Chuo kikuu cha Dar es salaam kimekuwa cha nne kwa ubora Africa na cha kwanza A.Mashariki

Kati ya vyuo 100 bora vya Africa.,chuo kikuu cha Dar. Es salaam kimekuwa cha nne kwa ubora wa elimu.

Na kwa Afrika Mashariki kimekuwa cha kwanza. Kikifuatiwa na Makerere.

Hongera maprofesa wa Chuo Cha Dar es salaam.

Source NTV Kenya kupitia kurasa yao ya facebook

NTV wao wametoa www.africareview.com/ Dar es-salaam university ranked 4th among 100 top African universities

so what?
 
Mpendwa Kobilo, hata huoni fahari katika hilo, umejaa chuki hata huoni ndugu yetu Money Stunna ka-share habari njema? Haya lakini kumbuka huhitaji kudhibitisha usemi wa Nabii hathaminiwi kwao. Hii kwa UDSM ni redit siyo mchezo. angalia walioweka wa NMG huko chuo cha Kenye hakikuingia kwa UDSM na Makerere, na UDSM kuishinda Makerere ni kama ilivyo kuwa Mtoto amekua na kuwa na ubra zaidi kwa wazazi wake. Kubali ufurahi ndicho tulichobaki nacho cha kujivunia. Hongera Prof. Mkandala
 
MULUGO PRODUCT..(Div 5 point 80)
 
Taaluma itakuaje nzuri wakati vyoo vinanuka? Mazingira na miundo mbinu kwa ujumla ni hovyo? Nadhani wewe ndie mpimbavu huelewi nini maana ya elimu!!

siku zote huwa sitaki kupoteza muda wa kuongea na vijana wa kizazi cha mulugo
 
MULUGO PRODUCT..(Div 5 point 80)

Thanks japo sikusoma wakati wa Mulugo ila imethibitisha kuwa nimesoma BBC maana shida ilikuwa kutumia smartphone na kuwa na uonaji hafifu. Hata hivyo ninadhani umeelewa mahali pa redit ilikuwa credit, natumaini ulielewa NMG ilisimama badala ya National Media Group (ila nawe pia ukawa mlugo product) ila mengine ya Kenye badala ya Kenya na ubra badala ya ubora natumaini ukisoma hivyo utapata mwelekeo wa discussion yangu. Kwa taarifa yako nia yangu nikutaka kufikiria zaidi juu ya kujaribu kuweka abreast kile tunachokipata badala ya kukatisha watu tamaa katika kutafuta juhudi ya kuboresha. Ndondondo si chururu lakini pia bandu bandu humaliza gogo. Wacha hata hiyo ndondondo tuisifiwe baadaye itakuwa chururu na tukumbuke kidogo kidogo (bandu bandu) mwisho gogo litaisha, na tuta- excel. Muhimu tujadili iliyo mezani, ila nashukuru kunikumbusha kuhariri maandiko. UBARIKIWE
 
safi..sasa hivi kidogo umeweza kuandika vizuri! next time usirudie.
 
Maada ya UDSM huzua mtafaruku! cjui kwa nini? chuo kinapigwa vita sana! anyway wote tuna exist wa UDSM na wengine wote pamoja
 
Kweli udsm kinapendwa, mti wenye matunda ndo hupigwa mawe, semeni mnavosema ila UDSM itaendlea kusonga, VIVA UDSM
 
Kati ya vyuo 100 bora vya Africa.,chuo kikuu cha Dar. Es salaam kimekuwa cha nne kwa ubora wa elimu.

Na kwa Afrika Mashariki kimekuwa cha kwanza. Kikifuatiwa na Makerere.

Hongera maprofesa wa Chuo Cha Dar es salaam.

Source NTV Kenya kupitia kurasa yao ya facebook

NTV wao wametoa Africa Review: Africa Review-Reporting Africas future and the big political, economic, cultural and technology stories shaping it es-salaam university ranked 4th among 100 top African universities

Mleta uzi embu nitajie product kumi za Udsm katika serikali yetu hii ili nipate pa kuchangia hoja. Taja vigogo kumi hasa mawaziri walio piga compedia za udsm ili tuwa evaluate
 
ukileta uzembe kama upo st kayumba unandoka yaani unadisco sio kma vyuo vingine unaonewa huruma pia suala ya udahili udsm hawachukui kama una division 3 kwa arts nenda kasome st kayumba .

Unauhakika UDSM hawachukui division 3.
Waliochukuliwa na division 3 ''WANAKUSHANGA''.
 
Sio kila anaeiponda UDSM hasomi au hajasoma UDSM watu wanaongelea facts,huo ubora wa nafasi ya nne katika nini? Maana nikiangalia hata kitaaluma bado hamna kitu wanafunzi wataoingia mwaka huu watasoma madesa ya 98' unataka kuniambia mitahala haibadiriki kulingana na mabadiriko ya technologia? Hall II na V mda wowote linaweza kuleta mahafa maana nyufa zizizomo mule hatari,na Hall 2 limepinda mda wowote linadondoka,lift mbovu,vyoo vichafu kama vya stendi ppppppuuuuuffffffffff.
Na wahitimu wa UDSM,MU.RUCO,SUA,TUMAINI,SAUT,MUCCOBS,SEKOMU,UDOM,TEKU,IFM,CBE etc wote tunazunguka na bahasha mtaani.
 
mnajifanya mna mawazona vikwazo,sisi tunajua waliokipa nafasi hiyo wamefanya utafiti wa hali ya juu,yeyote ambaye hajaridhika nenda uka appeal!!!
 
mnajifanya mna mawazona vikwazo,sisi tunajua waliokipa nafasi hiyo wamefanya utafiti wa hali ya juu,yeyote ambaye hajaridhika nenda uka appeal!!! acheni unafiki wenu usio na maana,wengi wenu mnataka vyuo vyenu viwe bora,siyo kirahisi hivyo!!!
 
Wewe ni kati ya wasomi waoamini shetani ni mweusi tu wala siyo mweupe kisa utafiti uliwahi fanywa na umeandikwa. Kwani wewe hukioni chuo cha udsm hukioni???!!!
 
Mleta uzi embu nitajie product kumi za Udsm katika serikali yetu hii ili nipate pa kuchangia hoja. Taja vigogo kumi hasa mawaziri walio piga compedia za udsm ili tuwa evaluate

wapo wengi pia usipende kutafuniwa,watafute wenyewe
 
Kwamba ni cha nne Afrika, natilia shaka. Lakini hata kingekuwa, so what?

Usafi tu umewashinda, hayo mangine makubwa makubwa mtayaweza?

Chuo kinanuka utadhani utadhani bwawa la mavi bana....

We dogo ntakuitia mgambo.

Wakukamate.

Unashangaa chuo kikuu hicho tena kina haki ya kuwa no 1 universal
 
Kati ya vyuo 100 bora vya Africa.,chuo kikuu cha Dar. Es salaam kimekuwa cha nne kwa ubora wa elimu.

Na kwa Afrika Mashariki kimekuwa cha kwanza. Kikifuatiwa na Makerere.

Hongera maprofesa wa Chuo Cha Dar es salaam.

Source NTV Kenya kupitia kurasa yao ya facebook

NTV wao wametoa Africa Review: Africa Review-Reporting Africas future and the big political, economic, cultural and technology stories shaping it es-salaam university ranked 4th among 100 top African universities

mzee unaxma faculty gan....icjekuw ni ualimu una2xumbua hum ndan
 
Back
Top Bottom