Chuo Kikuu cha Dar (UDSM) chajadili Mkataba wa Bandari

Dr. Richard Bruno Mbunda mhadhiri kitivo cha College of Social Sciences UDSM


anatupa za ndani kabisa kuhusu maana na mantiki kisheria katika mkataba wa bandari
 
Shida yote ilianzia hapa 👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼 , najuta kabisa kuwasanua hawa jamaa

 
Haimaanishi waache kujadili....wale ni wasomi na wanatoa mtazamo wao lakini wenye maamuzi ni Hawa wanasiasa wetu.
 
wabunge wetu ambao ndio wawakilishi wa wananchi wameshajadili na wamepitisha agenda hiyo.

sisi wananchi tunaliamini Bunge letu na tunawaamini wabunge wetu,
 
tunaliamini Bunge letu na tunawaamini wabunge

Hii imani kuwa tuwaamini viongozi waliosema rais wa awamu ya tano ni mzima anachapa kazi hawezi kutokea Kariakioo

Waafrika huwa tunaponzwa na kauli kuwa hawa kina Profesa Mbarawa, Hamza Johari na jopo zima waliokuwepo Dubao walikuwa wazalendo sana kukimbilia mkataba mbovu wa aina yake.
 
29 June 2023

Bi. Khadija Shaaban Taya almaarufu Keisha, mbunge viti maalumu kupitia CCM achagiza tuikimbilie hii fursa adimu waliyotuletea Dubai na DP World

Mbunge wa Viti Maalum, Khadija Shaaban Taya (Keisha) amewaomba watu kuchangamkia fursa za kiuchumi zilizopo na kutoa ufafanuzi kuhusu Suala la Bandari ya Dar es salaam kwani linakwenda kugusa maisha ya Watanzania.


Kuhusu sakata la bandari kuendeshwa na DP WORLD, Mbunge Keisha amewataka watu nchini kuacha kutishwa na kuogopa maneno yanayo ongelewa mtaani juu ya makubaliano baina ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kwa ajili ya uendelezaji na uboreshaji wa utendaji kazi wa bandari nchini na matokeo yake wachangamkie fursa hiyo ili kuweza kujikwamua kiuchumi.
 
Kwa nini kila mwekezaji anayetoka nje ya tanzania,hasa hizi ngozi nyeupe,huwa tunachukulia kama ni fursa,pasipo hata kuangalia sisi tunapata nini,na wao wanapata nini..yaani sisi tukisikia tu ngozi nyeupe inakuja kuwekeza,moja kwa moja tunafikiria kwamba analeta hela za bure
 
hasa hizi ngozi nyeupe,huwa tunachukulia kama ni fursa

Tatizo huwa tunakurupuka bila agenda na mwishowe tukifika mezani wao wanakuwa wazungumzaji sisi wasikilizaji maana tunakuwa hatukufanya homework yetu wao wanakuwa tayari wameona fursa wameingi jikoni kwetu siri zetu zote wanazijua kabla ya kufika meza ya majadiliano.

Ni utamaduni mbaya kwenda meza ya majadiliano ukitegemea hisani itatoka upande wa pili wa mwekezaji akupe kitu ambacho hujaomba au kukidai kwa hoja katika meza ya majadiliano.


Utamaduni huu wa sisi kusibiri tuambiwe unauona hata kwa waandishi wa habari ktk press conference wanamsikiliza kiongozi anasema nini hawaulizi maswali halafu wanaenda kuandika neno kwa neno magazetini waziri amesema 'tuwaamini wao wana nia njema' na pia eti mwekezaji walioongea naye kwa niaba 'yetu' atakuja kufanya makubwa kwa Tanzania na waandishi wa habari wanapiga makofi kwenda kwa mhariri wao kesho gazeti linatoka neno kwa neno alichosema waziri ...
 
14 Agosti 2023

Mtaalamu wa Shipping and port atoa mtazamo wake juu ya hukumu ya kesi ya mahakama kuu Mbeya


View: https://m.youtube.com/watch?v=zVfE3P3pzgA
  • Dubai haijawahii kusaini mikataba na nchi zingine, ni UAE tu ndiyo imesaini mikataba zaidi ya 3,000 katika ya 1995 mpaka leo 2023 Dubai haijawahi kusaini mkataba aina yoyote iwe IIA, BIT, IRI, IGA ni UAE pekee ndiyo imesaini mikataba
  • Kesi tajwa ya rejea kati ya France na Colombia ilichapishwa na Cambridge University press mwaka 2019 na kuvutia wanazuoni wengi
  • Brazil na South Africa wamejitoa mikataba ya kinyonyaji
  • Vienna convention treaty ya 1969 customary International law
  • Customary International law inachukua uzito wa Domestic legislation, constitution, domestic court rulings , views by scholars kama za kina Prof. Shivji n.k
  • Mahakama ya katiba ni final arbiter kusema sheria au katiba imevunjwa
  • IGA ni batili iliposainisa na Dubai ni batili
  • Wanasheria wetu wa ngazi zote hawafanyi jitihada za expansive interpretation approach ktk eneo la legitimate expectation chini ya FET
  • Framework itatokana na kilichoandikwa ndani
  • Mkataba usio na kikomo 1992 mfano UAE ilipoingia mkataba wa milele na United Kingdom
  • 23 (4) hakuna entitlement ya kuvunja mkataba ku denounce, withdrawal ni absolute no ila ikitokea mgongano ndiyo unaweza kurejea ibara ya 22
  • Trade corridors Northern na Southern Dubai wamiliki kuanzia Tanga hadi Mtwara
  • Strategic infrastructures, barabara, investment zone
  • Je katiba imemuachia uhuru rais wa Tanzania kutoa right of occupation, division of the country unlawfully or ratification hakuna haki kuhalalisha ..... kuwa ibara ya 28 (3)
  • Suala la vita kuna economic war pia
  • Hakuna mtu kusaini kugawa ardhi ya nchi yetu
  • Ibara ya 28 ya katiba inasema hakuna Mtanzania na mtanganyika atakayeruhusiwi kutambua au kukubali eneo la Tanzania kukaliwa
  • Watanzania tunaosimamia taasisi zetu lazima wawe makini kuilinda nchi yetu kwani mkataba wa bandari unatoa mwanya mwingi kuhusu legitimate expectations, preamble za mkataba, consent, approval, no termination
  • Kesi zifuatazo kwa misingi ya UNCITRAL Arbitration Rules or, as applicable, the ICSID Convention or ICSID Additional Facility Rules zifuatiliwe sana na wanasheria wetu, mtaalamu anasisitiza ili kujenga uwezo wa maamuzi ya kusainu mikataba :
  • Kesi ya 2022 Peru and USA
  • Kesi ya 2021 China na Switzerland
  • Kesi ya 2020 ya Patel vs Mozambique
  • Kesi ya 2020 Windstream Energy vs Canada mkataba wa NAFTA
  • Ukiangalia kesi RAE vs Latvia
  • Wanasheria wetu wa Tanzania wawe makini sana kujenga tumaini ya kupitiliza kwa mwekezaji maana tayari unaruhusu kushitakiwa
 


View: https://m.youtube.com/watch?v=VjlbJtgbceM
 
15 August 2023

KITUO CHA UTETEZI HAKI ZA BINADAMU, TLS , JUKWAA LA KATIBA WATOA TAMKO NA KULAANI KUKAMATWA WATU WANAOTOA MAONI KUHUSU MKATABA WA BANDARI


View: https://m.youtube.com/watch?v=duzaiz4qjL4
Wanasheria, wasomi, wataalamu wa katiba na watetezi wa haki walaani mfumo wa haki jinai kutumiwa isivyo na vyombo vya dola kunyamazisha maoni ya wananchi kuhusu mkataba wa bandari.
 
Je Suala la bandari kikwazo ni katiba ya nchi. Wasomi wanaangalia katiba ya nchi inavyoamua hatima ya mambo mengi ya nchi.

Wachangiaji mada kwa kutaja kwa wachache miongoni mwa wengi ktk mjadala ni Wakili msomi Fatma Karume, Prof. Kitila Mkumbo,Dr. Jill C. Ghai, wakili Jenerali Ulimwengu na wengine kutoka Gambia, Kenya n.k wajadili jinsi katiba ilivyo ndivyo inavyoamua mambo mengi


View: https://m.youtube.com/watch?v=l1DcFn09Kiw&pp=ygUrUmVmb3JtaW5nIHRoZSAgTGF3IG9mIEV2aWRlbmNlICBvZiBUYW56YW5pYQ%3D%3D
 
Julius Nguhulla mtaalamu wa port & shipping na uendeshaji bandari aelezea uwekezaji upi unaofaa


View: https://m.youtube.com/watch?v=sj3R7DqboTA
Julius Nguhulla (FICS) Chartered Professional In Shipping, A Member of World Shipping Board, MBA in Shipping.

Mkataba unamfanya DP World hafai, ingawa ana sifa na uzoefu.

Katika mkataba huu wa DP World wa bandari haukuangazia kwa umakini Scope of logisticss kupakua na kupakia, transporters, freight forwarders clearing, warehousing etc ambazo zinafanywa na waTanzania .

Uchumi wa dunia unaendeshwa na maji, mizigo mikubwa na mizito bila kusahau mizigo mchanganyiko general cargo, mikavu na vimiminika gesi yote inapita bandarini hivyo uchumi wa bandari unagusa uchumi mkubwa.

Uwekezaji wa bandari unaofaa ni siyo ule unaofananishwa na biashara ya hoteli. Kwa mantiki kuwa bandari haitakiwi kujazwa mizigo bali inatakiwa isiwe inahifadhi mizigo bali kuipakua na kuitoa kwa uharaka kwenda bandari kavu au moja kwa moja kwa wateja na vivyo hivyo kwa kuipakia meli iondoke haraka anafafanua mtaalamu Julius Nguhulla.

Suala la documentation la nyaraka na mifumo ya Wakala wa meli, TRA/ customs na bandari kusomana.

Kitengo cha utendaji operation kisomane na revenue pia transparency zaidi ambao WaTanzania tulishauri lakini haijafanyiwa kazi na nina hakika DP World wakija watakubaliwa na kusifiwa sasa kwanini muda huu wote ushauri wetu haukufanyiwa kazi.

Bado haijafahamika ni uwekezaji wa aina gani DP World atafanya wakati DP World ni mtaalamu wa container terminal kama TICTS je kuna kitu gani kinafanya DP World wachukue kila kitu gati za mafuta, magari n.k kwa kifupi bandari zote.

Suala la rate bado katika mkataba wa DP World halijaongelewa kiasi kwamba tarrifs zitaongezeka ili kugharamia ufanisi hivyo inflation kuongezeka. Ikiwa marine charges, piloting na zingine kwa ujumla wake zitachukuliwa kuondoka Tanzania, ni pesa kidogo zaidi ya za sasa zinazopatikana zitabaki nchini.

Kwa mazingira hayo Tanzania hatutakiwi kuinga kwa yaliyofanyika nchi zingine kupitia DP World.

Mapendekezo mwekezaji aje kujenga magati na kuwekeza mitambo wapate mgao wao wao kwa kipindi kinachokubalika aondoke bali operations zibaki mikononi mwetu. Hili la DP World au mwekezaji mwingine waje wajenge, waweke mitambo, wakusanye mapato sisi tuwe nje ya fensi tukiwa watazamaji tukisubiri tupewe mgao halijakaa vizuri.

Mfano barabara zetu za mwendokasi wajenge wao, walete mabasi wao, walete watu wao waendeshe mabasi, wakatishe tickets wao halafu sisi tusubiri mgao kutoka kwa mwekezaji ni dhahiri haliwezekani vipi kuhusu kitu muhimu na nyeti kama bandari .

Suala la muhimu ni mkataba wa aina gani na siyo uwekezaji ufanyike au la. Hakuna anayepinga uwekezaji bali nukta ya msingi ya kujiuliza ni mkataba gani unaofaa .

Bado bandari zetu zina utajiri mkubwa na hatuna sababu za msingi kufanya haraka ya kukurupuka kusaini mikataba mibovu hivyo wabunge waongee na wataalamu wetu ili waishauri serikali vizuri .
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=WVhZylGnWSM
Julius Nguhulla (FICS) Chartered Professional In Shipping, A Member of World Shipping Board, MBA in Shipping.

Tusibeze wafanyakazi wa mamlaka ya bandari na wala serikali zilizopita pia hii iliyopo zimefanya kazi kubwa kupanua ukubwa wa bandari zetu, kuchimba vina vya bandari kiasi meli kubwa zinakuja Dar es Salaam, Tanga , Mtwara. Mikopo mingi imechukuliwa kuwekeza ktk ufanisi wa bandari, wizi umezidi kudhibitiwa kwa Teknolojia za kisasa na wafanyakazi wengi waaminifu Wazalendo....

JANUARY 25, 2022

Striving to Become the Regional Port of Choice​

  • Dar es Salaam, an anchor port supporting not just Tanzania but also several landlocked neighbors, was facing pressures from infrastructural constraints and increasing volumes of trade handled each year.
  • The construction of a new roll-on, roll-off terminal at the port has boosted its capacity to handle much larger vessels with efficiency, and to improve on the turnaround time for ships coming through.
  • With volumes projected to grow to over 30 million tons by 2030, the Dar es Salaam Maritime Gateway Project is helping address operational and physical constraints at the port which will enable it to improve its overall performance and contribution toward jobs growth in the region.

DAR ES SALAAM, January 25, 2022 — At about 8 a.m. on a sunny weekday morning, the Port of Dar es Salaam is a hive of activity. Motor vehicles appear to race each other out of the belly of the Port’s second Post-Panamax guest in two months, which docked just after midnight. Going by the port’s recent records, discharging of the more than 3,400-vehicle cargo will be completed well before nightfall.
"In the past it was very challenging, especially for us as contractors, as we had to drive each discharged vehicle up to 2 km away from the berth just to find parking space," said Adam Mwenda, a driver. "We then had to walk all the way back to the ship after each parking, so our turnaround time was not good."
Finding parking was not the only difficulty. Just over three years ago, the berth where these Post-Panamax vessels are now being hosted was but an outlet of a creek flowing into the harbor area. Motor vehicle imports arrived on much smaller ships due to the depth restrictions alongside the berths. Rather than being driven from the vessels, the vehicles on board would need to be offloaded with ships cranes at great risk to both the staff and the cars, and with the exercise requiring no less than three days to accomplish.
Construction of the first dedicated roll-on, roll-off ("RoRo") infrastructure ramp and terminal in the port began in 2018 and was completed and became operational in March 2021, enabling the port to start hosting Post-Panamax vessels, with the first arriving in August. Motor vehicles are now driven off the ship and straight onto the adjacent spacious berth with a handling capacity of 3,000 vehicles at a time, or over 200,000 per year.


"The RoRo has been a game changer as ships come straight and berth directly with no waiting time at all."

Eric Hamissi
Director General, Tanzania Ports Authority (TPA)



Photo credit: World Bank


"Consider that when we received the 3,743 motor vehicles on the Panama in August, a good number of drivers were needed to take those vehicles to the borders of the destination countries who rely on the port of Dar es Salaam," said Tony Swai, managing director of Epic Cargo, a logistics company.

Said Mwenda: "There has been an increase in the demand for contract drivers like me, and we have been very busy working almost non-stop because the port is now receiving vessels carrying many more cars each month than before."

As an anchor port supporting not just Tanzania’s trade but also its landlocked neighbors like Rwanda, Burundi, Uganda and the Democratic Republic of Congo, Dar es Salaam has a central role in regional trade facilitation and integration. Between 2015 and 2020, for example, the volumes of trade for these countries handled at the port increased by 16.6% to 16.01 million metric tons from 13.7 million metric tons in 2015. It is projected the port will handle over 30 million tons per year by 2030. Thus, the port’s efficiency and effectiveness are key to unlocking the flow of trade and increasing the region’s overall competitiveness.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…