Chuo kikuu cha Dar es salaam kimekuwa cha nne kwa ubora Africa na cha kwanza A.Mashariki

ngoja nikwambie, kuhusu kuwa ni cha 4 Africa kwa ubora hilo sahau kwasababu bado hatujafikia kiwango hicho, lakini tambua ni chuo kizuri sana tu na cha muhimu ni kukaza buti darasani na hakikisha unamaliza unajua mambo kweli kweli sio gpa isome lakini hata excel haujui kutumia. ukikomaa utapata ajira nzuri na ukishapata ajira nzuri weka hela zako usizitumbue ovyo we tunza wacha wakuite mshamba marafiki kisa hutumii au hutoki out, dan tafuta scholarship na ukasime vyuo ambavo vinajulikana kimataifa hata ukimaliza masters huko ajira ni ya kweli mshahara mkubwa, kampuni kubw kijina na unathaminika kimataifa kokote kambi unapiga, ila hivi vyuo vyetu vya bongo huwezi kufanya competition hata na vyuo vya Nigeria. ni hayo tu man
 
UDSM ni cha nne! kwa huiyo wewe nae profesa hadi kumponda Mkandala? acheni siasa
Ina maana uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo? Kama ungekuwa smart basi bila shaka ungehoji methodology iliyotumika kufanya ranking!! Hivi unafahamu nini maana ya Google Page Rank? Unafahamu nini maana ya Alexa Traffic Rank? Anyway, nitakusaidia:

1. Google Page Rank Page Rank is an algorithm used by Google Search to rank websites in their search engine results. PageRank was named after Larry Page,[1] one of the founders of Google. PageRank is a way of measuring the importance of website pages. According to Google:
PageRank works by counting the number and quality of links to a page to determine a rough estimate of how important the website is. The underlying assumption is that more important websites are likely to receive more links from other websites.
source: PageRank - Wikipedia, the free encyclopedia

2. Alexa Traffic Rank Is a measurement of traffic to a website drawn from data provided to the search company Alexa from tracking software embedded in the Alexa Toolbar. Some people view this as an increasingly important measure of a website's success. However, it is relatively easy to manipulate the statistics and it only measures visits from users of their toolbar, who may not be your target market. Source: Leaping Hare internet jargon buster

3. Majestic SEO is a link analysis tool, with an index of 52 billion pages, a record of 350 unique URLs and 2.6 trillion mapping relationships (URL pointing to URL). Majestic SEO maintains its own web crawler, "MJ12," and keeps its own database of the web (like the major search engines). The project belongs to Majestic-12 Ltd and is run by volunteers, with the goal of establishing a quality search engine to compete on the worldwide market. Majestic SEO is a side project of the Majestic 12 search engine, designed to raise funds. In this article we take a detailed look at the Majestic SEO tool and its use in search engine optimization.

source: Majestic SEO Review - SEO Chat.

So, endapo ungekuwa smart, basi ulitakiwa kujadili hizo indicarors zilizotumika kupima ubora wa vyuo kisha utanabahi endapo vina uhusiano wowote na ubora in terms of academic...kwavile umeshindwa kuangalia hayo basi utagundua ni wewe ndie unayeleta siasa kuliko mimi ambae nimekupa methodology inayotumika!
 
Huyo Mkandara sio kwamba hauji ni vigezo gani vinatumika bali ameamua kuitumia nafasi hiyo kisiasa zaidi na kujifagilia huku akijua kwamba vigezo vilivyotumika sio vya ubora wa elimu as such.

Tiba
Nakubaliana na wewe kwa 100% kwavile anafahamu fika kwamba MAJORITY will never dig to find out the credibility of the information.
 
Wewe ndio hauelewi maana ya ubora wa chuo,ngeke mbwaku kweli wewe,ubora pamoja na miundombinu nenda shule tena maana inaonekana kichwa chako mumaji.
boya tu wewe,ningekuwa kichwa maji basi nisingekuwa binadamu mwenye akili timamu,lakini nakwambia kuwa siku zote huwa naongea na mwenye mbwa na siyo mbwa,dogo usiendelee kunifuatilia,kama utanijibu basi nitakuwa bwana wako na ukinyamaza utakuwa umeniogopa,I love UDSM ever.
 
Ina maana uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo? Kama ungekuwa smart basi bila shaka ungehoji methodology iliyotumika kufanya ranking!! Hivi unafahamu nini maana ya Google Page Rank? Unafahamu nini maana ya Alexa Traffic Rank? Anyway, nitakusaidia:

1. Google Page Rank Page Rank is an algorithm used by Google Search to rank websites in their search engine results. PageRank was named after Larry Page,[1] one of the founders of Google. PageRank is a way of measuring the importance of website pages. According to Google:
PageRank works by counting the number and quality of links to a page to determine a rough estimate of how important the website is. The underlying assumption is that more important websites are likely to receive more links from other websites.
source: PageRank - Wikipedia, the free encyclopedia

2. Alexa Traffic Rank Is a measurement of traffic to a website drawn from data provided to the search company Alexa from tracking software embedded in the Alexa Toolbar. Some people view this as an increasingly important measure of a website's success. However, it is relatively easy to manipulate the statistics and it only measures visits from users of their toolbar, who may not be your target market. Source: Leaping Hare internet jargon buster

3. Majestic SEO is a link analysis tool, with an index of 52 billion pages, a record of 350 unique URLs and 2.6 trillion mapping relationships (URL pointing to URL). Majestic SEO maintains its own web crawler, "MJ12," and keeps its own database of the web (like the major search engines). The project belongs to Majestic-12 Ltd and is run by volunteers, with the goal of establishing a quality search engine to compete on the worldwide market. Majestic SEO is a side project of the Majestic 12 search engine, designed to raise funds. In this article we take a detailed look at the Majestic SEO tool and its use in search engine optimization.

source: Majestic SEO Review - SEO Chat.

So, endapo ungekuwa smart, basi ulitakiwa kujadili hizo indicarors zilizotumika kupima ubora wa vyuo kisha utanabahi endapo vina uhusiano wowote na ubora in terms of academic...kwavile umeshindwa kuangalia hayo basi utagundua ni wewe ndie unayeleta siasa kuliko mimi ambae nimekupa methodology inayotumika!

Naona uelewa wako ni mdogo sana! kwa kukusaidia ni hivi! hivyo vyuo vyako unavyopigania havitii mguu UDSM una copy na kupest waliyoandika wenzio then unataka reputation? kuonyesha ubovu wa chuo chako unaanza plagialism mapema! sasa ni hivi usitake wafanye ranking kwa vigezo vyako wewe, na unazungumzia academic wao wamekwambia wanafanya ranking kwa kigezo hicho? usifikiri kwa ulimi
 
It's a proof beyond words,beyond speculations and beyond gossipwaaa ...

Nakumbuka sana enzi za kunji kunji !!! Ahhhaaa mpaka Mkandara anadata, alafu tunawapitia wanetu UCLAS na Nkrumah inashusha nondo za kufa mtu na falsafa za kutosha usipime,long live UDSM,at the Hill!
 
Kati ya vyuo 100 bora vya Africa.,chuo kikuu cha Dar. Es salaam kimekuwa cha nne kwa ubora wa elimu.

Na kwa Afrika Mashariki kimekuwa cha kwanza. Kikifuatiwa na Makerere.

Hongera maprofesa wa Chuo Cha Dar es salaam.

Source NTV Kenya kupitia kurasa yao ya facebook

NTV wao wametoa www.africareview.com/ Dar es-salaam university ranked 4th among 100 top African universities

Mimi nimesoma degree ya kwanza na baadae (baada ya kujiendeleza zaidi) nimefundisha hapo UDSM. Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa UDSM imekuwa ya nne Africa.

1. Hiki chuo ambacho mkuu wa chuo anapewa ma-VX mawili (moja la familia na lingine la kumtembeza yeye) huku library zimejaa kopi moja moja za vitabu edition ya 1 na ya pili wakati kitabu husika kimeshafika edition 7.

2. Hiki chuo ambacho maprofesa wengi walishaacha kusoma siku nyingi sana na hawafanyi tena research (wamejikita kwenye ufugaji wa kuku na nguruwe ili kujiongezesa vipato). Mshike hata huyo mkandara muulize research yake ya mwisho alifanya lini, kama siyo mwisho wa miaka ya 90 (ukiacha zile za kwenda kariakoo na kuwauliza watu kati ya "Slaa na Kikwete unampenda nani" halafu anatengeneza frequency table, wanatoa ripoti)

3. Hiki chuo ambacho currriculum za kozi nyingi bado ni za miaka ya 80 licha ya mabadiliko katika field nyingi za kitaaluma.

4. Hiki chuo ambacho.................anyway ngoja niishie hapa.....

Labda mambo yatabadilika siasa itakapowekwa pembeni lakini kwa hali iliyopo UDSM itachukua hata miaka 50 kufikia tu level ya vyuo hivi hapa kwa Africa:

University of the Witwatersrand
University of Cape Town
University of KwaZulu-Natal
Stellenbosch University
University of PRETORIA
CAIRO University
Ain Shams University
[TABLE="width: 870"]
[TR="bgcolor: transparent"]
[TD="bgcolor: transparent"][/TD]
[TD="bgcolor: transparent, align: center"][/TD]

[/TR]
[/TABLE]
 
Mnao critisize UDSM kuwa cha 4 kwa ubora, critisize ki-sayansi otherwise msipokuwa na ground za msingi za kucritize mtaonekana wapumbavu. Jijengeeni utamaduni wa kutukuza mafanikio yenu ama sivyo mtaendelea kuonekana mbumbumbu mbele ya watu.
 
Umbumbumbu kujisifu kwa kitu usichokuwa nacho........bado tunasafari ndefu sana kufikia viwango vinavyokubalika. Kama hujawahi kusoma sehemu nyingine yoyote zaidi ya UDSM sitakushangaa ukiisifia UDSM. Lakini ukweli ni kwamba, UDSM iko chini sana, labda kama ukiilinganisha na IFM, MZUMBE; TUMAINI etc nitakuelewa...

Lakini kimataifa, UDSM viwango vyake duni katika dimensions zote: RESEARCH; CONSULTANCY na hata TEACHING. Sababu kila mtu anaijua: SIASA..Profesa mzuri kama Baregu ananyimwa mkataba wa kuendelea kuelimisha wanafunzi kwasababu tu ni "CHADEMA"..........
 
Sidhani kama naweza kuendelea kupoteza muda na wewe maana wewe ni walewale mbumbumbu ninaozungumzia
 
Jidanganyeni! Hata akitokea kichaa akiamua kutoa orodha ya vyuo vikuu bora duniani na akiorodhesha chuo kikuu cha Dar es salaam ni cha kwanza nyie mtafanya sherehe! Dalili za watu wavivu kutaka haki bila wajibu!
wakati wakenya wanapongeza, watanzania wanaponda. Kama ranking zilizotumika ni mbovu kwanini hivyo vyuo mnavyovifagilia havijashika nafasi za juu? Mngeambiwa UDSM imekuwa ya mwisho mngeshangilia? Acheni unafiki Watanzania.
 
Umbumbumbu kujisifu kwa kitu usichokuwa nacho........bado tunasafari ndefu sana kufikia viwango vinavyokubalika. Kama hujawahi kusoma sehemu nyingine yoyote zaidi ya UDSM sitakushangaa ukiisifia UDSM. Lakini ukweli ni kwamba, UDSM iko chini sana, labda kama ukiilinganisha na IFM, MZUMBE; TUMAINI etc nitakuelewa...

Lakini kimataifa, UDSM viwango vyake duni katika dimensions zote: RESEARCH; CONSULTANCY na hata TEACHING. Sababu kila mtu anaijua: SIASA..Profesa mzuri kama Baregu ananyimwa mkataba wa kuendelea kuelimisha wanafunzi kwasababu tu ni "CHADEMA"..........
kwani waliofanya ranking ni watanzania? Au ni maprofessor wa UDSM? Kama watu wengine wa mataifa mengine wasio na uhusiano na UDSM wameona ni chuo borani kwa vipi wewe uone ni ranking ya kisiasa?
 
Naona uelewa wako ni mdogo sana! kwa kukusaidia ni hivi! hivyo vyuo vyako unavyopigania havitii mguu UDSM una copy na kupest waliyoandika wenzio then unataka reputation? kuonyesha ubovu wa chuo chako unaanza plagialism mapema! sasa ni hivi usitake wafanye ranking kwa vigezo vyako wewe, na unazungumzia academic wao wamekwambia wanafanya ranking kwa kigezo hicho? usifikiri kwa ulimi
Unafaa kupuuzwa maana hakuna unachofahamu.!! Nimekuambia discuss methodology wewe unaleta hoja chakavu!!! Wewe utakuwa limbukeni, na wala sitashangaa nikisikia ndo kwanza first year, hujui lolote na si ajabu hata maana ya methodology hujui lolote!! Kwa jinsi unavyoonekana hujui lolote ni pale unapodai eti na-copy na ku-paste....uwezo wako mdogo wa kuelewa mambo! Hivi unafahamu nini maana ya ku-copy na ku-paste wewe au umekuta tu hilo neno JF ukaanza kulivalia njuga!! Ngoja nikutoe matongotongo yako ya elimu, nilichofanya sio ku-copy na ku-paste bali kutoa reference!! Na wakati wewe unatoa mapovu, 4icu wenyewe hawa hapa wanaeleza(kwa vilaza kama wewe watasema na-copy na ku-paste) http://www.4icu.org/about/ . Soma hapo halafu rudi na hoja, otherwise tafuta masakara wenzako ubishane nao coz'you've all it take to be dumped into ignored user list.
 
Eti first year nyoo! endelea kubishana na material! reference gani umefanya kwa copy and pest? ndo tatizo la kusoma vyuo vya kata! sioni haja ya kubishana na wewe naona cha msingi toa ranking zako mtoto mdogo wewe! UDSM haijafanya lolote katika kuipa nafasi hiyo, nadhan hapo utakubaliana na mie, wahoji waliotoa hizo ranking then ili uridhike toa zako! nyie vilaza mmeingiaje humu? shame on you
 
Umeshatembea na wangapi?eti wataalamu wa kinyume na maumbile, tutaendelea kweli nchi ya wapenda rushwa kama wewe? eti unapewa rushwa ya ngono, shame on you
 
kwani waliofanya ranking ni watanzania? Au ni maprofessor wa UDSM? Kama watu wengine wa mataifa mengine wasio na uhusiano na UDSM wameona ni chuo borani kwa vipi wewe uone ni ranking ya kisiasa?

1. Ume-cross check credibility ya hiyo "authority" iliyotoa ranking?

2. Sijasema ranking ya kisiasa, bali nimesema kiwango duni UDSM kinatokana na sababu za kisiasa.
 
wakati wakenya wanapongeza, watanzania wanaponda. Kama ranking zilizotumika ni mbovu kwanini hivyo vyuo mnavyovifagilia havijashika nafasi za juu? Mngeambiwa UDSM imekuwa ya mwisho mngeshangilia? Acheni unafiki Watanzania.

Waliotoa hiyo ranking wanasema hivi:

"We do not claim - by any means - to rank organisations or their programs, by the quality of education or level of services provided. The 4icu.org University Web Ranking is not an academic ranking and should not be adopted as the main criteria for selecting a higher education organization where to study".
 
Back
Top Bottom