udom kinaitwaje??
Hapa nimeona kwenye system kwa dodoma kuna ''Benjamin Mkapa institue of health & allied science college'', na Dodoma institute of health and Allied science..Ni kipi kati ya hivyo??
Hospital yao ipo ndani ya college of health science udom, pia wameanzisha institue yao ambayo itatoa diploma ya mionzi ila elewa kua benjamini ipo ndani ya eneo la chuo kikuu cha dodomahivi benjamin mkapa ndiyo ipo UDOM au?
na chuo kinachoitwa dodoma institute of health& allied sciences kiko wapi?Hospital yao ipo ndani ya college of health science udom, pia wameanzisha institue yao ambayo itatoa diploma ya mionzi ila elewa kua benjamini ipo ndani ya eneo la chuo kikuu cha dodoma
Niajiri basi meneja wa makampuni🙂Ndoto ya kurudia diploma au bachelor za kijinga.
Yes, tatizo liko wapi?Hivi ni kweli ndugu yetu umemaliza degree ya hiyo kitu uliyotaja? Kama kweli umemaliza na hiki unachouliza basi kuna tatizo kubwa sana kwenye mfumo wetu wa Elimu kuanzia vidudu mpaka huko ulikomaliza degree yako
Kipo dodoma huku huku ila sijajua ni sehemu gan mkuuna chuo kinachoitwa dodoma institute of health& allied sciences kiko wapi?
Sawa, UDOM wao chuo cha diploma kinaitwaje??Kipo dodoma huku huku ila sijajua ni sehemu gan mkuu
mmmh....inatia mashaka..kama ni kweli kwa nini hukuanza na afya kabla ya engineering!mi machungwa na lemon sina...ila tunda passion ya afya ipo kubwa kuliko engineering
utoto wa form4, kuchagua combination kwa story za vijiwenimmmh....inatia mashaka..kama ni kweli kwa nini hukuanza na afya kabla ya engineering!
UDOM hakipo under NACTE mkuu iko kipo under TCU mkuu kwa hiyo huwezi ukakiona kwenye list ya vyuo vya nacteSawa, UDOM wao chuo cha diploma kinaitwaje??
Maana naangalia hapa kwenye list ya vyuo vya dodoma vilivyosajiliwa NACTE sioni UDOM
Diploma zote za UDOM zipo under TCU mkuu NACTE hawahusiki kabisaSawa, UDOM wao chuo cha diploma kinaitwaje??
Maana naangalia hapa kwenye list ya vyuo vya dodoma vilivyosajiliwa NACTE sioni UDOM
D nne Physic,Chem,Bios na Math lakini kutokana na ushindani uwe na ufaulu ulioshiba kujihakikishia nafasi.Wanataka ufaulu Gani apoo benjamini
Kwako ni ujinga ,..!Hata wewe Kuna mtu anaona wewe kuwa na ndoto za kusoma Master's degree/PhD ni ujinga.Ndoto za kurudia bachelor au diploma za kijinga
Huyu@Meneja Wa Makampuni ni mjuaji wa kijinga alikuwa anaongelea kuhusu kwamba ni mtaalamu wa kuomba scholarship za masters ughaibuni nikamfuata inbox anisaidie maelekezo ila alikaa kiyma,leo yupo kwenye hii thread akipondea elimu na hustle za mleta maada, yaani Huyu jamaa ni kenge kwenye group la mamba.Kwako ni ujinga ,..!Hata wewe Kuna mtu anaona wewe kuwa na ndoto za kusoma Master's degree/PhD ni ujinga.
Sikiliza mafanikio hayana muda maalum wala hayana umri.
Kila mtu ana ndoto zake na ananjia zake za kufanikiwa.
*NDOTO YA MTU USIITE UJINGA *
Hapa ndio umeharibu sasa, ivi unadhani kuomba scholarship ni jambo la kujianzia tu bila maandalizi na muda. Umeharibu rafiki, umeharibu sana.Huyu@Meneja Wa Makampuni ni mjuaji wa kijinga alikuwa anaongelea kuhusu kwamba ni mtaalamu wa kuomba scholarship za masters ughaibuni nikamfuata inbox anisaidie maelekezo ila alikaa kiyma,leo yupo kwenye hii thread akipondea elimu na hustle za mleta maada, yaani Huyu jamaa ni kenge kwenye group la mamba.