kingphisher
Member
- Nov 30, 2024
- 45
- 79
Husika na mada tawa hapo juu, huu ni mwaka Wa pili, chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamekataa kutoa kadi ya bima kwa wanafunzi. Huwezi kufanyiwa registration hadi ulipe ela ya bima na costs nyigine, lakini hawatowi kadi za bima. Wanatoa tu namba ya bima. Hii imekuwa changamoto kupata huduma za kiafya kwenye baadhi ya vituo vya afya wakidai wanataka waone kadi. Tunaomba tusaidiwe kuhusu kupata hizi kadi maana hospitali nyingi hawakubali namba ya kadi, wanataka kadi.
UDSM usipokamilisha usajili huwezi kupata valid ID na hauruhusiwi kufanya hata test. Iwe mfumo ndio unashida au ela imechelewa kutoka bodi, haufanyi hata test, unajitahidi kukopa ela ili ulipe direct cost pamoja na Bima, hafu hiyo bima huipati. Tunaomba kusaidiwa kuhusu hili. Huu ni mwaka Wa pili baadhi ya wanafunzi.hatujapata kadi. Inatulazimisha kutumia ela zetu kujigharamia matibabu ya hospitalini.