Kama ni kweli basi ni njema sana. Ila suala kubwa na la muhimu ni application of the acquired knowledge by its Graduates/Graduands. Hapo ndo kuna kazi athee!
Udsm kitaaluma kwa kweli wako vizuri sana,sema kuna changamoto ambazo wanatakiwa washrikiane na serikali kuzimaliza, mfano malazi kwa wanafunzi na suala zima la miundombinu..hzo ndo changamoto pekee ambazo zinakikabili kile chuo.
Haya ni maneno tu, hata kwenye kanga yapo!!!!!Nikiwa mmoja wa wadau wa UDSM katika fani ya Elimu nakuhakikishia waajiri Wangepewa fursa ya kuchagua Ni wahitimu gani wa fani ya ualimu wawaajiri, hakika SAUT, TEKU, RUCO, MU na wengineo wangeona Kwa macho wenzao toka UDSM wakipata ajira. Hili si majungu Ni uhalisia maana nahusika na eneo hili na nimekuwa nakumbana na maneno ya wakuu wa shule kuhusu wanachuo wa vyuo hivyo vingine wakati wakiwa katika mafunzo ya ualimu Kwa vitendo yaani Teaching Practice. Assessment zinafanywa BAR (inasemekana Hata fani zingine wanafanya hivyo) na mahotelini; kwenye kufundisha ndo kwaaaanza weupe sana na wengi wanasifika Kwa utovu wa nidhamu, hawashikiki. Wakishakuwa assessed wanatoroka vituoni.
Hayo Ni machache kudhihirisha upande wa pili wa wale wa vyuo vingine. Kwa UDSM ukifanya moja Kati ya hayo niliyoyaweka hapo juu, imekula kwako. Wanalamba kichwa wallah.
[/quote]e=kunaguero;8241263]udsm ni cha nne! Kwa huiyo wewe nae profesa hadi kumponda mkandala? Acheni siasa
[/quote] kumbe kudisco wanafunzi wengi ndio kipimo cha elimu bora?quote=galamtogela;8241398]kiharisia udsm wanajitahidi kama umesoma pale utagundua kuwa ni haki kuwepo nafasi hiyo. Jamaa wanabana vibaya hakuna sio kama vyuo vikuu vingine hapa tz hususani vya binafsi kama hizi vya akina st........ Wanafunzi wao hakuna kitu hata kuandika scholary work hawajui baadhi kiasi wanajitahidi .kama mimi muongo wanafunzi wengi wa sheria wakienda udsm kusoma school law pale wanadisco .
Musome kwa bidii wingi wa maprofesa na chuo kutajwa sana kwenye website hakukufanyi kuwa muhitimu bora..........pia kumbuka taifa lilipofika hapa ni matokeo ya wanafunzi wa UD wa zamani sa sijui we mwanafunzi wa sasa unajipanga vipi?Madagadamdashi;8244276]So mnatushauri nini sisi wanfunzi pale ...maana kila mwamba ngoma huvutia kwake
unaumwa siyo mzima,hospitali ya milembe ipoproduct za udsm kwa sisi tunao ajiri tunazijua. ni ----- mtupu. kwa ngono labda maana ukimuitaview msichna kutoka udsm utakuta hujaanza kuuliza swali anataka akakupe uroda kwanza halafu ni wataalam sana kwenye kinyume na maumbile
kiharisia udsm wanajitahidi kama umesoma pale utagundua kuwa ni haki kuwepo nafasi hiyo. Jamaa wanabana vibaya hakuna sio kama vyuo vikuu vingine hapa Tz hususani vya binafsi kama hizi vya akina St........ Wanafunzi wao hakuna kitu hata kuandika Scholary work hawajui baadhi kiasi wanajitahidi .kama mimi muongo wanafunzi wengi wa sheria wakienda udsm kusoma school law pale wanadisco .
watanzania ndo maana hatuendelei kwa sababu ya majungu,mtu akifanya vizuri mnachukia na akifanya vibaya mnashangilia sana,mpende au msipende UDSM iko juu,ndo maana wanaochaguliwa hapa sio vilaza kama nyinyi mnaoiponda, I love UDSM ever
hujakielewa kichwa cha habari,tunazungumzia UDSM kwa upande wa taaluma na siyo uchakavu wa majengo na vyoo,ukikua utaacha upumbavu wako wa kukurupuka mambo ambayo huyaelewiSio kila anaeiponda UDSM hasomi au hajasoma UDSM watu wanaongelea facts,huo ubora wa nafasi ya nne katika nini? Maana nikiangalia hata kitaaluma bado hamna kitu wanafunzi wataoingia mwaka huu watasoma madesa ya 98' unataka kuniambia mitahala haibadiriki kulingana na mabadiriko ya technologia? Hall II na V mda wowote linaweza kuleta mahafa maana nyufa zizizomo mule hatari,na Hall 2 limepinda mda wowote linadondoka,lift mbovu,vyoo vichafu kama vya stendi ppppppuuuuuffffffffff.
hujakielewa kichwa cha habari,tunazungumzia UDSM kwa upande wa taaluma na siyo uchakavu wa majengo na vyoo,ukikua utaacha upumbavu wako wa kukurupuka mambo ambayo huyaelewi
Source ni 4uic....hawa jamaa hawatumii vigezo kwa kuangalia elimu itolewayo...vigezo wanavyotumia niGoogle Page Rank-Alexa Traffic Rank
Naona hata Mkandara Profesa mzima nae ameenda media na kuongelea suala hili.
source: URAP - University Ranking by Academic Performance
Nadhani hivi vigezo vinaleta sense kuliko hivyo vya www.4uci.org
Jidanganyeni! Hata akitokea kichaa akiamua kutoa orodha ya vyuo vikuu bora duniani na akiorodhesha chuo kikuu cha Dar es salaam ni cha kwanza nyie mtafanya sherehe! Dalili za watu wavivu kutaka haki bila wajibu!