Wewe ni mnafiki na mbinafsi kama ni mwanamke basi familia yako haiwezi kupokea mgeni maana wewe ni mchoyo na Nina uhakika hujaolewa na usipobadilika hutoolewa.Hapa ndio umeharibu sasa, ivi unadhani kuomba scholarship ni jambo la kujianzia tu bila maandalizi na muda. Umeharibu rafiki, umeharibu sana.
Siwezi kubishana nawewe rafiki. Ungekua ni mtu mwelewa usingeleta mambo ya private message hadharani.Wewe ni mnafiki na mbinafsi kama ni mwanamke basi familia yako haiwezi kupokea mgeni maana wewe ni mchoyo na Nina uhakika hujaolewa na usipobadilika hutoolewa.
Nimeyaleta baada ya kukuona unakebehi juhudi na bidii za mleta maada.Siwezi kubishana nawewe rafiki. Ungekua ni mtu mwelewa usingeleta mambo ya private message hadharani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa anakaba kila kona, Tamisemi wakileta option za wenye degree jamaa linapiga application, na wakileta option za wenye certificate/diploma bado jamaa halikwepeki, inshort huyu anataka kwenda sambamba na serikali[emoji28]
Ndoto za kurudia bachelor au diploma za kijingaWewe lengo lako lilikuwa kupata vyuo, hivyo fuatilia vyuo ulivyotajiwa achana na mawazo mgando ya watu walioshindwa wewe fanya kitu kulingana na uhitaji wako wa sasa hivi lakini ukisikiliza mawazo ya wengine utashindwa kutimiza ndoto zako kwa kuangalia mitazamo hasi
Mleta mada amechanganyikiwa anahitaji kufanyiwa maombiNimeyaleta baada ya kukuona unakebehi juhudi na bidii za mleta maada.
Duuuh ulisoma miaka 9?? Kheeeh hataree.Nilisoma Engineering nikamaliza nikaenda MD (Medicine doctor ) nikamaliza sikiliza Moyo wako.Naomba unipm uko serious ,sikiliza moyo wako hutojita
Hongera sana aisee.Nilisoma Engineering nikamaliza nikaenda MD (Medicine doctor ) nikamaliza sikiliza Moyo wako.Naomba unipm uko serious ,sikiliza moyo wako hutojita
Ni masuala ya opportunities tu. Yupo jamaa Marekani alimaziza PhD sikumbuki ya fani gani halafu Ulaya, lakini alipoenda Marekani akaanza kusoma upya Nursing na ndio inayomlipa sasa hivi.Ndoto za kurudia bachelor au diploma za kijinga
Mleta mada amechanganyikiwa anahitaji kufanyiwa maombi
heeeeeeee, unazeekea shuleniNi masuala ya opportunities tu. Yupo jamaa Marekani alimaziza PhD sikumbuki ya fani gani halafu Ulaya, lakini alipoenda Marekani akaanza kusoma upya Nursing na ndio inayomlipa sasa hivi.
Unaushamba wa kimazingira ,unashamba wa Elimu.Una less exposure huwezi kuelewa.Ndoto za kurudia bachelor au diploma za kijinga
Mleta mada amechanganyikiwa anahitaji kufanyiwa maombi
Ungekua na ufaulu ulioshiba ungesoma industrial mkuu?pale udsm industrial huwa inasomwa na watu wenye ufaulu mdogo mnoUfaulu umeshiba, hiyo radiology ina fursa?
10yrs pleaseDuuuh ulisoma miaka 9?? Kheeeh hataree.
Mantiki yako ni nini sasa hapa? Wabongo wengi wamejaza ujinga kichwani.Ungekua na ufaulu ulioshiba ungesoma industrial mkuu?pale udsm industrial huwa inasomwa na watu wenye ufaulu mdogo mno
Ahaa, ukitaka kuapply diploma udom unaaply kwa wapi?UDOM hakipo under NACTE mkuu iko kipo under TCU mkuu kwa hiyo huwezi ukakiona kwenye list ya vyuo vya nacte
Ona huyuu!Ungekua na ufaulu ulioshiba ungesoma industrial mkuu?pale udsm industrial huwa inasomwa na watu wenye ufaulu mdogo mno
Ingia direct kwenye website ya chuo mkuu utafata taratibu.Ahaa, ukitaka kuapply diploma udom unaaply kwa wapi?
Wewe bado sana hata kuelewa mantiki ya mtoa mada umeshindwa.Ila we jamaa bwana pcm na engineering huko uliisomaga vizuri kweli yaani unawaza kwenda diploma ya C.O kisa msharaha wa mwezi wa kuajiriwa kweli. Bongo watu elimu huwa tunakaririshana tu aisee. Yaani engineering umeshindwa kuitumia pcm nayo umeshindwa kuitumia almost 6 years plus 10M+ loan have gone. Mm nilipiga pcm nikapata three yakusoma Sana vitabu kumbe kwenye paper wanataka ujue kusolve maswali nikashauriwa niingie Diplo ya C.O nikazinda mwaka mmoja baadae nikajiunga DIT kusoma diploma ya mechanical engineering niliishia mwaka wa wakwanza kwasababu za kiafya na pesa kwahiyo I left there with only NTA level 4 results. Lakini Sasa Kuna watu wamenishauri niende Diplo ya C.O but nimeshiti nimejiuliza pcm yangu + NTA level 4 niwenimepoteza mda+ nguvu+ Ada. Nimeamua kuvalue nilicho nacho hivyo nimeanza kuona fursa nyingi tu.
Kama umeshindwa kuvalue thamani ya ulicho nacho usitegemee Kuna mtu Atakivalue.