Mkuu usidhani nimetoka from nowhere na kuja kutoa malalamiko humu straight. Tumeanza kudai hizo kadi since tulivoingia mwaka Wa kwanza, mwaka juzi 2023, had I Leo hiii tumeingia mwaka Wa pili. Tumefuatilia Mara Kwa Mara, tumeenda pale smart card office, tumeenda Kwa deans of student lakini bado. Wenafunzi wengi hasa ambao wameingia 2023, hamna kadi. Unapewa tu namba, yani namba kama namba ninavyokuambia. No any stamped paper unayopewa on behalf.
Tumefuatilia had I Leo hii. Ela zetu hizo zinaenda bure tu, maana ukienda hospital in I na hiyo namba huu
Kwani kuja kwangu humu jf inakuuma nini? Mbona umekazana na Mimi kotoa taarifa humu, kama tushaenda department husika lakini hamna action yoyote, huu sasa mwaka wa pili unataka niende Dodoma? Chuo hakikuruhusu hata kufanya test kisa hauna valid ID kama haujakamilisha hiyo ela ya bima, tukishalipa ela hatupati kadi, hata hizo namba tu lazima ubembeleze wiki kadhaa. Hivi unajua hali ambayo wanafunzi tunapitia kweli au kama watoto wako wanasama nje ya nchi unataka tusifichue dukuduku? Kutoa tsh 50400 hafu inaenda bure unaona ni sawa, kiasi kwamba nikiRaise complain ni dhambi? Nakuuliza tena, unataka twende dodoma tukatoe taarifa ndo ujiskie vizuri sio? Najua mkishakua madarakani na kukalia viti vinavyozungula mnaAssume kila mtu ana maisha sawa na kwenu.