Mwenyekiti wa Baraza wa Chuo Kikuu cha Iringa, Dkt. Lilian Badi aliondolewa mara ya kwanza kwa tuhuma za mazingira tata lakini hivi karibuni amerejeshwa kazini huku kukiwa hakuna maelezo sahihi ya sababu za kurejeshwa kwake.
Kibaya zaidi ni kuwa hakuna maelezo kamili yaliyotolewa kuhusu zile tuhuma ambazo zinamhusu.
Barua ya kuondolewa kwake inaonesha kuwa aliondolewa kwasababu aliomba likizo ya kwenda kusoma PhD tangu Mwaka 2006 lakini tangu wakati huo hakurejesha katika majukumu yake, hivyo akatambulika kuwa sio mfanyakazi tena wa taasisi hiyo kuanzia Machi 1, 2011.
Mshahara wake ukasitishwa kwa kuwa alikosa sifa, sasa licha ya yote hayo imekuwaje amerejeshwa kimyakimya?
Documents zote tunazo, tukiamua kuziweka hapa tutafanya hivyo ila kwanza chuo kitujibu hii hoja, isije kuwa ni yale mambo ya wakubwa kubebana kisha wasiokuwa na nafasi hizo za juu wao wanaishia nafasi za chini tu, ukiondolewa ndio imetoka hiyo?