Chuo kikuu cha Dar es salaam kimekuwa cha nne kwa ubora Africa na cha kwanza A.Mashariki

Chuo kikuu cha Dar es salaam kimekuwa cha nne kwa ubora Africa na cha kwanza A.Mashariki

Sidhani kama naweza kuendelea kupoteza muda na wewe maana wewe ni walewale mbumbumbu ninaozungumzia

Acha uvivu wa kufikiri, hata waliotoa hiyo ranking wanakiri kuwa hiyo ranking siyo ya ubora wa elimu, its purely based on webmetrics. Nenda kwenye website yao ndio utajua Mkandala naye kaingia choo cha kike kutangaza mafanikio ya ubora wa chuo kwa kuzingatia hii ranking.

"We do not claim - by any means - to rank organisations or their programs, by the quality of education or level of services provided. The 4icu.org University Web Ranking is not an academic ranking and should not be adopted as the main criteria for selecting a higher education organization where to study".
 
Udsm kitaaluma kwa kweli wako vizuri sana,sema kuna changamoto ambazo wanatakiwa washrikiane na serikali kuzimaliza, mfano malazi kwa wanafunzi na suala zima la miundombinu..hzo ndo changamoto pekee ambazo zinakikabili kile chuo.

Kama malazi kwa wanafunzi ni mabaya hata kama unafundishwa na maprof wa oxford bado ni sababu tosha kusema elimu ni MBOVU!! rum ya watu wanne wanakaa watu nane?? Kuna elimu hapo?
 
hujakielewa kichwa cha habari,tunazungumzia UDSM kwa upande wa taaluma na siyo uchakavu wa majengo na vyoo,ukikua utaacha upumbavu wako wa kukurupuka mambo ambayo huyaelewi

Taaluma itakuaje nzuri wakati vyoo vinanuka? Mazingira na miundo mbinu kwa ujumla ni hovyo? Nadhani wewe ndie mpimbavu huelewi nini maana ya elimu!!
 
Kati ya vyuo 100 bora vya Africa.,chuo kikuu cha Dar. Es salaam kimekuwa cha nne kwa ubora wa elimu.

Na kwa Afrika Mashariki kimekuwa cha kwanza. Kikifuatiwa na Makerere.

Hongera maprofesa wa Chuo Cha Dar es salaam.

Source NTV Kenya kupitia kurasa yao ya facebook

NTV wao wametoa www.africareview.com/ Dar es-salaam university ranked 4th among 100 top African universities

Kama ni kweli basi natamani kutembelea chuo kikuu cha mwisho Afrika !!
 
Eti first year nyoo! endelea kubishana na material! reference gani umefanya kwa copy and pest? ndo tatizo la kusoma vyuo vya kata! sioni haja ya kubishana na wewe naona cha msingi toa ranking zako mtoto mdogo wewe! UDSM haijafanya lolote katika kuipa nafasi hiyo, nadhan hapo utakubaliana na mie, wahoji waliotoa hizo ranking then ili uridhike toa zako! nyie vilaza mmeingiaje humu? shame on you
We sakara tu manake wala hujui unachoongea na kama ungekuwa unafahamu unachoongea ungeona mie nimehoji methodology iliyotumika na sio kama UDSM ni bora au sio bora lakini kwavile wewe ni kilaza umejikita kwenye kujadili kama vilaza wenzako! Usivyo na aibu eti unajiita material.....material gani wakati kichwani kuna maji ya nazi tena yaliyochacha?! Unajiita material wakati kila mara unarudia rudia kuandika copy na ku-pest?
 
Bila shaka nabishana na mse......ge! kwa heri genious! unafikiri kwa ulimi
 
Wewe wa wapi? mbona kama unawashwa? firigisi
Narudia, wewe kilaza na wala usidhani kwamba watu wanashindwa kutukana ch'oko!! Kama unakuja ku-post wakati umekalia mipini na bado hujaridhika nayo; sema tu utapigw mingine hadi utokwe na haja kubwa maana yake ndo unachotaka!
 
Tukana uwezavyo! ------- kama wewe hamnipi shida! sijui mchawi gani anakugonga! keep it up
 
Mmmmh...

Kama na wewe ni mwanafunzi wa udsm basi chuo kimebaki jina tu...
 
Tukana uwezavyo! ------- kama wewe hamnipi shida! sijui mchawi gani anakugonga! keep it up
Mimi na wewe nani ameanza kutukana? Ulitarajia utukane halafu nikuangalie tu sio? we ch'oko sana.....sasa niambie manake nishajua unapenda kupigwa bomba; unataka kupigwa bomba wakati umechutama au ume'furama ch'oko?
 
Mimi na wewe nani ameanza kutukana? Ulitarajia utukane halafu nikuangalie tu sio? we ch'oko sana.....sasa niambie manake nishajua unapenda kupigwa bomba; unataka kupigwa bomba wakati umechutama au ume'furama ch'oko?

Burn lazima ziwahusu nyie.
 
SIFA ZA KIJINGA narudia tena SIFA ZA KIJINGA...
HONGERENI MAZUZU WOTE.
 
Back
Top Bottom