Dickson Edwin Mgaya
JF-Expert Member
- Apr 2, 2020
- 513
- 1,422
Kuna mtu mzito ataaibika siku si nyingiKufuatia tahadhari zinazoendelea kutolewa na taasisi mbalimbali za elimu ya juu Nchini ikiwemo Chuo kikuu cha Daressalaam (UDISM) na chuo kikuu Huria (OUT), Chuo kikuu cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) nacho kimewatahadharisha wanajumuiya wa taasisi hiyo kuchukua hatua stahiki za tahadhari dhidi ya ugonjwa huo hatari.
Aendelee kula mananasi na familia yake. kila mtu na atajijua mwenyewe.Waziri Gwajima ana taarifa?!
Kufuatia tahadhari zinazoendelea kutolewa na taasisi mbalimbali za elimu ya juu Nchini ikiwemo Chuo kikuu cha Daressalaam (UDISM) na chuo kikuu Huria (OUT), Chuo kikuu cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) nacho kimewatahadharisha wanajumuiya wa taasisi hiyo kuchukua hatua stahiki za tahadhari dhidi ya ugonjwa huo hatari.
yuko busy anajifukiza na mumewe.Waziri Gwajima ana taarifa?!
Wakizubaa ma prof wote watapukutika kama majani...
Uzuri wa COVID-19 watoto haigusi...vijana labda wenye matatizo yao ya afya toka kuzaliwa...Wazee sasa 60+ ni balaaaaaa!! imepiga kambi aisee!!
Hapo ni hewa.Waziri Gwajima ana taarifa?!
Imekuaje tena mbona umeghafilika?Vyuo vikuu hivi (OUT, UDSM na SUA) wasomi wazima nao wanatoa povu la tahadhari?
Kwani kuna KORONA hapa nchini?Kufuatia tahadhari zinazoendelea kutolewa na taasisi mbalimbali za elimu ya juu Nchini ikiwemo Chuo kikuu cha Daressalaam (UDISM) na chuo kikuu Huria (OUT), Chuo kikuu cha Sokoine Cha Kilimo (SUA) nacho kimewatahadharisha wanajumuiya wa taasisi hiyo kuchukua hatua stahiki za tahadhari dhidi ya ugonjwa huo hatari.
Mbona povu mkuu...!!Vyuo vikuu hivi (OUT, UDSM na SUA) wasomi wazima nao wanatoa povu la tahadhari??
Kwani nchini kuna korona?Waziri Gwajima ana taarifa?!
Washaanza kupukutikaEeh chukueni tahadhari , mnasubiri mpak Jiwe awatangazie , ma-mae mtakufa kama kuku
Au uongo ndugu zangu?5 tena
Wanapukutishwa vibaya sana na hao ndiyo wanasema hakuna huo ugonjwaWakizubaa ma prof wote watapukutika kama majani...
Uzuri wa COVID-19 watoto haigusi...vijana labda wenye matatizo yao ya afya toka kuzaliwa...Wazee sasa 60+ ni balaaaaaa!! imepiga kambi aisee!!
Pamoja sana mkuuAisee jibu zuri sana ,hongera sana