Chuo kikuu cha Dar es salaam kimekuwa cha nne kwa ubora Africa na cha kwanza A.Mashariki

Chuo kikuu cha Dar es salaam kimekuwa cha nne kwa ubora Africa na cha kwanza A.Mashariki

Mnaobisha hebu tupeni sasa ukweli wa mambo ni UPI? Ni ujinga kubisha bila kuwa na Majibu unayoamini ni ya kweli
 
mnazidi kutuchanganya sisi tulio chini. wakubwa tupeni mwanga chuo gani tz kinajielewa na kwa kozi gani.
 
wadau! nafikiri kila mtu yupo huru kutoa mawazo yake lakini kiukweli mi nimetembelea vyuo vikuu kadhaa Africa, vinaipita kwa Mbali sana UDSM si kwa kufanya tafiti nyingi zenye ubora ambao matokeo yake huchapishwa na majarida ya kitaaluma ya Kimataifa (International Academic journal) UDSM pamoja na kuwa na umri mkubwa (Zaidi ya miaka 50) kimeanza kuwa chuo cha Kisiasa. Maprofesa/wahadhiri wamepuuzwa fikiria Full Professor anapokea mshahara 2m wakati mwanafunzi aliyemfundisha anaenda kuajiriwa na Kampuni ya Simu/Madini/ Gesi anapokea 8000 USD sawa na 12.5m kwa mwezi unategemea prof atakuwa motivated?
 
Nashauri Uongozi wa UDSM uanze wao kwanza kujizatiti kwa kumotisha wafanyakazi wao kwa kuanzisha programme modalities nyingi zaidi mfano Distance learning, Part Time, weekend classes, Long Vacation classes ambapo pesa itakayopatikana iwalipe walimu na kununua resources (e-books, e-journals) na vifaa vingine vya kufundishia na kujifunzia badala ya kutegemea kila kitu serikali
 
UDSM bado itaendelea kuwa state university,kuna changamoto ambazo wanapaswa kuzifanyia kaz,kwanza uwepo wa e-books and journalz,pia kuwe na intanet(wireless) ya kutosha ndani ya kampasi zake,,,,maana ulimwengu wa sasa si lazima kuingia maktaba,,,,ulimwengu wa sasa mwanafunz anaweza akakaa popote akajisome,kingine baadh ya miundo mbinu ya kusomea si mizuri saaana mfano IKR,ARC,ARA,ARB,
lakin kitaaluma wapo makini,suala la kufanyia kazi tafiti lipo sana kwa wao wanaopaswa kutekeleza majibu ya tafiti hizo,
kuna watu wanajitahid kuponda UDSM,ila kwenye mioyo yao walipenda sana kusoma UDSM(UNAJIJUA) ila hapa kwakua anajua haonekani basi nae anavunjavunja,mmenda vyuo vingine kwakua umekosa nafas udsm,unless ulipanga ukasomee udaktar(MHIMBILI) au kilimo SUA,
 
Kwamba ni cha nne Afrika, natilia shaka. Lakini hata kingekuwa, so what?

Usafi tu umewashinda, hayo mangine makubwa makubwa mtayaweza?

Chuo kinanuka utadhani utadhani bwawa la mavi bana....

hehehe,,kuna darasa tulihama kisa chemba inanuka,mbona hata nyuma ya ikulu pananuka
 
Naipongeza sana UDSM ki ukweli watanzania tumetawaliwa sana na roho za wivu na chuku ndio maana prof MUHONGO alisema na nukuu "adui wa maendeleo ya tanzania ni mtanzania mwenyewe"
badala ya kutoa pongezi kwa UDSM watu wanaanza chuki
OMBI
chuki ziwekwe pembeni badala yake tutoe mapendekezo gani ya kuboresha elimu zetu za vyuo vikuu bila kujali ni chuo cha binafsi au la
UPANDE WA PILI WA SHILINGI
wanafunzi wa Udsm msijione sana kuwa nyie ni better than other kumbukeni kila mtu alikua na haki ya kusoma hapo ila kutokana na some factors ndio maana akaenda kusoma chuo kingine
mfano
SUA mtu kaenda kusoma kozi za agriculture ambapo UDSM hazipo
MUHAS doctor of medicine na kadhalika ambapo UDSM haipo
ARDHI mtu kaenda kusoma mambo ya land and suvery

so watanzania tuache wivu na chukia pia tuwe tayari kutoa solution towards development achievment

finally
HONGERA SANA UDSM.!
 
Wakat wakenya wametoa pongezi. Watanzania hawataki kukubali sababu washazoea kuongoza kwenye majanga ya uchafu.umasikini .magonjwa na rushwa
 
Kama ni kweli basi ni njema sana. Ila suala kubwa na la muhimu ni application of the acquired knowledge by its Graduates/Graduands. Hapo ndo kuna kazi athee!
 
Naipongeza sana UDSM ki ukweli watanzania tumetawaliwa sana na roho za wivu na chuku ndio maana prof MUHONGO alisema na nukuu "adui wa maendeleo ya tanzania ni mtanzania mwenyewe"
badala ya kutoa pongezi kwa UDSM watu wanaanza chuki
OMBI
chuki ziwekwe pembeni badala yake tutoe mapendekezo gani ya kuboresha elimu zetu za vyuo vikuu bila kujali ni chuo cha binafsi au la
UPANDE WA PILI WA SHILINGI
wanafunzi wa Udsm msijione sana kuwa nyie ni better than other kumbukeni kila mtu alikua na haki ya kusoma hapo ila kutokana na some factors ndio maana akaenda kusoma chuo kingine
mfano
SUA mtu kaenda kusoma kozi za agriculture ambapo UDSM hazipo
MUHAS doctor of medicine na kadhalika ambapo UDSM haipo
ARDHI mtu kaenda kusoma mambo ya land and suvery

so watanzania tuache wivu na chukia pia tuwe tayari kutoa solution towards development achievment

finally
HONGERA SANA UDSM.!

bora Al-Shabab umena ndo kama nilivyodokeza hapo juu huenda wanaomponda Prof Rwekaza na UDSM wanasukumwa na chuki,UDSM inapokea wanafunz wengi sana toka nchi mbalimbali za kiafrika,ulaya,amerika na mashariki ya mbali,wote wanakuja kusaka taaluma,Kagame ana mabint zake kibao pale wa kinyarwanda amewapeleka,nadhan mwaka huu 2013/14 ndo hajawapeleka,sasa ingekua na taaluma mbovu hawa foreigners wangekwendaje pale?nadhan cha muhim ni udsm kuboresha miundombinu,kwa sasa wanajenga CoET,wanaongeza madarasa,jambo jema
 
Last edited by a moderator:
Kama ni kweli basi ni njema sana. Ila suala kubwa na la muhimu ni application of the acquired knowledge by its Graduates/Graduands. Hapo ndo kuna kazi athee!

ni kweli mdau,ndo maana wanaambiwa waboreshe mitaala yao sasa hivi
 
Watanzania tuna roho za namna gani?? badala ya kusifia tunaponda......! Kwa hiyo hamtaki UDSM kuwa cha 4?? TUJIAMINI JAMANI.
 
Binafsi nina maswali mengi hususan criteria iliyotumika ku rank hivyo vyuo. All in all wanastahili pongezi.
 
Udsm baba am proud 2 b here , we ulitaka teku ndo iwe ya nne or ?
Jidanganyeni! Hata akitokea kichaa akiamua kutoa orodha ya vyuo vikuu bora duniani na akiorodhesha chuo kikuu cha Dar es salaam ni cha kwanza nyie mtafanya sherehe! Dalili za watu wavivu kutaka haki bila wajibu!
 
Nyie mnao dic udsm mlitaka apo ishike teku,cbe,rucco ,c ndio , big up udsm
 
Kati ya vyuo 100 bora vya Africa.,chuo kikuu cha Dar. Es salaam kimekuwa cha nne kwa ubora wa elimu.

Na kwa Afrika Mashariki kimekuwa cha kwanza. Kikifuatiwa na Makerere.

Hongera maprofesa wa Chuo Cha Dar es salaam.

Source NTV Kenya kupitia kurasa yao ya facebook

NTV wao wametoa www.africareview.com/ Dar es-salaam university ranked 4th among 100 top African universities

Ukurasa wa fesibuku?
 
Badala ya kutoa mapovu mengi, jiulizeni Ni Kwa nini kikawa katika nafasi hiyo. Vyuo vingi idadi ya Professors Ni wachache, UDSM at least. Publications ngapi zinafanywa na wahadhiri wa vyuo vyetu? Compare UDSM na Vyuo vingine; participation in consultancy, compare UDSM na vyuo vingine.

No wonder, wanaopiga mayowe wengi Ni kutoka Mzumbe (just hypothesis). Hawa wamejipambanua sana nje ya ulingo wa taaluma kama wapinzani wa UDSM!!! Ni Fikra hasi kupambana kihisia na usioweza kupambana nao Kwa vigezo vya kimataifa katika taaluma.

Katika ranking sijawahi kuona MZUMBE ikiwakaribia Hata Herbet Kairuki. Haya majungu na fitina Kwa UDSM yanaathiri sana Hata ajira za watu sasa maana HRs wengi na wakuu wa IDARA za uajiri wamepitia Mzumbe so wanawanyonga sana wahitimu wa UDSM.

Angalieni hizi Ranking apart from 4icu
http://www.webometrics.info/en/africa
 
Mkuu. Tuweke hayo mambo ya ranking pembeni kwa sababu mtu yeyote anaweza ku-rank kulingana na mtazamo wake hivyo suala la kukubaliana linaweza kuwa gumu. Mimi mara nyingi huwa nakubali ubora wa chuo kikuu hupimwa kutokana na ubora wa wahitimu, tafiti zinazofanyika, matokeo yake na application ya zile tafiti kwenye maeneo husika. Nashindwa kuona ubora wa mlimani kwa sababu sijaona ubora wa hivyo vitu. Na mwisho sitaki niamini kuwa unapima ubora wa chuo kwa idadi ya wanafunzi wanao-disco

ukileta uzembe kama upo st kayumba unandoka yaani unadisco sio kma vyuo vingine unaonewa huruma pia suala ya udahili udsm hawachukui kama una division 3 kwa arts nenda kasome st kayumba .
 
Back
Top Bottom